ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kukosa PESA na PESA ya kukopesha VIJANA Ile bilioni 200 imetoka wapi? Pesa mnaona Wana ccmNakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.
Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.
Binafsi Huwa najiuliza Kwa nini kusiwe na utekelezaji wa miradi michache Kila mwaka ambayo mnajua kabisa ndani ya miaka 2 itamalizika Kwa pesa hizi hizi zilizopo badala ya kuanzisha vipisi vipisi vya miradi Kila sehemu ya Nchi matokeo yake hakuna kinachomalizika.
Mfano inawezekanaje Barabara ya km 200 ukasaanzisha ujenzi Kwa kilomita 2 Kila mwaka? Hizi ni akili za wapi? Kule Rukwa TanRoads walisaini mkataba wa Ujenzi wa Barabara 2 tofauti za km 25 Kila Moja na zote zimekwama wakati Barabara mojawapo hapo Ina km 50 na nyingine km 200 Sasa Kwa nini wasisaini upande mmja Ili imalizike ndio waje wahamie kwingineko?
Sasa hiki ndicho kinafanyika Nchi nzima wakati ukikusanya hivyo vipande vidogo vidogo ukachagua Barabara chache unaweza zikamilisha vizuri kabisa.
Kuna tatizo kubwa sana la project and transport planning plus Wanasiasa kuingilia.
Tukiendelea na utaratibu huu wa kutapanya Rasilimali bila Mpango hakuna Cha maana tuta achieve kama Nchi.
=============
Mipango dhaifu ya maendeleo ya barabara pamoja na upungufu sugu wa fedha vinaendelea kuchelewesha upanuzi wa miundombinu nchini Tanzania, hali inayoongeza madeni na kuhatarisha utoaji wa huduma, kwa mujibu wa ukaguzi mpya ulioonyesha kuwa ni nusu tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa yametekelezwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya miundombinu ya barabara nchini kote, serikali katika miaka minne ya fedha mfululizo imefanikiwa kutekeleza wastani wa asilimia 50 tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 na 2024/25. Upungufu huu, kwa mujibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaathiri ufanisi wa usafiri, unachelewesha shughuli za kiuchumi na kuongeza malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.
Hayo yameelezwa katika ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2024/25 ya CAG, Charles Kichere, iliyochambua upangaji na utekelezaji wa programu za miundombinu ya barabara na kubaini kuwepo kwa udhaifu wa kimfumo katika upangaji wa bajeti, upangaji wa vipaumbele pamoja na utoaji wa fedha kwa taasisi husika.
Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ambazo zinahusika na usimamizi wa sehemu kubwa ya mtandao wa barabara, zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira ya bajeti zisizotosheleza na utolewaji wa fedha usio wa uhakika, jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo ya kila mwaka mara kwa mara.
My Take
Hongera CAG Kwa kuliona hili labda Watabadilika.
Kwanza hakuna Nchi ambayo itapeleka pesa zote kwenye sekta Moja lakini hizo hizo zinazoenda huko TanRoads na TARURA zinatapanywa Kwa tumiradi twa bila mpangilio matokeo yake hakuna tija.Kukosa PESA na PESA ya kukopesha VIJANA Ile bilioni 200 imetoka wapi? Pesa mnaona Wana ccm
Huwezi Jenga Barabara za kiwango Kwa utaratibu wa Sasa wa Bora liende na kusikiliza Wanasiasa wanachosema.Barabara zinaharibika kwa sababu hazikujengwa kwa viwango vya kudumu. Nchi nyingine barabara zikijengwa zinadumu hadi miaka 20 ndio zinafanyiwa marekebishio, njoo kwetu sasa.. kila miezi miezi 12, tunaanza upya... huu ujinga tuache sasa...
Sasa suluhisho ni nini? watu wanalalamika sana, hakuna mwenye suluhisho...Huwezi Jenga Barabara za kiwango Kwa utaratibu wa Sasa wa Bora liende na kusikiliza Wanasiasa wanachosema.
Wanaojiita wasomi nao wamekubali kutekwa nyara na Wanasiasa
Pia hakuna mwenye uchungu na Mali ya Umma na was wenye maono wanarudishwa nyuma.
Unategemea Barabara ambayo Magufuli alisema km 1 ijengwe Kwa mil.500 idumu miaka 20?
Mada yangu imetoa suhuhisho kwamba tuchague Barabara chache tuzipe wakandarasi wengi zimalizike ndani ya miaka 2 au mmja.Sasa suluhisho ni nini? watu wanalalamika sana, hakuna mwenye suluhisho...
Acha ujinga,hakuna planning yeyote hapa Tanzania kwenye sekta ya Barabara.
Na ajabu na kweli hili ni taifa ambalo bunge kinalinda uovu na mapungufu ya usimamizi wa miradi na majukumu yote ya sirikali na yote kutaka kuyageuzi ni siri kali ya wana siihasa hawa wasio hata na chembe ya uzalendo ikizingatiwa kwa kukosa uungaji mkono hata kujichagua wamejiwezesha wenyeweNakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.
Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.
Binafsi Huwa najiuliza Kwa nini kusiwe na utekelezaji wa miradi michache Kila mwaka ambayo mnajua kabisa ndani ya miaka 2 itamalizika Kwa pesa hizi hizi zilizopo badala ya kuanzisha vipisi vipisi vya miradi Kila sehemu ya Nchi matokeo yake hakuna kinachomalizika.
