CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

Sioni sababu watu kupata pressure. CÀG ametuambia kuwa feasibility study iliyotumika ni ya miaka 50 uliyopita sasa ni juu kujiuliza je ni sahihi? Hivi unaweza kujenga nyumba/project kutegemea study ya miaka 10 uliyopita?
 
Kituko cha karne,mambo ya 1979 kwa 2021......yaani hatujui hata kama kuna maji ya kutosha kufanya mradi uwe endelevu,alafu tunaweka Trillions????? [emoji1544]
 
Sasa kama miradi haifai si mbomoe ili msikie vizuri.bomoeni kila kitu anzisheni vyenu.
Acheni Magu apumzike,enough is enough.
Pole sana,
Waliyokandamizwa na kunyanyaswa kwa kipindi chote hiki ndo kwanza wameanza, mpaka waje kumaliza kuweka hadharani madudu ya huyu mungu mtu, jiandae kuja KULIA SANA.
La muhimu mwishowe jiruhusu upate somo kuwa; malipo ya UDHALIMU ni fedheha ya milele.
 
Sioni sababu watu kupata pressure. CÀG ametuambia kuwa feasibility study iliyotumika ni ya miaka 50 uliyopita sasa ni juu kujiuliza je ni sahihi? Hivi unaweza kujenga nyumba/project kutegemea study ya miaka 10 uliyopita?
Na presdaa atakapopunguza uwekezaji kwenye hii miradi hatapata ukinzani.
Ingelikuwa nchi zinzojielewa, uchaguzi ingeitishwa fasta.
 
Kwani kuna mtu anamsumbua hadi utake aachwe apumzike??

Haiyaaa jifunzeni kutazama mbele,
Sasa mnataka kuongea mbaya mpaka lini juu ya mwendazake?
Mngesema akiwa hai,sasa hivi haimake sense.
 
Wakuu tumuombee SAMIA atimize walau miradi miwili ya Ya Magu. Kinyume na hapo ni disaster..

Sikubali kodi yangu iende bure.

NO.
 
Acha ubazazi wewe wa "Mapenxi ya Jiwe niue"!
Jinga mkubwa wewe!
 
CAG ndo anateseka sio sisi mkuu

Sisi tulishateseka mpaka tukawa wapole siku nyingi.

Swali kweny: CAG alikua na ripoti mbili au ni hii hii alikua kajiandaa kumsomea Chuma??? Manaake sipatii picha ingekuwaje
Mwendazake kaificha ya Assad lkn hii ya sasa ndio hivyo tena.matokeo ya utawala wa mabavu ni huu.huku tunawaza kuwa mabilionea kumbe mabilioni yanatafunwa.sasa tumebaki kusema mabeberu,wachina wabaya.mbona mwendazake aliwaita na kuongea na Rais wa China kwa saa moja?
 
Kweli kabisa.Mwanafalsafa wa kifaransa aliwahi kuandika kuwa Viongozi wote wakiwemo Marais,Wafalme,Maquuen wanaojifanya wakali sana na kuvuruga kila kitu wana mambo yao wanayaficha.Sasa nimeamini.RIPOTI YA CAG INATUPA USHAHIDI TOSHA.Ama kweli mwendazake alitupatia sana wanyonge.Kumbe anatanguliza mkokoteni,Punda anafuata.DUH.
 
Injinia upo? Soma hiyoooooo!

Kazi kubwa ipo. Yaani upembuxi wa miaka 51 iliyopita? Mbona kuna mambo mengi ambayo yataathiri maana muda mrefu umepita hasa. Kifedha, kimazingira n.k
 
Sasa kama miradi haifai si mbomoe ili msikie vizuri.bomoeni kila kitu anzisheni vyenu.
Acheni Magu apumzike,enough is enough.

Akili za namna hii ndio zimeharibu nchi. Yaani wabomoe walichoanza tayari?? Haukui kuwa inafaa kuachwa ilipofikia kama haifai??

Hata hivo kinachosemwa hapa ni tofauti. Tunaambiwa tu jinsi mambo yakivofanyika ndivyo sivyo, kinyuma na walivokuwa wakihubiri. Tulia dawa iingie - anayeibua haya si mgeni kutika nje - ndio walewale wazalendo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…