Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kuharibika na ku expiry tofauti ni ipi ?Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu ripoti ya utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD).
Ameeleza kuwa amebaini kuna uhaba wa dawa na udhaifu katika usimamizi wa utendaji wa Mamlaka hiyo.
Pia soma:
~ Wafanyakazi wa Hainan International LTD inayoshughulikia mradi wa ujenzi wa Bohari ya dawa Chato, hatuna mkataba wala NSSF
~ Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe
~ Mapinduzi makubwa MSD miaka minne ya Rais Samia madarakani
Lakini hizi taarifa zina saidiaa nini jamii
Huwa najiuliza sana hivi pia, ikiwa hakuwezi kuwa na mabadiliko kila mwaka inakuwa ina maana gani sasa ya hizi taarifa kutolewa?Lakini hizi taarifa zina saidiaa nini jamii
Taarifa za CAG ni kama matangazo ya vifo
Nam kibindoni, fall guys kadhaa wakauzwaSiamini kama hela hizo ni hasara, naona zimepigwa kwa njia ya expired
Inatia hasira sana, pesa ndefu sana hiyo na ni maksudi tu ili pesa ipigweUpo hospitali unaambiwa hakuna dawa halafu huku unakutana na taarifa ya dawa zilizoharibikia stoo zenye thamani ya karibu trilioni 1.... Hii ndio bongo bana