MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Mwashambwa na kipara kipya huwaoni huku wao huichukulia Tanzania Kama duka lao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Case in point.Sawa peleka mama yako kaburini Chato akalalwe
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024.
View: https://www.youtube.com/watch?v=6yQwHaO3rEA
MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TAKUKURU CP SALUM RASHID HAMDUNI
View attachment 2946700
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), CP Salum Rashid Hamduni anawasilisha Taarifa ya Utendaji kazi wa TAKUKURU kwa Mwaka 2022/2023, Ikulu Mkoani Dodoma, leo Machi 28, 2024.
Amesema walifanya tathmini ya Miradi 1,800, walibaini Miradi 171 yenye thamani ya Tsh. Bilioni 143.3 ilibainika kuwa na utekelezaji hafifu na hivyo kuanzisha uchunguzi.
Akizungumzia tatizo la Ujenzi wa Vituo vya Mafuta katikati ya Makazi ya Watu linaongezeka, CP Salum Rashid Hamduni, amesema walifanya Uchambuzi kuhusu Mfumo wa Uzingatiaji wa taratibu za Ujenzi wa Vituo vya Mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani ambapo Vituo 38 vilihusika.
Asilimia 79 ya Vituo vilivyochambuliwa vilizingatia Sheria kwa kuwa na Vibali vya Ujenzi kutoka Halmashauri ambapo Ujenzi umefanyika, Asilimia 21 ya Vituo havikuwa na leseni wakati zoezi la Ufuatiliaji linafanyika.
Pia, walibaini Ongezeko la maombi ya Ubadilishwaji wa Matumizi ya Ardhi kutoka Matumizi ya awali na kuwa Matumizi ya Vituo vya Mafuta, pamoja na tatizo la Ujenzi wa Vituo vya Mafuta katikati ya Makazi ya Watu linaongezeka na kuleta Changamoto ya Usalama wa Watu waishio karibu.
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUUU WA HESABU ZA SERIKALI, CHARLES KICHEREUkaguzi umebaini MSD ilitoa zabuni ya ununuzi wa vifaa vya maabara ambavyo ni vipimo vya COVID 19 kwa kampuni ambayo haikuwa mtengenezaji wa vifaa hivyo kinyume na makatwa ya zabuni, pia ilinunua vifaa hivyo bila kufuata ushauri, baada ya kufika kwa vifaa hivyo wataalamu walibaini havifai kwa matumizi yetu na tayari MSD ilikuwa imelipa fedha zote.
Mashirika ya Umma yanayojiendesha kibiashara yamepata hasara. Mwaka 2022/23, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, sawa na ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22 iliyokuwa Tsh. Bilioni 35.24. Ikumbukwe kuwa Shirika hili lilipokea ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55 kutoka Serikalini.
Shirika la reli limepata hasara ya Tsh. Bilioni 100.70 licha ya kupewa ruzuku ya Tsh. Bilioni 32.81 kutoka Serikalini.
TANOIL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 76.56, ongezeko la Bilioni 68.72 kutoka hasara ya mwaka 2021/22.
Shirika la Posta limepata hasara ya Tsh. Bilioni 1.34.
NHIF umeendelea kupata hasa kwa mwaka wa 5 mfululizo ambapo mwaka 2022/23 umepata hasara ya Tsh. Bilioni 156.77. Hata hivyo, NHIF imeikopesha Serikali Bilioni 208 ambazo hazijalipwa hadi sasa.
View attachment 2947166
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Charles Kichere Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Machi, 2024.
View attachment 2947196
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa Mwaka 2022/2023 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo CP. Salum Hamduni Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Machi, 2024.
Na wewe ni MSUKULE wa huyo mama. Upo always biased and negative na Magufuli na utamtetea huyo mama hata kwa uwongo na fiksi, sema huoni kundu lako. Haupo balanced kwenye hoja zako. You're too involved in your extreme sense of antipathy against Magufuli na ndiyo maana huoni lolote jema na Magufuli. Hii mada haihusu comparison ya huyo mama ako na Magufuli, lkn wewe tayari you've picked on comments zinazomuhusu Magufuli
Ila wewe Taila una laanaBora huyu anapokea ripoti na tunajuwa ubovu na ufisadi wote. Kuliko DIKTETA Magufuli yeye aliposomewa ripoti ya upotevu wa Tsh 1.5 Trillion akamfukuza kazi CAG Prof Assad.
