CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

Mwashambwa na kipara kipya huwaoni huku wao huichukulia Tanzania Kama duka lao
 
Ukaguzi umebaini MSD ilitoa zabuni ya ununuzi wa vifaa vya maabara ambavyo ni vipimo vya COVID 19 kwa kampuni ambayo haikuwa mtengenezaji wa vifaa hivyo kinyume na makatwa ya zabuni, pia ilinunua vifaa hivyo bila kufuata ushauri, baada ya kufika kwa vifaa hivyo wataalamu walibaini havifai kwa matumizi yetu na tayari MSD ilikuwa imelipa fedha zote.
 
Wakati mwingine unajiuliza huyu CAG motive ya ukaguzi hasa ni nini, kujua faida na hasara kwa maana ya cash...? Ukiwauliza wanaofanya biashara ya maduka makubwa (supermarkets) watakwambia zipo bidhaa wanalazimika kuziweka dukani kwa sababu ni za kuvutia wateja waje dukani wanunue hizo bidhaa pamoja na bidhaa zingine, au kuwa-retain waje kila mara..lakin zenyewe peke yake hazina faida yoyote ya cash! ndivyo ambavyo ATCL inafanya au TRC inafanya, sisi tuna vivutio vingi vya utalii, huwezi kutegemea majirani wakuletee watalii wakati na wao wana vivutio kama vyako..TRC inafanya kazi kubwa ya kusafirisha mizigo mikubwa ambayo inasababisha uwepo wa nafuu ya bei mfano mafuta tofauti kama ingesafirishwa kwa barabara..hivi inahitaji maarifa ya pekee kwa CAG kujua mtazamo huu???
Pili, kwa hali ya sasa sidhani kuna uhitaji wa kuwa na CAG wakati hao anaopita kuwakagua wanaweza kabisa kupitia teknolojia kujua hiyo faida au hasara kwa wiki, mwezi, robo mwaka au hata kila siku...inasaidia nini kupoteza fedha nyingi kukagua taarifa za miaka miwili au mmoja nyuma? Hii si ni sawa na kufanya postmortem...mtu alishakufa, ukijua sababu za kifo atarudi???
Kuna wakati mmoja Profesa wa uchumi akiwa waziri wa fedha awamu ya tatu alipendekeza kuundwe MAMLAKA YA MATUMIZI itakayofanya kazi sawa na inavyofanya TRA..km wakati huo Bunge halikuona maana ya kuwa na mamlaka hii ya matumizi, pengine kwa sasa ni muhimu zaidi kuliko kuendelea na postmortem za CAG hakuna faida yotote ya uwepo wake ni kubebesha mzigo walipa kodi!
 
Nilochogundua mimi...NCHI HAIFILISIKI KWA UPIGAJI KAMA HUU ANAOTUAMBIA CIG.
 
Mkuu hilo wale MISUKULE ya Mwendazake hawayaoni. Serikali ya Samia inafuata utawala wa sheria na iko transparent sana. Alone denoo JG na Etwege
Na wewe ni MSUKULE wa huyo mama. Upo always biased and negative na Magufuli na utamtetea huyo mama hata kwa uwongo na fiksi, sema huoni kundu lako. Haupo balanced kwenye hoja zako. You're too involved in your extreme sense of antipathy against Magufuli na ndiyo maana huoni lolote jema na Magufuli. Hii mada haihusu comparison ya huyo mama ako na Magufuli, lkn wewe tayari you've picked on comments zinazomuhusu Magufuli
 
Kumbe watu wako serious! Wanaitendea haki kauri ya Mama,"Kila mtu ale kwa urefu wa kamba"!
Hapo hakuna atakayechukuliwa hatua!
 
Ila wewe Taila una laana
Hiii nchi imejaa mataila wengi sana
 
Hayo Mapungufu ndiyo udhaifu wake!!, anaanzaje kuwa bora tena??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Kwa hiyo wewe ndio unaakili??
 
Hayo Maungufu ndiyo udhaifu wake!!, anaanzaje kuwa bora tena??
Huyu Dikteta aliwaharibu sana KIFIKRA na itachukua muda kuwarudisha kwenye akili zenu. Tatizo 90% ya Watanzania ni wajinga na walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli
Ongezeko la asilimia 61
 
Na bado ndege zinanunuliwa 😂 next time bado watasema zinaingiza hasara.
Na bado atalaumiwa JPM 😂
Na bado tutaambiwa mama samia anaupiga mwingi

Tz kiboko 🙌
Hadi hii lipoti watasema sababu ni Magufuli
 
I don't give a damn on a bustard comment. You idiot you are victim of false propaganda by Magufuli who was an autocratic despot who suppressed freedom of expression. You also want to me to opine on your way of thinking. Of you think the god you worship (Magufuli) was a "patriotic" president fine, but NEVER silence me from unveiling his atrocities, lies and evil doings.

Kila mmoja ashinde mechi zake, wache wasomaji watu judge.
 
Anzisha uzi maalum uweke wazi hizo "atrocities, lies and evil doings" za Magufuli. Huu uzi unahusu Ripoti y CAG ya 2022/2023. Magufuli anahusika vipi mkuu?
 
Na ikifika kwa dpp ndiyo kwishney,dpp anapigiwa tu simu moja kesi inatupiliwa mbali,sioni faida ya dpp, naye ni hasara kubwa tu kwa taifa.
 
Zambia wapinzani wameingia ikulu.
Senagal kijana mdogo wa upinzani waliyekua wamemfunga jela anakaa ikulu.
Ipo siku watu watachoka na hii Hali ya CCM kushindwa kusimamia Mali ya wanànchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…