Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwaiyo umeme hautopatikana au?
Mkuu wewe mwenye HIGH THINKING CAPACITY umeshagundua nini kipya katika dunia hii????Nchi ipo hivyo hivyo tu, ni nyie tu na mihemko yenu kwani kwa JK mlisemaje?.. watu wenye upeo mdogo sana wa kufikiri(Low thinking capacity) ndo wanaongeaga huo uk.uma. hakuna Raisi aliyeharibu wala kuipaisha nchi. Nchi ipo hivyo hivyo na CCM ni ileile tu. Nyie mnaofuata upepo na akili finyu ndo mnakuja na hivi vioja.

Hili ndio kosa tunalofanya kama Jamii...., Issue sio kazi nzuri anayofanya au aliyofanya au watakaofanya kina nani..., Issue ni mambo ya kitaifa kwenda kwa misingi na utaratibu wa kuangalia yote hasi na chanya ili pasiwe na uwezekano wa hasara au kulauminianaSo what!!?
nyuzi za upondaji na watu wenye wivu zipo nyingi sana humu....nyuzi mojawapo hii hapa.
kazi nzuri za JPM zimeonekana.
Project zote za JPM lazima wazipondeponde kwanza kabla ya kuzifutilia mbali ili waendeleze zao za upigaji kama bandari ya bagamoyo. Tusahau kuhusu sgr, bwawa la nyerere sijui kupeleka umeme kila kijiji by 2023 na mingineyo. Sasa hivi tupo kwenye kipindi cha kutengeneza ulaji hadi tushibe ndio hayo maproject yenu yaendelee
Aisee duniani kuna mijizi hakuna mfano!Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), imeeleza ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG).
Badala yake ripoti hiyo ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 2020 imesema Tanesco lilitegemea upembuzi yakinifu ambao ulifanywa katika miaka ya 1970 na 1972 na kampuni ya M/S Norconsult ya Norway.
Pia shirika hilo linatumia mpango mtambuka wa mradi na ripoti ya uchunguzi wa kiufundi uliofanywa na kampuni ya M/S Hafslund na M/s Norplan pia kutoka Norway ambayo ilihuisha vipengele vya taarifa ya upembuzi yakinifu miaka ya 1980.
“Vipengele ambavyo havikufanyiwa mapitio na kuhuishwa ni pamoja na utafiti wa kiuchumi na kifedha wa mradi, tafiti za kuwepo kwa maji na uendeshaji endelevu wa mradi,” imesema ripoti hiyo.
Ripoti hiyo imesema maofisa waandamizi wa Tanesco waliozungumza na CAG walieleza kwamba, upembuzi yakinifu uliofanyika katika miaka ya 1970 ulionesha kwamba mradi unawezekana kitaalamu, kiuchumi na kifedha.
“Maofisa waliongeza kuwa kutokana na uharaka wa kuanza utekelezaji wa mradi, taarifa za upembuzi za awali hazikuweza kupitiwa upya zote ili kuzihuisha,” inaeleza.
Ripoti hiyo imesema kuhuishwa huko kwa upembuzi kunatakiwa kwa mujibu wa Sheria ya Umeme ya mwaka 2008, Sheria ya Umwagiliaji ya Kitaifa ya mwaka 2013, Sheria za Usimamizi ya Vyanzo vya Maji ya mwaka 2009 na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya 2004.
Mwananchi
Mi ninachojua vipimo vya sayansi havibadiliki.sasa hata kama ni vya miaka hiyo vipimo vipo vile vile
Nchi ilikuwa inaendeshwa kwa utashi was MTU sheria zooote ziliwekwa pending!!
Kwa taratibu za kifedha karibu miradi yooote ya stoni itakuwa nje ya utaratibu!!
Kunahaja serikali yooote ijiuzulu tufanye uchaguzi upyaaa!! Stone hakushauriwa vyema na makamu wake,waziri mkuu,spika,bunge,chama nk.
