CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

Hapo hapo umejiondoa kwenye mjadala
Ndio Mana nilihisi kuwa wewe si muhasibu
Wewe ilmu yako ni debit na credit,ku journalize na cash book baas.
Hata preparation of final accounts huwezi,kwa hiyo haya Mambo ya dividents waulize watu waliokuzidi kidogo na pitia Sheria ya uanzishwaji wa shirika la uuma husika utapata elimu nzuri
Duuh haya basi au nikuletee hizo kazi nilizofanya kuwasaidia baada ya auditors wa Tanzania kushindwa kwakua wakenya walifanya hizo complicated audits wakaondoa baadhi ya assumptions ili mshindwe kufanya pasipo wao?

My dear usifungwe tu na taaluma yako ya accounts ambayo imepitwa na wakati sikuhizi knowledge imekuwa sana accountants wetu wapo tu na narrowed frame wa wenzetu wanakuja na integrated knowledge ndiyo maana wengine wanakuwa wanasheria cum accountants, ili mradi wafanye maboresho kwenye hizo proceedures na kuleta good interpretations za hizo financial statements
 
Kwa nchi kama yetu na maskini,, basi tulikuwa tunakurupuka kufanya biashara ya ndege,,kuna vitu ambavyo ni muhimu kwetu,, kuna barabara, shule, hospital,
 
CPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanayofanya?!
Utoh kuna kituanachanganya kuwa non profit organization sio maana yake usizalishe faida la hasha .Vinginevyo ORGANIZATION ITAKUFA

Ndio maana kanisa mfano Roman Catholic church wana mashule kibao.Faida wanayopata inatumika kuendesha shughuli za kanisa

VIvyo hivyo serikali ni non profit organization lakini ina vyuo vikuu vinavyotoza ada vinatakiwa vizalishe ziada iende kuchangia uendeshaji wa serikali

Mfano korea ya kaskazini NDIO NCHI PEKEE Duniani ambako ni marufuku mwananchi kulipa kodi ya aina yeyote kwa serikali

SERIKALI INAISHI KWA KUTEGEMEA MASHIRIKA YAKE YA UMMA.FAIDA INAYOPATIKANA KWENYE MASHIRIKA YA UMMA NDIO HUTUMIKA KUENDESHA SERIKALI YA KOREA YA KASKAZINI

Raisi Nyerere alianzisha mashirika mengi ya umma lengo likiwa kutoa ajira n kuiwezesha serikali kupunguza mzigo wa kodi kwa raia na ili serikali kwa kiasi kikubwa ijitegemee isitegemee kodi tu sababu kuna hatari kubwa serikali kuishi kwa kutegemea kodi tu ziko nchi huweza kupinduliwa na walipa kodi.MFANO unategemea mlipa kodi mkubwa mmoja mfano breweries

AWEZA KUTIKISA AKASEMA NAFUNGA BIASHARA naondoka zangu kama hutaki masharti yangu.AKIFUNGA VIRAGO HELA YA KULIPA WANAJESHI HUNA NK .Wanakupindua

Mashirika ya umma yote yalianzishwa ili yatoe dividend kwa serikali

Utoh kwa hilo kapotopka.
 
Hayajawahi toa dividend, yametoa gawiwo ambalo lipo kisheria ila sheria hii ilikuwa haitekelezwi Hayati aliitekeleza...
Kwanza hatuna neno gawiwo katika lugha ya Kiswahili na neno sahihi ni gawio.
Gawio
tafsiri yake katika lugha ya Kiingereza ni dividend...masikini Ame!

Huu ujeuri wa kudandia hoja zinazokuzidi kimo ni heri uepukane nao.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa regime ya Magufuli ndege hazikununuliwa pasipo objective, zilinunuliwa kuinua utalii na kuchochea uchumi, zipo hotuba zake kibao kwaajili hiyo...Do not try to fit a rectangular peg in a roumd hole to suit your personal desire...Kwamba hiyo objective yake haikueleweka na ninyi auditors wetu mkaenda huku mmekariri na kufanya aidits zenu kwa financial analyses pekee bila kujali nature ya hiyo business basi hilo no jambo jingine...Basi mkafanye na audits za hasara na faida kwa ma NGO yanayopokea madola toka kwa wazungu mtuambie hasara na faida zake, je hayafanyiwi audits?
Lengo la Magufuli kuipa ATCL ndege ni ili lifanye biashara na kuleta faida. Ndio maana mwaka 2018 lilitangaza kupata faida na Magufuli akalipongeza na kutaka liendelee kufanya hivyo hivyo miaka mingine yote itakayofuata.

Kama Magufuli alitaka ndege zake ziwe za mambo ya kitalii basi angezipeleka kwenye bodi ya utalii, ambapo mpaka leo hii bodi ya utalii haina ndege hata moja na kila siku wanaililia serikali iwape angalau hata ndege moja ili kukuza utalii.

