CAG Kichere: MSD ilikuwa na dawa zilizo ‘expire’ za Tsh. Bilioni 18.74, zilizoharibika Tsh. Bilioni 707.82

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu ripoti ya utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).

Ameeleza kuwa amebaini kuna uhaba wa dawa na udhaifu katika usimamizi wa utendaji wa Mamlaka hiyo.

Pia soma:
~ Wafanyakazi wa Hainan International LTD inayoshughulikia mradi wa ujenzi wa Bohari ya dawa Chato, hatuna mkataba wala NSSF

~ Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

~ Mapinduzi makubwa MSD miaka minne ya Rais Samia madarakani
 
Kuharibika na k

Kuharibika na ku expiry tofauti ni ipi ?
 
Utofauti n upi hapo kwneye kuharibika na kuexpire?
 
Ingekuwa n chadema wameandamana ungekuta wameshashughulikiwa chap
 
Lakini hizi taarifa zina saidiaa nini jamii

Taarifa za CAG ni kama matangazo ya vifo
Huwa najiuliza sana hivi pia, ikiwa hakuwezi kuwa na mabadiliko kila mwaka inakuwa ina maana gani sasa ya hizi taarifa kutolewa?

Mbaya zaidi hata mafisadi wanaotajwa hadharani huwa hawafanywi lolote daah
 
Swala la Afya kabisa ila cha ajabu watanzania tuliumizwa zaidi ya uwanja wa mpira.

Yeah zote ni ila hii ina uzito sana na imeenda hiyo
 
Tangu lini mzenji akawe na huruma n mtanganyika.?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Upo hospitali unaambiwa hakuna dawa halafu huku unakutana na taarifa ya dawa zilizoharibikia stoo zenye thamani ya karibu trilioni 1.... Hii ndio bongo bana
 
Inatia hasira sana, pesa ndefu sana hiyo na ni maksudi tu ili pesa ipigwe
 
Back
Top Bottom