CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

Huwezi pia kupata faida hata kwa miaka 500 kwa mishahara yetu ya Tanzania. Kwanini ameshindwa kuweka wazi hiyo faida itaanza kupatikana lini!? Miaka mitano zaidi ya 3 trillions zimetumika kununua ndege na hasara kwa miaka mitano hasara ni 153 billions. Taifa liendelee kupata hasara kwa miaka mingapi mingine?

Kwenye private companies UPUMBAVU kama huu wa hasara ya 153 billions kwa miaka mitano mfululizo haikubaliki kwanini walipa kodi tuendelee kubeba huu mzigo mzito!? Former CAG Assad yuko sawa kufufua ATCL ilikuwa ni maamuzi ya kipumbavu.

 

Tatizo la hayati hakuwa mwongo...Mishahara aliongeza kwakupunguza
1. Paye
2. Inflation
3. Deflation kwenye assets
4. Kupunguza riba za mikopo mf. CRDB ilipunguza riba kutoka 22% mpaka sasa 14% kwa service loans, Bank ya poster mortgage 8% dhidi ya Azania ambao walikuwa wanatoa kwa 18% ulitaka aongeze absolute figure?

Lakini njoo kwenye social services, bima ya afya kwamfano alitengeneza bima ya community nakuingiza watu wengi kwenye scheme, elimu bure ambayo ni nyongeza ya mshahara kwaambaye angelipia hiyo pesa kwa mtoto wake...Acheni uzwazwa tuweni honest kama JPM tusiishi kwakuridhisha watu huku wakiendelea kudidimia na sisi tukie delea kuneemeka huku institutions zikizidi kuwa weak...
 
Umeeleweka mkuu ila nyumb hawataelewa andiko lako!!

Zama za hofu zimepita, sasa hivi watu wanafunguka tu, sukuma Gang subirini mpewe ukweli wa jinsi dhalimu alivyoharibu nchi. Nashukuru ibilisi mpaka anaelekea motoni, hakuwahi kunishawishi wala kubadili ufahamu wangu, mbali ya propaganda kubwa zilizoondoa uelewa wa watu kadhaa.
 
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Eti hayati hakuwa muongo 🤣🤣🤣🤣🤣🥲🤣
 
Bwasheee mbona haujaweka pia Dr Albany Marcossy naye mchango wake?
 
Hebu acha kuandika ujinga wako!
 
Unateseka ukiwa wapi ndugu!?hiyo kudouble bajeti ya afya ni kwenye makaratasi na mdomoni tu,lakini uhalisia hamna kitu,fuatilia mijadala ya bunge kabla ya uchaguzi 2020 usikie wabunge walisema nini?
Yaani hata zile hospital zilizojengwa utazifichaje kwamfano, unadhani kupunguza gharama za usafiri na malazi kwakwenda mbali siyo increament through substitution?
 
Huyo Bavicha hawezi kukuelewa!
 
Sasa kama unaandika ujinga kwamba dhalimu magufuli hakuwa muongo unataka nikuite GENIUS!? 😳😳😳😳
Sasa ukinitukana si unajiumiza tu wewe? Ni indicator kwamba umeshindwa kuja na hoja una substitute na maneno makali...
 

Fly emirates halipati faida? Emirates imekuwa ikipata profit mpaka 2019/2020 due to Covid-19 impact before that it has been making big profit.
 
Hivi TTCL sio shirika la uma?Mbona tumeliona likitoa gawiwo serikalini?

Kuna hoja nyingine za wasomi zinapelekea kina musukuma waseme bora waaminiwe wao darasa la saba watafanya vizuri kuliko wasomi,
 
Sio kwamba wao wananyonya wengine? Wengine wanapokea huduma bure muda mrefu.
 
Kilikuwa kitu kingine!

Jiwe angeendelea kuwepo angeweza hata kubadili tarehe ya uhuru wa Tanganyika kuwa 28 Oktoba 2015 na sisi tukasherehekea!

No wonder kule Mbarali wananchi walimpongeza kwa kuleta kupatwa kwa jua nchini! Kweli CCM ni msiba wa taifa (national tragedy)!
 
Eti tatizo la hayati hakuwa muongo, halafu akaitisha matangazo mubashara ATCL, TTCL nk zikitoa gawio serekalini, huku ukiwa ni uongo wa wazi. Kwa kutetea ujinga ni bora ungepewa kazi ya kulinda kaburi lake ungepata neema ya kuwa muongo msaidizi. Kama watu mnaoweza kutumia mitandao bado ni wajinga hivi, hao wakulima huko vijijini wana ujinga wa kiasi gani?
 
Hivi TTCL sio shirika la uma?Mbona tumeliona likitoa gawiwo serikalini?

Kuna hoja nyingine za wasomi zinapelekea kina musukuma waseme bora waaminiwe wao darasa la saba watafanya vizuri kuliko wasomi,
Umeambiwa " kimsingi "

Uwe unaelewa bwashee!
 
Vipi kuhusu kituo cha mabasi Mbezi ni kweli kitaleta foleni?
 
Sio kwamba wao wananyonya wengine? Wengine wanapokea huduma bure muda mrefu.
No ni kuku na yai...Leo umemsikia waziri wa Kilimo watanzania 70% wapo kwenye kilimo lakini mchango wao hauzidi robo kwenye pato ghafi la taifa...Hapo utasema nini? Si ni utendaji usio natija? Hapo kuna ma bwana shamba, bwana mifugo, watendaji wa vijiji etc woote hao wanalipwa mishahara huku wanaowasimamia pamoja na wao mchango wao ni huo...Huo mshahara utatoka wapi?

Kunashida kwenye utendaji wa watumishi wa umma, na viongozi wao!
 
Uttoh ni muongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…