CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

aliwezaje kujenga daraja la tanzanite ? aliwezaje kujenga daraja la busisi ? aliwezaje kuhamisha makao makuu dodoma wakati marais wote walishidwa kwa ukosefu wa pesa?
Hayo ndio yanampa tiketi ya kuiba?
 
Najiuliza aliwezaje kufanya yote haya kwa muda wa Miaka Mitano na Miezi Mitano tu? Aliwezaje kuimudu Corona na hatukupigwa Lockdown? Kwa muda wote wa uongozi wake.
Sukuma Gang sikiliza, kama ni kufa watu walikufa sana kwa ukatili wa huyu mtu wenu!
Bahati nzuri corona yenyewe haikubagua!
 
Toka lini mpigaji akashughurika na miradi ya nchi?,toka lini mpigaji akawafukuza wapigaji wenzie?,mavi kuchwani
 
Mimi CAG bado Niko bize naibua madudu ya Safari za nje.
Uwe na subra.
 
Magufuli makosa yake ni mawili tu kwa upande wangu.
1. Kuzuia siasa
2. Madaraja na mishahara kwa watumishi wa umma.
MAMBO MENGINE YOTE YALIYOBAKIA WAS BEST PRESIDENT EVER AFTER NYERERE AND FAR MUCH BETTER COMPARED TO THE CURRENT.
 
Magufuli alikopa trilioni 29 kwa miaka 5 tu...Huu ni mkopo mkubwa zaidi kuchukuliwa na Rais wa Tanzania

Na huyu CAG alichaguliwa na Magufuli baada ya kumuona Assad hafai

Swali ni je kwa nini utawala wa Magufuli unagombana na kila CAG?
Mbona unajibu swali kwa kuuliza swali mkuu, ingependeza ungejibu kwanza ndio uuize na wewe ujibiwe.
 
Hujaona jibu hapo? Alikopo kuliko Rais yoyote yule kwa miaka 5 tu
Hilo sio jibu mkuu mkuu weka nyama wewe umeona mwenzako amehorezesha mega project zote hiz halafu unaleta swala la kukopa kwani hujui hizo fedha zilienda wapi?
 
Toka lini mpigaji akashughurika na miradi ya nchi?,toka lini mpigaji akawafukuza wapigaji wenzie?,mavi kuchwani
Hujui lolote juu ya miradi ya tembo mweupe, jinyamazie hutachekwa! Waulize wakenya wakueleze jinsi moi alivyokuwa analamba mpunga Kwa miradi mikubwa ya umma!
Mayanga construction una ufahamu wa mmiliki wake? Una mavi ya bata ndani fuvu lako, kajisafishe!
 
91 ndiyo nini? Mmekaa kusifia tu ovyoovyo, anaendelea kuoza kule Chato. Tangu afariki barabara ya njia nane haijaguswa? Kwanza ali plan kifala kabisa.
Hivi kutoka stend ya magufuli mpaka pale unapoingilia morogoro road pana umbali gani, ni mwaka sasa hapajakamilika na kila mwezi wanapachonga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…