CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

Get serious...

Haya mmeshinda kudanga time is back [emoji3][emoji3]
 
So what!!?
nyuzi za upondaji na watu wenye wivu zipo nyingi sana humu....nyuzi mojawapo hii hapa.
kazi nzuri za JPM zimeonekana.
Umenena vema kabisa, "kazi nzuri inayokwenda kufa kifo cha mende?!"; Mataga bhana!!
 
Magufuli kashakufa siku nyingi, mbona mnateseka sana na kivuli chake!?
Taifa lazima "riende mbere"!, Kwa hiyo kusahihisha makosa ni muhimu sana kwa mustakabali mwema wa taifa letu, Magu awe hai au kafa, ila sasa kufa kwake ni fursa bora zaidi.
 
Sasa kama miradi haifai si mbomoe ili msikie vizuri.bomoeni kila kitu anzisheni vyenu.
Acheni Magu apumzike,enough is enough.
It is not enough until it is enough! Mataga tulieni msumari wa moto upenye sawasawa!
 
Hakuna kioja hapo bali kiroja zuzu ni wewe usiyeweza kuona umuhimu wa kusahihisha makosa taifa "likasonga mbere"!
 
Imagine jitu zima na Phd ya sayansi linadiriki kutamka hadharani eti "akija muwekezaji anataka kujenga kiwanda mpeni kibari haraka haraka, ripoti ya tathmini ya mazingira itakuja baadae"?! Kuna kitu hapo au utopolo mtupu?!
 
Kazi kubwa ipo. Yaani upembuxi wa miaka 51 iliyopita? Mbona kuna mambo mengi ambayo yataathiri maana muda mrefu umepita hasa. Kifedha, kimazingira n.k
Mapitio yangechelewesha na wananchi kukosa umeme. Kazi iendelee tusianze kutafuta sababu za kutafuna pesa
 
It is not enough until it is enough! Mataga tulieni msumari wa moto upenye sawasawa!
Who is mataga!!?

Mnawaste time tu endeni mbomoe,mnascream project zake ni mbovu na kubomoa hamtaki ina maana hata hamjui mnatakaje.
 
kama linatumia upembuzi wa 1970 ambao ndo wenyewe alitaka wafanye upembuzi mwingine?
 
Kusema tutegemee umeme wa gesi ni kukaribisha akina dowans wengine na umeme ungekuwa ni anasa.naona kama vile umeibuka mtindo wa watu kubeza vya kwetu tunavyojenga na kumiliki wenyewe huku wakiviinua vya wageni ? Leo tunabeza sgr ya kwetu tukiipamba bandari ya bagamoyo ambayo sio kwamba si yetu tu bali tunawamilikisha kabisa na kipande cha nchi yetu ambayo wazee wetu waliipigania tukapata uhuru !!
 
Bwawa lina siasa nyingi sana hili tangu kuanza kwa mradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…