Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Yanajuaga basi hayo magenge!Utalii wa ndani kwa ndege ya dreamliner!? Hapa unajichoresha tu kwa kupulizia kinyesi perfume ukitarajia kitanukia.
Yenyewe kukurupuka tu na legacy[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanajuaga basi hayo magenge!Utalii wa ndani kwa ndege ya dreamliner!? Hapa unajichoresha tu kwa kupulizia kinyesi perfume ukitarajia kitanukia.
Unauhakika bwashe au furahisha genge...Nitajie moja isiyo na wahudumu kabisa...Hospital bila madawa na wahudumu tutaipa jina gani linalofaa?
Unatafuta ushindi au?Usitake kuchanganya alichosema Utooh kisheria na ule utapeli aliokuwa anaufanya Jiwe. Alichokuwa anakifanya jiwe ni kuhadaa umma kuwa ATCL inapata faida. Mwaka jana mwezi Desemba kwa masikio yangu nilimsikia akiuongopea umma kuwa ATCL imeingiza faida ya 28b. Huku mitandaoni kwenye watu waelewa wala usijitokeze kumtetea yule muhuni, maana utajiabisha bure.
Ndugu yangu acha kamba.Nataka nikujuze pia mashirika yote ya ndege duniani yanaendeshwa na ruzuka zitokazo serikalini mwao Fuatilia
Hakuna faida kwenye ndege, faida yake ni kuchochea uchumi tuKwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
Hakuna faida kwenye ndege, faida yake ni kuchochea uchumi tu
Siyo kwakua hawakuwa na jipya na yeye alitaka innovation siyo statusquo?Ilikua nidhamu ya woga kiukweli jamaa alikua na dhamira ya dhati ila kuna watu waliogopa kumwambia ukweli narudia tena waliogopa kumwambia ukweli ila alikua na malengo sahihi na hii nchi
Tatizo lako ndugu yangu ni pingapinga tu! Hata viongozi wako wanakiri tatizo si kununua ndege au kufufua ATCL bali namna manunuzi yalivyofanyika! Siasa zetu zimejaa kelele kuliko kujua watu wanasimamia principles zipi [emoji855]
La gawio, lilitamkwa hivyo kwamba wanatoa gawio kwa serikali... Sasa hapa simuelewi kabisaa...Wanaopenda kusikia wanachokipenda kukisikia hata kama siyo fact watapinga hili
Gawiwo lipo kisheria kwa mashirika ya umma na halitokani na faida...La gawio, lilitamkwa hivyo kwamba wanatoa gawio kwa serikali... Sasa hapa simuelewi kabisaa...
Je, lile gawio na faida tuliyokuwa tunasomewa kutoka ATCL ni Taarifa za uongo?
Taarifa ya CAG jana imetufumbua macho wengi. Ikumbukwe kwa miaka takribani miwili ya uongozi wa Hayati John Pombe Magufuli tulikuwa tunasomewa taarifa za faida na Gawio la shirika la ndege ATCL ATCL lakini jana CAG anasema shirika hilo halijawahi kupata faida. Sasa nauliza jamani mbona kama...www.jamiiforums.com
Ilikua nidhamu ya woga kiukweli jamaa alikua na dhamira ya dhati ila kuna watu waliogopa kumwambia ukweli narudia tena waliogopa kumwambia ukweli ila alikua na malengo sahihi na hii nchi
Hilo gawio siyo dividend ni kitu kingine by Uttoh!Gawiwo lipo kisheria kwa mashirika ya umma na halitokani na faida...
Ndiyo ndugu yangu, Fly-Emirates haipati faida ya moja kwa moja kutokana na safari za anga pekee. Shirika lao la Emirates linamiliki mashirika mengine madogo-madogo (subsidiaries) yanayohusika na biashara nyingine kama Adventures and Tour-Guiding, Aircraft-Maintenance, Flight-Training, Catering etc. Hivyo wanafanya biashara kubwa na hawategemei safari za anga tu kama ATCL.Fly emirates halipati faida? Emirates imekuwa ikipata profit mpaka 2019/2020 due to Covid-19 impact before that it has been making big profit.
Hadaa tupuWalitoa GAWIO tena mubashara tbc
Ni hekalu kama yale mahekalu ya Mugabe?Kuna jamaa juzi tunapiga soga akaniuliza: "hivi SMU katika hizi shughuli za mazishi ya JPM mbona walikuwa hawaoneshi nyumba ya JPM?"
Kauli zao wakati wanapokea fedha mbele ya makamera.ATCL pengine ilitoa contributions and not dividend to the Govt. Fatilieni msichanganye mambo.
Hapa mwamba kachemka kidogoCPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanayofanya?!
Hayajawahi toa dividend, yametoa gawiwo ambalo lipo kisheria ila sheria hii ilikuwa haitekelezwi Hayati aliitekeleza...Hapa mwamba kachemka kidogo
Tanapa ni shirika la umma
Tanesco ni shirika la umma
Dawasa ni shirika la umma
Yote hayo yanafanya biashara