Duuh haya basi au nikuletee hizo kazi nilizofanya kuwasaidia baada ya auditors wa Tanzania kushindwa kwakua wakenya walifanya hizo complicated audits wakaondoa baadhi ya assumptions ili mshindwe kufanya pasipo wao?Hapo hapo umejiondoa kwenye mjadala
Ndio Mana nilihisi kuwa wewe si muhasibu
Wewe ilmu yako ni debit na credit,ku journalize na cash book baas.
Hata preparation of final accounts huwezi,kwa hiyo haya Mambo ya dividents waulize watu waliokuzidi kidogo na pitia Sheria ya uanzishwaji wa shirika la uuma husika utapata elimu nzuri
My dear usifungwe tu na taaluma yako ya accounts ambayo imepitwa na wakati sikuhizi knowledge imekuwa sana accountants wetu wapo tu na narrowed frame wa wenzetu wanakuja na integrated knowledge ndiyo maana wengine wanakuwa wanasheria cum accountants, ili mradi wafanye maboresho kwenye hizo proceedures na kuleta good interpretations za hizo financial statements