Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
AssadCAG ana kazi kuu mbili ya kwanza kudhibiti na ya pili kukagua cheo chake anaitwa Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali
Ninavynuona anajikita kwenye kukagua mahesabu kuliko kudhibiti
Hiyo ripoti aliyosoma CAG yenye maddu kibao inamhusu yeye alikuwa wapi kudhibiti yasitokee? Ni mzembe kazi ya udhibiti hakufanya angefanya hayo madudu hayangetokea
Napendekeza atimuliwe kwa kutotimiza wajibu wake wa kudhibiti kakalia tu kukagua kasahau kazi ya kudhibiti.Huyu CAG ni mzembe.
Alifanya kama unavyoshauri lakini
Wapumbavu walimpiga vita