CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

Mwendazake alishaanzisha ujenzi huwezi achia njiani ni hasara mara 2.

Kwa mfano hayo mandege yalishawekewa oda na advance payments zililiowa huwezi kughairi utashitakiwa.

Upuuzi wote huu umeletwa na Mwendazake.
TZ yenu kila mtawala ni mpumbavu kwa nafasi yake.
 
Let's say Magufuli alikosea; does that justify her wrongs?
Tumepiga hatua kwa kufuata utawala wa sheria. Nadhani kwenye ripoti ya TAKUKURU kutakuwa na makes waliyoyafikisha mahakamani.

Sasa inabidi u-tally kati ya hoja za ukaguzi za 2021/22 against kesi zilizofikishwa Mahakamani ndiyo utajua kama kuna tofauti.

Siungi mkono kurundika watu rumande kama Magufuli alivyowaweka akina Kitilya, Rugemalira, Maimu etc huku hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani
 
Yaani hasara zooote na waziri wa uchukuzi anavaa tai anaenda ofisini??
Kunawatu wamekosa aibu asee dooh!! Au nivile nchini kwake pakoshwari!
Taasisi za serikali zimefeli kiwango Cha aibu kabisa LAKINI majingaa yatakwambia prezdaa anaupigia mwingi ptuuh!
 
Ukikamatwa na nyama ya swala ni miaka 22 jela.
 
Hayo Mapungufu ndiyo udhaifu wake!!, anaanzaje kuwa bora tena??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Kwamba unakubali Magu alikubarika kwa 90% ya watanzania. Ila unawabariki ujinga kwa kuwa wewe ni 10% ya ambao hawakumkubari.

Vipi, unaweza nitajia binadam asiye na mapungufu?
 
Magufuli is gone. You should move on. Life's for the living.
 
Safari za nje ni nyingi mno lazima tupate hasara
 
Vipi kwenye ripoti ya CAG amengusia Samia katumia gharama kiasi gani kwa safari zake za nje???

(Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), CP Salum Rashid Hamduni)

Bila shaka ni Mzanzibari huyu,


Je hivi huko Zanzibar Kuna Mtanganyika yeyote ambaye Kachanguliwa japo ukuu wa wilaya?

Je Zanzibar si sehemu ya Tanzania?

Kama ni sehemu ya Tanzania akina Shaka Hamdu Shaka ni wakuu wa wilaya Tanganyika inakuwaje Watanganyika kutokuwa ndani ya teuzi za Tanzania Visiwani?
 
Kupotezeana muda tu, hakuna cha maana kitakachotokea, serikali wakikosa cha kufanya, hutqywrisha shughuri yoyote ili wananchi wajue majizi Yao yapo
 

DODOMA: MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limepata hasara ya Sh Bilioni 56.64 sawa na ongezeko la asilimia 61 kutoka hasara ya Sh Bilioni 35.24 kwa mwaka uliopita.

Akiwasilisha ripoti ya utendaji kazi wa serikali na Mashirika mbalimbali ya umma, CAG Kichere amesema kwa upande wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hasara imepungua kutoka Sh Bilioini 205.95 kwa mwaka wa fedha 2021/22 hadi Sh Bilioni 156.77 kwa mwaka wa fedha 2022/23.

Aidha amesema michango ya wanachama imeongezeka kwa asilimia 14.6 na matumizi yameongezeka kwa asilimia 10.
chanzo. ATCL yapata hasara Sh Bil.56 - HabariLeo

Ushauri wangu kuhusu hili shirika la ndege lipewe wawekezaji kwani itafika wakati litafilisika kabisa Serikali haiwezi kuliendesha hili shirika litakuw alinatangaza kila siku hasara badala ya faida Bora shirika Libinafsishe wapewe Wawekezaji.Serikali iwe inapata kodi kutoka katika hili shirika kuliko Serikali kuliomgoza.

MSIGWA: AKILI NDOGO ITAWALE AKILI KUBWA​

 
Hiyo hasara ya atcl imetokana na nini???
Naona wanaZidi kununua midege tu

Ova
 
Magufuli is gone. You should move on. Life's for the living.
We have to learn from past mistakes so as to build a better future. You people are mere twats when it comes to criticising a man you worshipped as god.
 
Wakati wa #kiza cheusi ukisema hayo aliyoyasema kicheere, ambao ndio ukweli wenyewe, huyo #kicheere Angelikuwa ameshaondolewa kitambo sana na pengine angepotezwa kabisa, ilikuwa serekali ya hovyo inayopenda sifa zisizokuwepo, eti "Tunajenga kwa nguvu zetu wenyewe Ny.....k."
 
Mkuu hilo wale MISUKULE ya Mwendazake hawayaoni. Serikali ya Samia inafuata utawala wa sheria na iko transparent sana. Alone denoo JG na Etwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…