CAG Kichere: MSD ilikuwa na dawa zilizo ‘expire’ za Tsh. Bilioni 18.74, zilizoharibika Tsh. Bilioni 707.82

CAG Kichere: MSD ilikuwa na dawa zilizo ‘expire’ za Tsh. Bilioni 18.74, zilizoharibika Tsh. Bilioni 707.82

Kwanini wasiwe wanazitoa bure walau bora nusu hasara kuliko hasara kamili.

Zikitolewa bure mahospitalini haziwezi kukosa wahitaji.Watu wangapi wanakosa dawa kisa hawana hela au hakuna dawa🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom