ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Nani kasema?Kuilaumu Tanroad na Tarura ni kuipaka matope serikali ya Ccm
Nani kasema?Kuilaumu Tanroad na Tarura ni kuipaka matope serikali ya Ccm
Jadili hojaFlight 707 is in autopilot, the pilot is clueless, unategemea crew watafanyaje, kila mtu atalala usingizi!!
Wewe punguani Mimi siishi kwenye mzio wa Vyama vyenu havina Msaada kwangu.Chobwedo leo umetumwa na Chadema?
Kama hujaelewa jibu basi ndio walewale tu, huna tofauti na pilot.Jadili hoja
Huna hoja zaidi ya Kuandika ujinga wakoKama hujaelewa jibu basi ndio walewale tu, huna tofauti na pilot.
Wewe si kila siku hapa unaitaja Chadema kwenye ujinga unaoamini serikali imefanya vizuri?Wewe punguani Mimi siishi kwenye mzigo wa Vyama vyenu havina Msaada kwenu.
Fuatilia mada zangu zote utanisoma.
Wewe Serikali ikifanya vizuri naisifia ikifanya ndivyo sivyo nakosoa.Wewe si kila siku hapa unaitaja Chadema kwenye ujinga unaoamini serikali imefanya vizuri?
Kwa kweli huu ni ujinga, ila ujinga wa anayeongoza nchi umevuka mipaka, barabara nchi nzima zimejaa mahandaki na yupo tu kama hayupo.Huna hoja zaidi ya Kuandika ujinga wako
Inasikitisha sana,mimi lawama zangu zote ni kwa Samia..alivyoingia tu alitoa 500milioni kwa ajili ya kila jimbo kujenga barabara ya vumbi,lakini ukiangalia kwa undani sana nia ilikuwa kunufaisha zanzibar,maana ukilipa jimbo la zanzibar 500m wanakarabati sehemu kubwa sana,pili hana maono yoyote ni kanyaga twendeNakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.
Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.
Binafsi Huwa najiuliza Kwa nini kusiwe na utekelezaji wa miradi michache Kila mwaka ambayo mnajua kabisa ndani ya miaka 2 itamalizika Kwa pesa hizi hizi zilizopo badala ya kuanzisha vipisi vipisi vya miradi Kila sehemu ya Nchi matokeo yake hakuna kinachomalizika.
Mfano inawezekanaje Barabara ya km 200 ukasaanzisha ujenzi Kwa kilomita 2 Kila mwaka? Hizi ni akili za wapi? Kule Rukwa TanRoads walisaini mkataba wa Ujenzi wa Barabara 2 tofauti za km 25 Kila Moja na zote zimekwama wakati Barabara mojawapo hapo Ina km 50 na nyingine km 200 Sasa Kwa nini wasisaini upande mmja Ili imalizike ndio waje wahamie kwingineko?
Sasa hiki ndicho kinafanyika Nchi nzima wakati ukikusanya hivyo vipande vidogo vidogo ukachagua Barabara chache unaweza zikamilisha vizuri kabisa.
Kuna tatizo kubwa sana la project and transport planning plus Wanasiasa kuingilia.
Tukiendelea na utaratibu huu wa kutapanya Rasilimali bila Mpango hakuna Cha maana tuta achieve kama Nchi.
=============
Mipango dhaifu ya maendeleo ya barabara pamoja na upungufu sugu wa fedha vinaendelea kuchelewesha upanuzi wa miundombinu nchini Tanzania, hali inayoongeza madeni na kuhatarisha utoaji wa huduma, kwa mujibu wa ukaguzi mpya ulioonyesha kuwa ni nusu tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa yametekelezwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya miundombinu ya barabara nchini kote, serikali katika miaka minne ya fedha mfululizo imefanikiwa kutekeleza wastani wa asilimia 50 tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 na 2024/25. Upungufu huu, kwa mujibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaathiri ufanisi wa usafiri, unachelewesha shughuli za kiuchumi na kuongeza malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.
