BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Huwezi pia kupata faida hata kwa miaka 500 kwa mishahara yetu ya Tanzania. Kwanini ameshindwa kuweka wazi hiyo faida itaanza kupatikana lini!? Miaka mitano zaidi ya 3 trillions zimetumika kununua ndege na hasara kwa miaka mitano hasara ni 153 billions. Taifa liendelee kupata hasara kwa miaka mingapi mingine?
Kwenye private companies UPUMBAVU kama huu wa hasara ya 153 billions kwa miaka mitano mfululizo haikubaliki kwanini walipa kodi tuendelee kubeba huu mzigo mzito!? Former CAG Assad yuko sawa kufufua ATCL ilikuwa ni maamuzi ya kipumbavu.
Kwenye private companies UPUMBAVU kama huu wa hasara ya 153 billions kwa miaka mitano mfululizo haikubaliki kwanini walipa kodi tuendelee kubeba huu mzigo mzito!? Former CAG Assad yuko sawa kufufua ATCL ilikuwa ni maamuzi ya kipumbavu.
Kuna ka ukweli Mkuu. Si rahisi kupata faida mara tu unapoanzisha biashara. Lakini ni muhimu kujua lini utaanza kupata faida itakayofidia hasara za mwanzo. Ukiona unaendelea kupata hasara bila tegemeo lolote la faida huko mbeleni unatakiwa ku cut your loses na kuachana na hiyo biashara. Tofauti ni kama unafanya hiyo biashara kwa sifa tu au kutoa huduma na una uwezo wa kuibeba kwa sababu vyanzo vyako vingine vinafidia hasara unayoipata. Hali sio hivyo kwa ATCL. Shirika lina madeni ambayo yanaizuia kufanya biashara katika sehemu ambazo ndio soko kuu. Shirika halituambii lini linategemea ku break even lakini kidogo walicho nacho wanakitoa serikalini kama "dividend". Taifa letu halina pesa za kuchezea kiasi hicho.
Amandla...