Bahati mbaya Bunge ndilo lenye kuchukua hatua. Ila Bunge lenye UTAAHIRA aliloliacha Magufuli unategemea lifanye nini? Bunge lina wabunge 99.999% wa CCM.
Simtetei Samia kwa kutochukua hatua kwenye ropoti ya mwaka 2021/22 kama tulivyotarajia. Nchi hii inaendeshwa kwa Katiba na utawala wa Sheria. Rais hawezi kusomewa ripoti leo halafu kesho aseme kamata fulani na fulani peleka Mahakamani. Tutakuwa tuarudia UHAYAWANI uleule wa Magufuli aliyejaza watuhumiwa magereza lakini hakuna hata kesi moja aliweza kuimaliza hadi anakufa.
Upo utaratibu nankuna vyombo vya kufanya hayo mambo. Na mwenye majukumu makubwa ni Bunge.
Katiba inaruhusu Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kama maagizo ya CAG hayatekelezwi. Kura zikipigwa na wakashinda wanaosema hawana imani basi Rais anavunja cabinet.
Kwa hiyo wewe ndio unaakili??Hayo Mapungufu ndiyo udhaifu wake!!, anaanzaje kuwa bora tena??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Ongezeko la asilimia 61Hayo Maungufu ndiyo udhaifu wake!!, anaanzaje kuwa bora tena??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Hadi hii lipoti watasema sababu ni MagufuliNa bado ndege zinanunuliwa 😂 next time bado watasema zinaingiza hasara.
Na bado atalaumiwa JPM 😂
Na bado tutaambiwa mama samia anaupiga mwingi
Tz kiboko 🙌
I don't give a damn on a bustard comment. You idiot you are victim of false propaganda by Magufuli who was an autocratic despot who suppressed freedom of expression. You also want to me to opine on your way of thinking. Of you think the god you worship (Magufuli) was a "patriotic" president fine, but NEVER silence me from unveiling his atrocities, lies and evil doings.Na wewe ni MSUKULE wa huyo mama. Upo always biased and negative na Magufuli na utamtetea huyo mama hata kwa uwongo na fiksi, sema huoni kundu lako. Haupo balanced kwenye hoja zako. You're too involved in your extreme sense of antipathy against Magufuli na ndiyo maana huoni lolote jema na Magufuli. Hii mada haihusu comparison ya huyo mama ako na Magufuli, lkn wewe tayari you've picked on comments zinazomuhusu Magufuli
Ndiyo. Na kazi yangu ni kuwafundisha wajinga kama wewe mpaka waeleweKwa hiyo wewe ndio unaakili??
Anzisha uzi maalum uweke wazi hizo "atrocities, lies and evil doings" za Magufuli. Huu uzi unahusu Ripoti y CAG ya 2022/2023. Magufuli anahusika vipi mkuu?I don't give a damn on a bustard comment. You idiot you are victim of false propaganda by Magufuli who was an autocratic despot who suppressed freedom of expression. You also want to me to opine on your way of thinking. Of you think the god you worship (Magufuli) was a "patriotic" president fine, but NEVER silence me from unveiling his atrocities, lies and evil doings.
Kila mmoja ashinde mechi zake, wache wasomaji watu judge.
Wewe bora dingi wako angevaa condom kipind anamnyadua maza wako kuliko kutuletea kubwa jinga kichwa kubwa akili ndogoNdiyo. Na kazi yangu ni kuwafundisha wajinga kama wewe mpaka waelewe
Na ikifika kwa dpp ndiyo kwishney,dpp anapigiwa tu simu moja kesi inatupiliwa mbali,sioni faida ya dpp, naye ni hasara kubwa tu kwa taifa.Kuna utawala wa sheria. Siyo kila kitu atafanya Rais Samia. Kwanza anachotoa CAG ni hoja za kiukaguzi wala siyo ropoti ya wizi. Hicho hamkijui. Mnataka kila hoja ya ukaguzi iende jela.
Hao wenye hoja za ukaguzi wanapaswa kujibu. Baada ya hapo Kamati ya hesabu za bunge itazifuatilia na kisha.
Zile ambazo hawataridhika ndiyo zinakwenda TAKUKURU. Na hao TAKUKURU wanakusanya ushahidi wao na kisha wanapita kwa DPP kwa ajili ya kupeleka Mahakamani.
CAG query isn't fraud but a mere symptom
Mzee wa "bustard comment" tisha sana na ung'eng'e wakeWewe bora dingi wako angevaa condom kipind anamnyadua maza wako kuliko kutuletea kubwa jinga kichwa kubwa akili ndogo