Hayo yameelezwa katika ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2024/25 ya CAG, Charles Kichere, iliyochambua upangaji na utekelezaji wa programu za miundombinu ya barabara na kubaini kuwepo kwa udhaifu wa kimfumo katika upangaji wa bajeti, upangaji wa vipaumbele pamoja na utoaji wa fedha kwa taasisi husika.
Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ambazo zinahusika na usimamizi wa sehemu kubwa ya mtandao wa barabara, zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira ya bajeti zisizotosheleza na utolewaji wa fedha usio wa uhakika, jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo ya kila mwaka mara kwa mara.
My Take
Hongera CAG Kwa kuliona hili labda Watabadilika.
View attachment 3573337
Haya hayajadiliwi kwenye chama chenye kilichoshika dola?Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.

Wewe unajua kuiba tu, wezi nyie na watoto wako na wakwe zako. Mwizi mkubwa wewe mama Idd Amin dada.
Jadili hoja badala ya kuleta chuki zako binafsi zisizo na mashiko.Inasikitisha sana,mimi lawama zangu zote ni kwa Samia..alivyoingia tu alitoa 500milioni kwa ajili ya kila jimbo kujenga barabara ya vumbi,lakini ukiangalia kwa undani sana nia ilikuwa kunufaisha zanzibar,maana ukilipa jimbo la zanzibar 500m wanakarabati sehemu kubwa sana,pili hana maono yoyote ni kanyaga twende
Huwa unampongeza Samia kwa kila jambo ambalo serikali ikifanya vizuri ila huwa haumuhusishi Samia kwenye kukosoa serikali inapofanya vibaya.Wewe Serikali ikifanya vizuri naisifia ikifanya ndivyo sivyo nakosoa.
Siishi kwenye mzio wa Vyama havina Msaada kwangu na Wala sio mwanachama wa chama Cha siasa na Sina huo Mpango.
Fuatilia mada zangu Huwa sijadili mambo yenu ya Vyama ,kwanza nyie Wanasiasa hata mkiuana kwangu ni shangwe tuu.
Mwisho Chadomo kazi yenu ni kupinga Kila kitu typical 🚮🚮🚮
Huu wote ni uhuni na utapeli wa CCM, lazima wafukue barabara nyingi kwa pamoja ili waonyeshe wanafanya kazi na nyie chawa mpate cha kusifia na kuadaha raia kona zote za nchi kama mlivyogeuzwa mavuvuzela mwaka jana wote halafu CCM wanajenge kidogo tu tena chini ya kiwango, ujinga mtupu wa mkoloni mweusi.Huwezi Jenga Barabara za kiwango Kwa utaratibu wa Sasa wa Bora liende na kusikiliza Wanasiasa wanachosema.
Wanaojiita wasomi nao wamekubali kutekwa nyara na Wanasiasa
Pia hakuna mwenye uchungu na Mali ya Umma na was wenye maono wanarudishwa nyuma.
Unategemea Barabara ambayo Magufuli alisema km 1 ijengwe Kwa mil.500 idumu miaka 20?
Wewe ni kajinga Mimi Sina akili za hovyo kama za nyie nyumbu wa Chadomo na vibaraka Beberu mnapinga Kila kitu.Huwa unampongeza Samia kwa kila jambo ambalo serikali ikifanya vizuri ila huwa haumuhusishi Samia kwenye kukosoa serikali inapofanya vibaya.
Wala sijasema haukosoi, nimesema kwenye kupongeza huwa sifa zote unazipeleka kwa Samia na kwenye kukosoa huwa haumuhusishi Samia na huo ukosoaji. Maana yake ni umemfanya Samia kuwa wa kupongezwa na si wa kukosolewa.Wewe ni kajinga Mimi Sina akili za hovyo kama za nyie nyumbu wa Chadomo na vibaraka Beberu mnapinga Kila kitu.
Mimi napongeza na palipo na shida nakosoa na kutoa dira.
Fuatilia mada zangu usiwe nyumbu.