Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 745
- 395
Na yeye angekataa angekuwa na msimamo kama prof. Kwani kutumbuliwa ni dhambiCAG Assad aliwekewa mizengwe mingi kutokana na umahiri na weledi wake mkubwa katika kutekeleza majukumu yake. Hatimaye aliondolewa ofisini kinyemela na kuja CAG wa sasa aliyepewa maelekezo ya kuwa kama dodoki kwa mamlaka iliyomteua.
Sasa huo udhibiti angeweza kuufanya kwa namna gani, wakati bosi wake alichukulia fuko la hazina ya taifa kama mali yake binafsi?