Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,Sasa kama miradi haifai si mbomoe ili msikie vizuri.bomoeni kila kitu anzisheni vyenu.
Acheni Magu apumzike,enough is enough.
Na presdaa atakapopunguza uwekezaji kwenye hii miradi hatapata ukinzani.Sioni sababu watu kupata pressure. CÀG ametuambia kuwa feasibility study iliyotumika ni ya miaka 50 uliyopita sasa ni juu kujiuliza je ni sahihi? Hivi unaweza kujenga nyumba/project kutegemea study ya miaka 10 uliyopita?
Kwani kuna mtu anamsumbua hadi utake aachwe apumzike??
Haiyaaa jifunzeni kutazama mbele,Pole sana,
Waliyokandamizwa na kunyanyaswa kwa kipindi chote hiki ndo kwanza wameanza, mpaka waje kumaliza kuweka hadharani madudu ya huyu mungu mtu, jiandae kuja KULIA SANA.
La muhimu mwishowe jiruhusu upate somo kuwa; malipo ya UDHALIMU ni fedheha ya
Sure..uko sawaSo what!!?
nyuzi za upondaji na watu wenye wivu zipo nyingi sana humu....nyuzi mojawapo hii hapa.
kazi nzuri za JPM zimeonekana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila siku Jiwe Jiwe hamchoki? Nendeni mkavunie miradi aliyoasisi. JPM was a Hero. Hata mpotoshe vipi?
Acha ubazazi wewe wa "Mapenxi ya Jiwe niue"!Ilani ya ccm 2020 - 2025 inasema tutaendelea kupambana na rushwa na ufisadi kwa nguvu zote.
Haisemi ufisadi umeisha.
Hata Ulaya kina Morinyo, Messi, Ronaldo mara kwa mara tunasikia aamepelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.
Hata Chadema wabunge wengi walihama mwaka jana sababu ya ufisadi michango yao. Kinachotakiwa ni kuendelea kupambana na ufisadi
Mwendazake kaificha ya Assad lkn hii ya sasa ndio hivyo tena.matokeo ya utawala wa mabavu ni huu.huku tunawaza kuwa mabilionea kumbe mabilioni yanatafunwa.sasa tumebaki kusema mabeberu,wachina wabaya.mbona mwendazake aliwaita na kuongea na Rais wa China kwa saa moja?CAG ndo anateseka sio sisi mkuu
Sisi tulishateseka mpaka tukawa wapole siku nyingi.
Swali kweny: CAG alikua na ripoti mbili au ni hii hii alikua kajiandaa kumsomea Chuma??? Manaake sipatii picha ingekuwaje
Kweli kabisa.Mwanafalsafa wa kifaransa aliwahi kuandika kuwa Viongozi wote wakiwemo Marais,Wafalme,Maquuen wanaojifanya wakali sana na kuvuruga kila kitu wana mambo yao wanayaficha.Sasa nimeamini.RIPOTI YA CAG INATUPA USHAHIDI TOSHA.Ama kweli mwendazake alitupatia sana wanyonge.Kumbe anatanguliza mkokoteni,Punda anafuata.DUH.Swine wakitakiwa Watu very Brainy na Wewe Pimbi utajitokeza kabisa ukiwa mkavu hivi?
Utamtetea ila bila hata hiyo CAG Report inajulikana kuwa Mnafiki wenu kasabisha Hasara kubwa tu.
Kuwa mwana CCM au Team Hayati hakukufanyi usimkosoe eti kwakuwa ameshafariki. Hopeless!!
Wakongo na Waganda hadi leo wanawasema akina Mobutu na Idi Amin kwa Matendo yao mabaya.
Sasa kama mnampenda hivi si nanyi Mfe makusudi tu mkazikwe mkabala ( jirani ) nae huko Ziwani alikolala?
Mmekalia tu Unafiki na kumfanya Hayati kama alikuwa ni Mungu Mtu hapa Tanzania. Tumewachokeni!!
Wenzake waliiba Kistaha ( Kidiplomasia ) ila Yeye alikuwa anakwapua na Kunyakua kwa fujo.
Sasa kama miradi haifai si mbomoe ili msikie vizuri.bomoeni kila kitu anzisheni vyenu.
Acheni Magu apumzike,enough is enough.
Mkuu umeua. Yaani huyo huyo ni kila kitu. Kweli ametuachia msala mkubwa mno. Yaani akifufuka nakuapia atakufa na asifufuke tena siku ya wafu kufufuliwa. Aibu juu ya aibu.Injinia upo? Soma hiyoooooo!
View attachment 1747047
Magufuli kashakufa siku nyingi, mbona mnateseka sana na kivuli chake!?
So what!!?
nyuzi za upondaji na watu wenye wivu zipo nyingi sana humu....nyuzi mojawapo hii hapa.
kazi nzuri za JPM zimeonekana.