CAG na waliojikopesha Sh41 bilioni NHIF

Sio kila kitu ni ubadhilifu. Mikopo ya watumishi iko kila mahali na ina utaratibu wake wa kurejesha. Huu kama ni ubadhilifu mamlaka zitachukua hatua stahiki
 
Mapungufu ya NHIF yaangaliwe kwa umakini kwani mengine yamesababishwa na kutoongezeka kwa michango, wizi wa vituo, wanachama kuuza kadi zao na kuwatibia watu wasiostahili, kwa mawazo yangu NHIF inastahili pongezi na sio haya
 
Mchango wa NHIF anaolipa mwanachama ni mdogo sana haulingani na huduma mnazopata hilo nalo kwani hamlioni
 
Hii ripoti tuisomage kwa ujumla wake. Mbona inaonesha kabisa kwamba Mfuko unachukua hatua kwa vituo vinavyowasilisha madai ya udanganyifu na tayari takriban Bil. 7 zimesharejeshwa kwa Mfuko kati ya takriban Bil. 14 za udanganyifu zilizolipwa. Aidha vituo 32 vimeshasitishiwa mkataba na kuripotiwa kwa mamlaka husika
 
Watanzania tujifunze kusoma ripoti nzima na kuelewa maana yake, hii mikopo iliyoelezewa hapa ni mikopo kama ilivyo mikopo mingine na hapo hakuna fedha ambayo imeropotiwa kupotea, tujifunze kuelewa na sio kuishambulia NHIF na kusahau mazuri yote yanayofanywa na Mfuko.

Kuna maelfu ya Watanzania wako Hospitalini muda huu na wanachotegemea ni NHIF, wapo ambao gharama zao kwa wiki ni zaidi ya Milioni moja na hizo gharama ni kwa maisha yao unadhani bila NHIF inawezekana? Tuache kuzua taharuki kwenye huu Mfuko unayo mazuri mengi unafanya.
 
Waondikane na nfuno huo, wawape madhirika binafsi ya bims ya uendeshe uone kama yatatokea huko yanayotojea hili shirika la serikali.

Serikqli haiwezi kuendesha biashara yoyote ile.
NHIF wanafanya biashara? Maana utasema hata muhimbili, Amana hodpitaly nazo wapewe watu binafsi
 
Mapungufu ya NHIF yaangaliwe kwa umakini kwani mengine yamesababishwa na kutoongezeka kwa michango, wizi wa vituo, wanachama kuuza kadi zao na kuwatibia watu wasiostahili, kwa mawazo yangu NHIF inastahili pongezi na sio haya
 
Hii ni propaganda chafu dhidi ya nhif kwani taasisi zingine hamjaona wakijikopesha au ndio NHIF tu mnataka kuionea acheni ukilitimba
 
Mchango wa NHIF anaolipa mwanachama ni mdogo sana haulingani na huduma mnazopata hilo nalo kwani hamlioni
 
Kwanza kuna wanachama mnahujumu Mfuko halafu mnakimbilia hapa kushinikiza Uongozi uondolewe ili muendelee kuuibia, wapo watoa huduma ambao mnashirikiana na wachama kuhujumu Mfuko mbona hamsemi?
 
Halafu ukisoma vizuri unaona kabisa CAG anasema kutokana na taarifa za uchunguzi zinazofanywa na NHIF ndio udanganyifu huu umebainika. Ina maana NHIF wenyewe wanapambana kubaini udanganyifu na kuchukua hatua ripoti za NHIF stahiki
 
Hii ripoti tuisomage kwa ujumla wake. Mbona inaonesha kabisa kwamba Mfuko unachukua hatua kwa vituo vinavyowasilisha madai ya udanganyifu na tayari takriban Bil. 7 zimesharejeshwa kwa Mfuko kati ya takriban Bil. 14 za udanganyifu zilizolipwa. Aidha vituo 32 vimeshasitishiwa mkataba na kuripotiwa kwa mamlaka husika
 
Watanzania tujifunze kusoma ripoti nzima na kuelewa maana yake, hii mikopo iliyoelezewa hapa ni mikopo kama ilivyo mikopo mingine na hapo hakuna fedha ambayo imeropotiwa kupotea, tujifunze kuelewa na sio kuishambulia NHIF na kusahau mazuri yote yanayofanywa na Mfuko.

Kuna maelfu ya Watanzania wako Hospitalini muda huu na wanachotegemea ni NHIF, wapo ambao gharama zao kwa wiki ni zaidi ya Milioni moja na hizo gharama ni kwa maisha yao unadhani bila NHIF inawezekana? Tuache kuzua taharuki kwenye huu Mfuko unayo mazuri mengi unafanya.
 
NHIF ni kama taasisi zingine sidhani kama wanaweza kugawana fedha kama mnavyotaka kutuminisha hapa, zipo taratibu walizojiwekea ikiwemo maslahi ya Watumishi na hizi fedha uzuri wake zinatejeshwa hivyo tusitake wateseke sana na wasione hata umuhimu wa kazi, kikubwa huduma zinapatikana vituoni.

Kazi iendelee nhif
 
changamoto za mfumo wa bima ya afya nchini hasa wa umma haziwezi kupata suluhu kwa kubadilisha bodi au menejiment Au wafanyakazi bila kujua kiini cha tatizo. Mfumo wa bima ya afya lazima uboreshwe kwa kuweka sera au sheria ambayo itaweka mazingira kwa kila mtanzania kushiriki kuchangia bima ya afya. Duniani kote hakuna mfumo wa bima ya afya unaoweza ku survive kwa kutegemea wanachama wanaojiunga kwa hiari wakiwa tayari ni wagonjwa.
Suluhu ni kuwa na sheria ya bima ya afya kwa wote au kuondoa makundi yote ya hiari na mfuko kubaki na watumishi wa Umma tu. Kuhusu mikopo, NHIF ni taasisi ya umma inayoendeshwa bila kutegemea ruzuku kutoja Serikalini , mikopo inayotolewa kwa wafanyakzi wake ni sehemu ya motisha kwa wafanyakazi kama ilivyo kwa watumishi wengine wa taasisi za umma na binafsi. Mapato yatokanayo na riba ya mikopo hiyo ya wafanyakazi huwezesha mfuko kupata mapato ya ziada na kujiendesha na kuboresha huduma kwa wanufaika wake.
 
Kweli kabisa tuzipe muda mamlaka zifanye kazi yake. Kama kuna ubadhilifu hatua zitachukuliwa na kama ni vitu tu vya kurekebisha basi hao NHIF watarekebisha maana CAG wakati mwingine huwa anaonesha tu maeneo ya kurekebisha
 
Sio kila kitu ni ubadhilifu. Mikopo ya watumishi iko kila mahali na ina utaratibu wake wa kurejesha. Huu kama ni ubadhilifu mamlaka zitachukua hatua stahiki
 
Hii ni propaganda chafu dhidi ya nhif kwani taasisi zingine hamjaona wakijikopesha au ndio NHIF tu mnataka kuionea acheni ukilitimba
Wanakopeshana hela za wagonjwa kama NHIF? NHIF wanakopeshana hela za matibabu ya wagonjwa
 
Wakubwa wenyewe wanakopa huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…