Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Oct 23, 2026 #21 Duh Aisee said: Nam kibindoni, fall guys kadhaa wakauzwa Click to expand... Hata aibu hakuna Hawa hatajali wanaokufa bila dawa
Duh Aisee said: Nam kibindoni, fall guys kadhaa wakauzwa Click to expand... Hata aibu hakuna Hawa hatajali wanaokufa bila dawa
Duh Aisee JF-Expert Member Joined Jul 28, 2025 Posts 1,297 Reaction score 860 Oct 23, 2026 #22 Black Sniper said: Hata aibu hakuna Hawa hatajali wanaokufa bila dawa Click to expand... Hawana huo muda
Black Sniper said: Hata aibu hakuna Hawa hatajali wanaokufa bila dawa Click to expand... Hawana huo muda
Miguel Felix Gallardo JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,841 Reaction score 5,218 Oct 25, 2026 #23 Kwanini wasiwe wanazitoa bure walau bora nusu hasara kuliko hasara kamili. Zikitolewa bure mahospitalini haziwezi kukosa wahitaji.Watu wangapi wanakosa dawa kisa hawana hela au hakuna dawa🤔🤔🤔
Kwanini wasiwe wanazitoa bure walau bora nusu hasara kuliko hasara kamili. Zikitolewa bure mahospitalini haziwezi kukosa wahitaji.Watu wangapi wanakosa dawa kisa hawana hela au hakuna dawa🤔🤔🤔
Duh Aisee JF-Expert Member Joined Jul 28, 2025 Posts 1,297 Reaction score 860 Oct 25, 2026 #24 Miguel Felix Gallardo said: Kwanini wasiwe wanazitoa bure walau bora nusu hasara kuliko hasara kamili. Zikitolewa bure mahospitalini haziwezi kukosa wahitaji.Watu wangapi wanakosa dawa kisa hawana hela au hakuna dawa🤔🤔🤔 Click to expand... Kabisa
Miguel Felix Gallardo said: Kwanini wasiwe wanazitoa bure walau bora nusu hasara kuliko hasara kamili. Zikitolewa bure mahospitalini haziwezi kukosa wahitaji.Watu wangapi wanakosa dawa kisa hawana hela au hakuna dawa🤔🤔🤔 Click to expand... Kabisa