CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

[

[/QUOTE]
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Mkuu Ni aibu kwa hiki ulichokiandika, nenda kale kitabu kwanza then uje tena
 
Huna elimu ya uhasibu wewe mshamba

Hufahamu mfumo wa uhasibu hapa Tanzania, Rudi shule kasome tena

Kama uliosoma basi ulijaza makaratasi kichwani hukuelewa kitu chochote

Idara za Serikali zina wakaguzi wa ndani yaani INTERNAL Auditors hawa hawana uhusiano na ofisi ya CAG

CAG ni taasisi inayojitegemea kisheria

Internal Auditors huwa wanakagua na kuwapa taarifa wakuu wa Idara mapungufu yaliyopo kabla ya watu wa CAG kupita

Sasa kama watu wamekwapua pesa au wamejenga miradi chini ya kiwango Internal Auditors atawasaidia vipi? ili kukwepa kikombe cha CAG

Mimi Nimefanya kazi za Internal Auditors nafahamu wakuu wa Idara ni vichwa ngumu wakishapiga pesa, Utaomba uone Imprest mpaka unachoka, Utaomba risiti mpaka unachoka

Halmashauri kwa ufupi lazima upige pesa hata Mimi Internal Auditor niliwahi ingia majaribuni

Pesa mwanaharamu
Upo sahihi kabisa mkuuu.

Yaani jinsi anavyoitwa mkaguzi, ndivyo na kazi yake ilivyo, ni mkaguzi tu. Hana power yoyote ndani ya taasisi.

Mfano ATCL imewepewa ile midege iliyonunuliwa kwa ufisadi. Shirika limepokea ndege na limepata hasara. Sasa Mkaguzi wa ndani anahusika vipi hapo?

Mmempa mtu tenda pasipo ushindani, mkaguz wa ndan anahusika vipi? Ni kazi ya mkaguzi kutangaza izo tenda?

Haya, jengo limejengwa chini ya kiwango ama kuruka utaratibu, ni kazi ya Mkaguzi wa ndani?

Nilijibu kule ktk thread inayomhusu wazir ummy kuwa siasa na wakurugenz ndio source wa haya mambo, period. Watu waliosomea biashara wapo smart saana yaani, basi tu.

Hivi wanavyomjibu CAG ndivyo wanavyoonesha kuwa ni namna gani hawana akili wapuuzi hawa.
 
Kwa hiyo hicho chao cha kuitwa mdhibitin ni utapeli au? Mbona anaitwa Mdhibiti?
ww shida yako iko wapi akiitwa mdhibiti? serikali ya chama cha mapinduz ndio imetengeneza hiko cheo.
una complain peleka kwenye mamlaka hisika. hilo povu huku Jf litaishia hapa hapa.
 
Wengi mnajadili.kuwa kazi yake ni kukagua tu sio kweli.ina ka cheo chake ni Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali .Hiyo kazi ya mdhibiti mbona haionekani kwake?
Angethibiti madudu yasingekuwepo
 
Unajua majukumu ya Controllership?.
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Hicho kichwa fugia nywele tu.
 
Wengi mnajadili.kuwa kazi yake ni kukagua tu sio kweli.ina ka cheo chake ni Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali .Hiyo kazi ya mdhibiti mbona haionekani kwake?
Angethibiti madudu yasingekuwepo
ww fufu hata huelewi. uambiwe mara ngapi? yeye anatoa suggestion ya nini kifanyike ili kudhibit. but hiyo inakuja akishakagua.
then mamlaka husika zitachagua kuwafanyia kazi mapendekezo yake ama lah.

mamlaka husika zinadanya udhibiti kwa kufanyia kazi mapendekezo ya CAG.
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
Umesahau neno moja Mkuu,Yeye ni Mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa hesabu za Serikali, kazi yake ni kukagua na kuweka wazi mapungufu na kisha kushauri hatua za kuchukua ili kudhibiti uvujaji wa fedha za umma.
 
ww fufu hata huelewi. uambiwe mara ngapi? yeye anatoa suggestion ya nini kifanyike ili kudhibit. but hiyo inakuja akishakagua.
then mamlaka husika zitachagua kuwafanyia kazi mapendekezo yake ama lah.

mamlaka husika zinadanya udhibiti kwa kufanyia kazi mapendekezo ya CAG.
Kwa ni i anaitwa Mdhibiti?
 
CAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua, cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali.

Ninavyomuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti. Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye madudu kibao inamhusu, yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe, kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea.

Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti, kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti. Huyu CAG ni mzembe.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wewe ungeweza kumdhibiti jiwe?
 
Wafuasi wa Jiwe hamuamini macho yenu. Sasa YEHODAYA amekagua mahesabu na kuonyesha mapungufu . Then report amepwa Rais amiri jeshi. Report nyingine ameikabidhi bunge . Chombo chenye kuielekeza serikali nini kifanyike . Zaidi ya hapo ulitaka CAG afanyeJe ?! . Ameikabidhi report kwa wahusika . Washindwe wenyewe

Odhis *
 
Kazi ya kudhibiti huwa anaifanya lini?
 
Usijitoe ufahamu kuwa umesahau kama shujaa ndo alikuwa kila kitu hela zote anapanga matumizi yeye wala sio bunge kwa mujibu wa sheria cag lazima aidhinishe matumizi yoyote yale ya serikali lakini kwa huyu hili halikufanyika hela za ununuzi wa madege alitoa cash bila bunge kupitisha bila kufuata procurement act tena kalipa cash, mifano no mingi ujenzi wa chato airport nk
 
Back
Top Bottom