Kuhusu NGO, zote hapa nchini zimeanzishwa kwa sheria inayozitaka zisifanye biashara kabisa, na wala zisitengeneze faida ya kipesa. Na ndio maana hazidaiwi kodi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Duuh haya basi au nikuletee hizo kazi nilizofanya kuwasaidia baada ya auditors wa Tanzania kushindwa kwakua wakenya walifanya hizo complicated audits wakaondoa baadhi ya assumptions ili mshindwe kufanya pasipo wao?

My dear usifungwe tu na taaluma yako ya accounts ambayo imepitwa na wakati sikuhizi knowledge imekuwa sana accountants wetu wapo tu na narrowed frame wa wenzetu wanakuja na integrated knowledge ndiyo maana wengine wanakuwa wanasheria cum accountants, ili mradi wafanye maboresho kwenye hizo proceedures na kuleta good interpretations za hizo financial statements
Kwenye uhasibu hakuna janja janja,lazima usomee sijui kwa hizo fani zenu za clearing and forwarding,lakini ili uwe muhasibu lazima usome
 
BAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?

Mishahara itapanda kama tutazalisha kiwango cha juu na hakiji tu bila kutoka jasho...Imagine miradi yote ya kimkakati iishe mishahara si ita triple?

So far hayati alijitahidi sana kwanza kupunguza inflation na deflation kwenye riba, kisha social service kama elimu na afya aliiongezea budget even three times mlitakaje? Aliigawa cake ya taifa kwa wemgi zaidi...Wafanyakazi Tanzania hawafiki hata 11% kisha wanachukua 60% ya budget...Aliilipa mishahara bila kuchelewesha hata sekunde na in a very sustainable way

Tuongeze tija ndiyo mishahara kuongezeka iwe justified, otherwise tunafanya unyonyaji kwenye population ya ambao hawajaajiriwa...Ubinafsi wa hali ya juu!
Mkuu wabongo hatupendi kusoma na kufuatilia facts jamii nzima bali wanajali hali zao privately hvyo ukileta story za deflation na inflation wanahsi unawanyina haki yao kiuchumi
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwa nchi kama yetu na maskini,, basi tulikuwa tunakurupuka kufanya biashara ya ndege,,kuna vitu ambavyo ni muhimu kwetu,, kuna barabara, shule, hospital,
Kama barabara unakubali ni faida basi ndge ndiyo hiyo barabara ya hewani ambayo inachorwa kwa mawingu...

Kwanza katika stage hii ya maendeleo tukikubaliana vizuri hakuna kuongelea hasara na faida kwa hata private companies kwakua uchumi wetu bado haujafikia market level...Ukitaka ku validate hili nenda nchi yoyote duniani iliyoendelea katika hatua zake za mwanzo za ukuaji je vitu vingi vilikuwa vinafanywa na nani? Utagundua ni serikali na kwenye serikali kama pesa haiendi nje ya uchumi wa ndani hizo zinaitwa transfers tu. Ni kama kuhamisha mfuko huu kwenda mwingine...
Tukifika uchumi wa juu kila kitu kinaweza kuwa liberalized siyo kwa sasa...Tuisaidie nchi tuache ushabiki na kukariri...
 
CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake.

Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends
Uttoh amesema kwa uelewa wake ATCL haijawahi kulipa dividend kwa serikali, na kama kuna fedha ziligawiwa kwa serikali na ATCL hicho ni kitu kingine siyo dividend

CPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanayofanya?!

Source: ITV kipindi cha Kipima Joto
Huyu ndio CAG. Enzi zake alikuwa smart sana na ndiye aliyenifanya nianze kufuatilia ripoti za CAG. Halafu haropokiropoki kama yule CAG aliyetaka kujifanya Mhimili!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake.

Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends
Uttoh amesema kwa uelewa wake ATCL haijawahi kulipa dividend kwa serikali, na kama kuna fedha ziligawiwa kwa serikali na ATCL hicho ni kitu kingine siyo dividend

CPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanayofanya?!

Source: ITV kipindi cha Kipima Joto
Sasa kipindi wanajitokeza kwenye kamera kuwa wanamkabidhi mwendazake gawio , Je ilikuwa ni zuga kwa nani ?!

Odhis *
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hao wengine wana business plans na hizo hasara sio surprise wanakuwa wanafahamu fika kwamba miaka hii 5 ya kwanza hamna kitu. Sisi shirika letu lilishatengeneza hadi faida.

Assad aliwaambia waliache shirika liwe kufilisi ili madeni yapotee wao wakajiingiza kwenye manunuzi ya ndege yasiyofuata taratibu wala kujali uhitaji halisi wa shirika. Tutaelewana tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Fuatilia maelezo yangu, kama unataka kuelewa utaelewa kama unatafuta ligi basi am out...UDSM walipata faida kiasi gani mpaka wakatoa gawiwo? Wana hisa kiasi gani za biashara ipi kwamfano?
Ndugu yangu nawe umeingia kwenye mtego ule ule wa Magufuli ambao tulimkosoa sana kipindi kile wa kuzidai kila taasisi za umma ziipe pesa serikali.

Hilo la UDSM tulisema wazi kuwa, ni taasisi ya umma, yenye lengo la kutoa huduma (sio kufanya biashara) na kama inaweza kuingiza faida basi inabidi isonge mbele kwa kupunguza utegemezi wa ruzuku ya serikali ili iweze kujiendesha. Kuilazimisha kutoa gawio ni sawa na kutoa pesa mfuko wa shati na kuiweka kwenye mfuko wa suruali, haina mantiki.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kwa hiyo tutegemee faida baada ya miaka 100? Watanzania tulimuonya dikteta kwamba ununuzi wa ndege si kipaumbele cha Watanzania na biashara ni hasara tupu kama ASINGEKURUPUKA hiyo zaidi ya 3 trillions si ingeweza kutumia kuongeza mishahara ya Wafanyakazi nchini!?
Mkuu..Meko alinunua hii midege ili apate ten percent yake tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
BAK unaniangusha, yaani unaendekeza mambo ya from hands to mouth?

Mishahara itapanda kama tutazalisha kiwango cha juu na hakiji tu bila kutoka jasho...Imagine miradi yote ya kimkakati iishe mishahara si ita triple?

So far hayati alijitahidi sana kwanza kupunguza inflation na deflation kwenye riba, kisha social service kama elimu na afya aliiongezea budget even three times mlitakaje? Aliigawa cake ya taifa kwa wemgi zaidi...Wafanyakazi Tanzania hawafiki hata 11% kisha wanachukua 60% ya budget...Aliilipa mishahara bila kuchelewesha hata sekunde na in a very sustainable way

Tuongeze tija ndiyo mishahara kuongezeka iwe justified, otherwise tunafanya unyonyaji kwenye population ya ambao hawajaajiriwa...Ubinafsi wa hali ya juu!
Praise & Worship gang at its best!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwanza hatuna neno gawiwo katika lugha ya Kiswahili na neno sahihi ni gawio.
Gawio
tafsiri yake katika lugha ya Kiingereza ni dividend...masikini Ame!

Huu ujeuri wa kudandia hoja zinazokuzidi kimo ni heri uepukane nao.
Sasa kama umeenda kwenye dictionary kutafuta direct translation kwa technical term nikusaidieje?

Pole, kweli kiswahili sikijui ila siunajua tunachozungimzia? Unajua maana ya ku communicate au?

Hizi sifa za kitoto ni zile za darasa la kwanza sitaki kwenda huko, natoa yoote haya kupanua uwezo wa mitazamo ya wengine ambao wanafanya maamuzibkatika nchi ili waweze kueleza maana halisi ya report za CAG na waweze kufanya maamuzi yenye faida kwa taifa...Haya maswali yanasaidia tu mimi kutoa uelewa wangu na wenye kufanya maamuzi watachakata pumba watazitupa na mchele watauchukua kwa faida ya taifa...

Pole sana sina dhamira hiyo uliyonayo wewe!
 
Kuhusu NGO, zote hapa nchini zimeanzishwa kwa sheria inayozitaka zisifanye biashara kabisa, na wala zisitengeneze faida ya kipesa. Na ndio maana hazidaiwi kodi.
Ulichoandika sio kweli NGO inaruhusiwa kufanya biashara ila faida inayopatikana haigawiwi kama dividend bali inatumika kwenye shughuli za NGO tu.Na biashara inazofanya huwa na leseni kama kawaida na hukatwa kodi za TRA.Hakuna kipengele chochote cha sheria kinachokataza NGO kuwa na biashara!!! NDIO MAANA utakuta misikiti na makanisa majengo yao yamezungukwa na fremu za biashara zinazomilikiwa na makanisa na misikiti!!!
 
Kwenye uhasibu hakuna janja janja,lazima usomee sijui kwa hizo fani zenu za clearing and forwarding,lakini ili uwe muhasibu lazima usome
Hongera sana kwakusoma kwako...Sisi ambao tumeelewa hata kwakusoma bila vyeti tutaendelea kutumia elimu kuleta tija kwa watu wetu siyo kutambia ambao hawakwenda shule lakini wanazo practical experience ila hawafahamu hicho wanachokielewa katika lugha ya taaluma...
 
Hawa ndio wasomi tunaowataka sio wale akina ndugai wanendekeza siasa juu ya utaalamu.
 
CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake.

Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends
Uttoh amesema kwa uelewa wake ATCL haijawahi kulipa dividend kwa serikali, na kama kuna fedha ziligawiwa kwa serikali na ATCL hicho ni kitu kingine siyo dividend

CPA Uttoh amesema kimsingi mashirika ya umma hayapaswi kulipa dividend kwa sababu hayafanyi biashara na ametoa mfano UDSM wanalipa dividend serikalini kwa biashara gani wanayofanya?!

Source: ITV kipindi cha Kipima Joto
Luis Uttoh apumzike tu. Wala msimsikikize kwa kuwa huwa hana kauli thabiti ya kiuhasibu.

Mwaka 2014 kwenye uchunguzi wa fedha za ESCROW alishindwa kusema hela ni za TANESCO au ni za IPTL.

Bado anataka apate "favours za Serikali". TUMPUUZE
 
Back
Top Bottom