Mfano inawezekanaje Barabara ya km 200 ukasaanzisha ujenzi Kwa kilomita 2 Kila mwaka? Hizi ni akili za wapi? Kule Rukwa TanRoads walisaini mkataba wa Ujenzi wa Barabara 2 tofauti za km 25 Kila Moja na zote zimekwama wakati Barabara mojawapo hapo Ina km 50 na nyingine km 200 Sasa Kwa nini wasisaini upande mmja Ili imalizike ndio waje wahamie kwingineko?
Sasa hiki ndicho kinafanyika Nchi nzima wakati ukikusanya hivyo vipande vidogo vidogo ukachagua Barabara chache unaweza zikamilisha vizuri kabisa.
Kuna tatizo kubwa sana la project and transport planning plus Wanasiasa kuingilia.
Tukiendelea na utaratibu huu wa kutapanya Rasilimali bila Mpango hakuna Cha maana tuta achieve kama Nchi.
=============
Mipango dhaifu ya maendeleo ya barabara pamoja na upungufu sugu wa fedha vinaendelea kuchelewesha upanuzi wa miundombinu nchini Tanzania, hali inayoongeza madeni na kuhatarisha utoaji wa huduma, kwa mujibu wa ukaguzi mpya ulioonyesha kuwa ni nusu tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa yametekelezwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya miundombinu ya barabara nchini kote, serikali katika miaka minne ya fedha mfululizo imefanikiwa kutekeleza wastani wa asilimia 50 tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 na 2024/25. Upungufu huu, kwa mujibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaathiri ufanisi wa usafiri, unachelewesha shughuli za kiuchumi na kuongeza malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.
Hayo yameelezwa katika ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2024/25 ya CAG, Charles Kichere, iliyochambua upangaji na utekelezaji wa programu za miundombinu ya barabara na kubaini kuwepo kwa udhaifu wa kimfumo katika upangaji wa bajeti, upangaji wa vipaumbele pamoja na utoaji wa fedha kwa taasisi husika.
Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ambazo zinahusika na usimamizi wa sehemu kubwa ya mtandao wa barabara, zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira ya bajeti zisizotosheleza na utolewaji wa fedha usio wa uhakika, jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo ya kila mwaka mara kwa mara.
My Take
Hongera CAG Kwa kuliona hili labda Watabadilika.
View attachment 3573337
Serikali ya CCM haijawahi kuwa na mipango mibovu,CAG atimuliwe haraka sana.Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.

Road Maintenance Levy (400+ tsh per litre) inaenda wapi!!??Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.

Hii imenipita, aliongea lini na wapi?
Sasa wewe una shida,hiyo hela ndio inapelekwa TanRoads na Tarura.Road Maintenance Levy (400+ tsh per litre) inaenda wapi!!??
Hii imenipita, aliongea lini na wapi?
Kavidio pls Kama kapo.
Acha kuipaka matope serikali ya Mama..Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.
Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.
Binafsi Huwa najiuliza Kwa nini kusiwe na utekelezaji wa miradi michache Kila mwaka ambayo mnajua kabisa ndani ya miaka 2 itamalizika Kwa pesa hizi hizi zilizopo badala ya kuanzisha vipisi vipisi vya miradi Kila sehemu ya Nchi matokeo yake hakuna kinachomalizika.
Mfano inawezekanaje Barabara ya km 200 ukasaanzisha ujenzi Kwa kilomita 2 Kila mwaka? Hizi ni akili za wapi? Kule Rukwa TanRoads walisaini mkataba wa Ujenzi wa Barabara 2 tofauti za km 25 Kila Moja na zote zimekwama wakati Barabara mojawapo hapo Ina km 50 na nyingine km 200 Sasa Kwa nini wasisaini upande mmja Ili imalizike ndio waje wahamie kwingineko?
Sasa hiki ndicho kinafanyika Nchi nzima wakati ukikusanya hivyo vipande vidogo vidogo ukachagua Barabara chache unaweza zikamilisha vizuri kabisa.
Kuna tatizo kubwa sana la project and transport planning plus Wanasiasa kuingilia.
Tukiendelea na utaratibu huu wa kutapanya Rasilimali bila Mpango hakuna Cha maana tuta achieve kama Nchi.
=============
Mipango dhaifu ya maendeleo ya barabara pamoja na upungufu sugu wa fedha vinaendelea kuchelewesha upanuzi wa miundombinu nchini Tanzania, hali inayoongeza madeni na kuhatarisha utoaji wa huduma, kwa mujibu wa ukaguzi mpya ulioonyesha kuwa ni nusu tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa yametekelezwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya miundombinu ya barabara nchini kote, serikali katika miaka minne ya fedha mfululizo imefanikiwa kutekeleza wastani wa asilimia 50 tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 na 2024/25. Upungufu huu, kwa mujibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaathiri ufanisi wa usafiri, unachelewesha shughuli za kiuchumi na kuongeza malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.
Hayo yameelezwa katika ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2024/25 ya CAG, Charles Kichere, iliyochambua upangaji na utekelezaji wa programu za miundombinu ya barabara na kubaini kuwepo kwa udhaifu wa kimfumo katika upangaji wa bajeti, upangaji wa vipaumbele pamoja na utoaji wa fedha kwa taasisi husika.
Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ambazo zinahusika na usimamizi wa sehemu kubwa ya mtandao wa barabara, zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira ya bajeti zisizotosheleza na utolewaji wa fedha usio wa uhakika, jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo ya kila mwaka mara kwa mara.
My Take
Hongera CAG Kwa kuliona hili labda Watabadilika.
View attachment 3573337
Matope gani?Acha kuipaka matope serikali ya Mama..
Kuilaumu Tanroad na Tarura ni kuipaka matope serikali ya CcmMatope gani?