CAG ni Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali. Kazi ya UDHIBITI hajaifanya ndio maana kuna madudu kibao kwenye ripoti yake, atimuliwe

Na yeye angekataa angekuwa na msimamo kama prof. Kwani kutumbuliwa ni dhambi
 
Usaliti na kutokuwa wazalendo ndiko kunakoua taifa letu..
Watanzania tunachezewa sana.
 
Tunapoteza nguvu kubwa ya maji kuwaeleza vilaza mpaka huku mtaani na hawa wasio jua nafasi na cheo katika majukumu.unaweza kumuuliza kazi ya mwenyeketi wa serekali za mtaa akashindwa kujibu[emoji28].



Ndio maana aliwajuwa na kuwaita wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…