Kama walijua hashauriki kwanini walituletea kama mgombea na wakawa wanamsifu kila dakika??
Kistaarabu serikali yooote ijiuzulu tuchague upya asisingiziwe MTU mmoja asiyeweza kurudi kuitetea!!!
Embu serikali istep down kidogo turudie uchaguzi maana Samoa alisema stone alikuwa mwalimu wake sasa kama mwalimu kaharibu hivi mwanafunzi wake je??
- bandari hovyo
- atcl hovyo
- utalii hovyo
- mawasiliano hovyo
- elimu hovyo
- afya hovyo
- demokrasia hovyo
Nipe takwimu kabla ya JPM vijiji vingapi vilikuwa na umeme na hadi anaondoka vilikuwa vingapi ? Kwenye sgr unampa crédit aliyeota kufanya kuliko aliyefanya ?jamani hivi hivi tunaishi nchi tofauti au hii hii Tanzania ? Hospitali huduma ziliboreshwa na tumeona vituo vingi zaidi vya afya vikijengwa pamoja na project nyingine nyingi tu !!! Sasa hivi naona mnapambana kutuaminisha kuwa miradi yetu wenyewe kama sgr na bwawa la Nyerere ni ya hovyo bora ya huo watakaomiliki wachina kwa miaka mia. Yaani dunia ya leo unaingia mikataba ya akina mangungo unakata kipande cha nchi yako unawapa wakoloni watawale halafu unabaki unashangilia tu kama zuzu !!! Kweli nyie ni wazalendo wa kutupwaUmeme kupelekwa kila kijiji ni fedha za REA wala sio ubunifu wa Magufuli. Bwawa la SG ni la 6.5t ili kupata 2,115mg, kwanini tusiweke 3t, kupata zaidi ya 2,115mg kwenye gas ambayo tayari bomba la gas liko hapa Dar? Hiyo SGR, tayari JK alikuwa ameshafikia makubaliano ya mkopo wa exim bank ya China kutoa $7. Leo hii tumeshakopa zaidi ya $3.1b na bado hiyo reli haijafika hata nusu ya malengo.
Nipe takwimu kabla ya JPM vijiji vingapi vilikuwa na umeme na hadi anaondoka vilikuwa vingapi ? Kwenye sgr unampa crédit aliyeota kufanya kuliko aliyefanya ?jamani hivi hivi tunaishi nchi tofauti au hii hii Tanzania ? Hospitali huduma ziliboreshwa na tumeona vituo vingi zaidi vya afya vikijengwa pamoja na project nyingine nyingi tu !!! Sasa hivi naona mnapambana kutuaminisha kuwa miradi yetu wenyewe kama sgr na bwawa la Nyerere ni ya hovyo bora ya huo watakaomiliki wachina kwa miaka mia. Yaani dunia ya leo unaingia mikataba ya akina mangungo unakata kipande cha nchi yako unawapa wakoloni watawale halafu unabaki unashangilia tu kama zuzu !!! Kweli nyie ni wazalendo wa kutupwa
Mmezoea kutishia watu na kesi za uchochezi na uhujumu uchumi eeh!! Zama za udikteta uchwa... zimekwisha! zama zakutisha watu ili maovu yasisemwe,zama za kupiga watu risasi,kuteka na kutesa,zama za kutukana wanaoshauri,zama za kishamba MTU mmoja kujiona nchi yake,zama za kugawa hela barabarani na kumtaja Mungu kilasaa kumbe chini ya kapeti kuna uovu,zama za chuki kwa wanaokukosoa,zama za chama kimoja,zama za kilamtu mpumbavu isipokuwa yeye...Tunarekebisha kuanzia na bandari ya Bagamoyo....
Usichoke kuandika uchochezi ila hakikisha kuwa nawewe ni mkwele...
Kama ni dosari,basi ni dosari na imeelezwa kwa nia ya kuzuia siku zijazo kosa la hivi lisirudiweShirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), imeeleza ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG).