CAG: Nusu ya miradi ya ujenzi wa barabara nchini imekwama kisa kukosa pesa na Mipango Mibovu

Anaichafua serikali ya Mama..

Elimu mbalimbali. Sehemu mbalimbali. Zinapoenda kuungana zinaleta cheti kimoja. Halafu baadae kazi zikileta changamoto elimu zinatawanyika.
Hapo kinachobaki ni kwenda kwa wasomaji na wasafisha nyota kutoa makafara😂😂😂
 
Inasikitisha sana yaani nikiwa naangalia states za marekani(via Youtube -Vloggers) jinsi miundombinu yao ilivyo ya barabara huwa nashangaa sana hapa kwetu jinsi barabara zilivyo mbovu...Just imagine city centre kuna mshimo ,usa sijaona mitaro ya barabarani wala nguzo za umeme na miwaya inayokatiza hovyo hovyo.

Wanamipango miji inabidi wafukuzwe wote maana hakuna wanachofanya.

Tuna gesi metric triliions lakini tunalalamika bei ya mafuta.

Miaka mitano unakopa trilioni 60 lakini hakuna kilichofanyika.....Tumetumia trilioni 7 kujenga JNHPP na jana namsikia tena Mwigulu anasema wametenga tena zaidi ya Trilioni moja na ushee kwa ajili ya kujenga Grid yaani ni vuruvuru Weezy weezy upigaji juu ya upigaji dili juu ya dili.
 
Mkuu karibu denga pia
Construction za hatari zinafanyika na wala huwasiki
Wanasiasa wakipiga kelele,sijui tunajenga kitu fulani...nope
Maana hilo ni jukumu lao
Na wenzetu wana mipango na usimamizi madhubuti
Huko nchi fulani kila mtu anawaza kuiba,kwa style hiyo itachukua miaka 2000 labda
Na wanasema wanaandaa afcon ngoja wageni waje wakute maandaki

Ova
 
Chawa peleka ushubwada mbali, miradi ikienda hutaji wataalam unamtaja Samia. Ikijaribika ndio unawasingizia wataalam. Peleka useng@@e mbali.
Nyumbu ni nyumbu tuu,Samia Huwa Yuko site?

Hata huyo Samia au mwingine akiwa anataka utekelezaji Huwa anakutaja wewe sio wataalamu?
 
Hii ndio fisiem ninayo ijua mm.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Wewe Serikali ikifanya vizuri naisifia ikifanya ndivyo sivyo nakosoa.

Siishi kwenye mzio wa Vyama havina Msaada kwangu na Wala sio mwanachama wa chama Cha siasa na Sina huo Mpango.

Fuatilia mada zangu. Huwa sijadili mambo yenu ya vyama. Kwanza, nyie wanasiasa, hata mkiuana, kwangu ni shangwe tu.

Mwisho Chadomo kazi yenu ni kupinga Kila kitu typical 🚮🚮🚮
Ndugu ChoiceVariable, Sidhani kama watu wanazungumza in party lines, kuna vitu vingi tunaongea kwa sababu tunaviona. Angalia viongozi tulionao, halafu wafananishe na waliopita....UTAONA TOFAUTI KUBWA.
Tunakoelekea siyo kuzuri, Report ya CAG uisome yote, Serikali iliyopo imekopa Trillioni 12 KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA! Hizo pesa zimefanya nini.....tuseme tu ukweli! Tufanye mahesabu tu, tuone. Rushwa na upigaji zipo nje nje, Nimebahatika kufanya kazi serikalini, nikaondoka kwa raha zangu, FRUSTRATIONS za ajabu, Ofisi za serikali zimekaa ovyo ovyo lakini pesa zinapigwa kwa kwenda mbele. Nitatoa tu mfano kidogo tu jinsi, pesa zinavyopigwa......Kipindi pesa zipo serikalini au zinaletwa hapo utaona tofautini MGAO kwa MGAO. Kaka nilikataa hiyo dhambi, nikaondoka nchi hiyo moja kwa moja.....Nilisema siwezi kufanya kazi katika mazingira hayo. Bado kuna watu waaminifu huko serikalini wanaoonea huruma watanzania, ndiyo maana pesa za kupiga deal zikipitishwa tunaona kwenye social Media, halafu huyo mama yenu anagomba kuwa hatuna uzalendo. Mara ya mwisho zimeibiwa DOLLAR 46 Million kwa kitu kilichoitwa "KAZI MAALUM" , hizo zimeenda kununua apartment zingine DUBAI, yaani na hizo zote alizoiba bado kijana anamshinikiza mama waendelee kupiga pesa za watanzania maskini? Ingekuwa zinajenga barabara huko Bara au Zanzibar au Pemba hakuna ambaye angelalamika.
Kuna upigaji mwingi mno, wakati wa Mkapa ndiyo ulikuwa mwisho wa viongozi wa ku-declare mali zao, Kikwete alivyoingia, hakufanya hivyo, nchi ikawa ya ovyo mno, Rizi-one akawa anafanya biashara ambazo wote mnajua.....isiyo halali, pesa zikatengenezwa, pesa zikaibiwa nyingi serikalini......ESCROW nk, Kikwete ni Billioni wa kuiba pesa za umma, wakati wa John Pombe Magufuli, bado kulikuwa na upigaji ingawa ilikuwa kwa uchache, mkubwa mwenyewe alijinufaisha, wengine wote wakapigwa pini, Huyu mama yako ndiyo amekuja kugawana kabisa na nduguze na marafiki zake (Angela Kizigha, Kikwete, Ridhiwani, Abdul Hafidhi,Mchengerwa et al)
Wewe kama utaona ni halali basi utakuwa mmoja wa hao wanufaika. Tuseme ukweli tu.....Sasa hivi si wizi tu wa pesa, matendo maovu ya kubaka, kufira, kuteka, kutesa na kuua. Sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu atakayesapoti hivi vitendo, labda Abdul, mama yake na huyo mkuu wa Mazombie, Camillus Wambura na huyo mpumbavu mkuu wa majeshi ya Sungusungu, Mkunda.

Mjifunze kusema ukweli ndugu zangu na tukatae uovu, wewe kama anafanyiwa vitendo hivyo ndugu yako, baba yako, Mama yako, dada yako au kaka yako ungefurahi au ungeona kawaida?
 
Nitajie mwaka mmja tuu ambao ripoti ya CAG imewahi kuwa nzuri hususani miaka ya Magufuli Ili tulinganishe na tujue tunakoelekea.

Yaani Nchi inaoata maendeleo makubwa across sectors na inaongoza EAC harafu wewe unadai hujui tunakoelekea? Una shida mahala sio poa
 
Wewe ndiyo huelewi aidha kwa sababu huna elimu ya kutosha au una shida kichwani, unavyosema "harafu" unamaanisha nini? Nimemtetea Magufuli wapi? Huyo muuaji kama mama yako Samia, nimtetee miye? Sijamtetea yoyote yule katika TZ, wote ni TANU/CCM na wote walikuwa wana matatizo yao, siyo Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete, Magufuli na huyo Samia wako, they are all bad apples. Hatukuwahi kuwa na kiongozi nchi hii. Nchi inaongoza EAC kwenye nini? Unemployment asilimia 81, middle class asilimia 19. Sector binafsi imeajiri watu wangapi? Toa takwimu, instead of writing nonsense. Sijui kama unaelewa unachoongea wewe? Do not use your rear end in thinking.
 
Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.

Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.

Binafsi Huwa najiuliza Kwa nini kusiwe na utekelezaji wa miradi michache Kila mwaka ambayo mnajua kabisa ndani ya miaka 2 itamalizika Kwa pesa hizi hizi zilizopo badala ya kuanzisha vipisi vipisi vya miradi Kila sehemu ya Nchi matokeo yake hakuna kinachomalizika.

Mfano inawezekanaje Barabara ya km 200 ukasaanzisha ujenzi Kwa kilomita 2 Kila mwaka? Hizi ni akili za wapi? Kule Rukwa TanRoads walisaini mkataba wa Ujenzi wa Barabara 2 tofauti za km 25 Kila Moja na zote zimekwama wakati Barabara mojawapo hapo Ina km 50 na nyingine km 200 Sasa Kwa nini wasisaini upande mmja Ili imalizike ndio waje wahamie kwingineko?

Sasa hiki ndicho kinafanyika Nchi nzima wakati ukikusanya hivyo vipande vidogo vidogo ukachagua Barabara chache unaweza zikamilisha vizuri kabisa.

Kuna tatizo kubwa sana la project and transport planning plus Wanasiasa kuingilia.

Tukiendelea na utaratibu huu wa kutapanya Rasilimali bila Mpango hakuna Cha maana tuta achieve kama Nchi.
=============
Mipango dhaifu ya maendeleo ya barabara pamoja na upungufu sugu wa fedha vinaendelea kuchelewesha upanuzi wa miundombinu nchini Tanzania, hali inayoongeza madeni na kuhatarisha utoaji wa huduma, kwa mujibu wa ukaguzi mpya ulioonyesha kuwa ni nusu tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa yametekelezwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya miundombinu ya barabara nchini kote, serikali katika miaka minne ya fedha mfululizo imefanikiwa kutekeleza wastani wa asilimia 50 tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 na 2024/25. Upungufu huu, kwa mujibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaathiri ufanisi wa usafiri, unachelewesha shughuli za kiuchumi na kuongeza malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.

Hayo yameelezwa katika ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2024/25 ya CAG, Charles Kichere, iliyochambua upangaji na utekelezaji wa programu za miundombinu ya barabara na kubaini kuwepo kwa udhaifu wa kimfumo katika upangaji wa bajeti, upangaji wa vipaumbele pamoja na utoaji wa fedha kwa taasisi husika.

Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ambazo zinahusika na usimamizi wa sehemu kubwa ya mtandao wa barabara, zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira ya bajeti zisizotosheleza na utolewaji wa fedha usio wa uhakika, jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo ya kila mwaka mara kwa mara.

My Take
Hongera CAG Kwa kuliona hili labda Watabadilika.
View attachment 3573337
Nchi zenye mifumo ya kifisadi, rushwa, ubadhirifu na wizi wa pesa za umma kua kweny right truck ya maendeleo ni ngum mnoo!!!
 
Watu wanataka 10% kwenye Projects mpya ambazo ziko signed tayari watu wameshakunja Cha Juu nani anataka kuendeleza sehemu Ambapo watu wameshakula??

Ila pia wahenga wanasema Samaki huanza kuoza kichwani watu walichungulia Mfuko wa Road fund wakaona Hela zimejaa Kule na kama vile hazina kazi wakasomba watumbue Leo barabara zetu critical kabisa zinazo links mikoa na Nchi jirani zimejaa mashimo and no one cares kwasababu wao now wanakimbilia kwenye SGR na Kupaa angani tu

Supervision Iko Chini sana Kimara mwisho pale ni miaka sasa watu wanachimba chimba tu hata hawaeleweki Nini kinaendelea je Mwendokasi za Mwenge na Tegeta vitu minor kabisa vinatutoa kamasi
 
Huwa unampongeza Samia kwa kila jambo ambalo serikali ikifanya vizuri ila huwa haumuhusishi Samia kwenye kukosoa serikali inapofanya vibaya.
Huyu ChoiceVariable alisema tunaongoza kwa uchumi kwa East Africa. Anadhani watanzania ni mbumbumbu kama yeye anayelipwa kuwatetea Bi Msumi, Abdul, Makonda, Mwigulu na wapumbavu wengine. Hapa tuna uchumi mzuri? Tumeshindwa na nchi iliyopigana vita miaka 35. Na tukiendelea na hili limama, tutashindwa hata na Uganda na Rwanda.
Sasa hiyo ipo online inaeleza nani ana uchumi mzuri EA.
As of 2025–2026, Kenya is the largest economy in East Africa by nominal GDP, driven by diverse financial, technological, and agricultural sectors. Other top economic players include Ethiopia, Tanzania, and Uganda. However, when measuring wealth by GDP per capita (average wealth per person), island nations like Seychelles and Mauritius lead the region.
Wikipedia
Wikipedia +3
Top Economies in East Africa (Nominal GDP 2025–2026 Forecasts)
  • Kenya: ~$116–131 billion GDP. It acts as a regional hub for trade and logistics.
  • Ethiopia: ~$117 billion GDP. A massive market, although experiencing economic challenges, it remains a top-tier economy.
  • Tanzania: ~$85–87 billion GDP.
  • Uganda: ~$62 billion GDP.
    Wikipedia
    Wikipedia +4
Highest GDP Per Capita (2025–2026 Estimates)
  • Seychelles: Leads the region with a high GDP per capita (approx. $21,630).
  • Mauritius: A top regional performer in terms of per-person wealth.
  • Kenya: Leads the East African Community (EAC) mainland in per capita income.
    Wikipedia
  • Wikipedia +1
 
Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.

Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.

Binafsi Huwa najiuliza Kwa nini kusiwe na utekelezaji wa miradi michache Kila mwaka ambayo mnajua kabisa ndani ya miaka 2 itamalizika Kwa pesa hizi hizi zilizopo badala ya kuanzisha vipisi vipisi vya miradi Kila sehemu ya Nchi matokeo yake hakuna kinachomalizika.

Mfano inawezekanaje Barabara ya km 200 ukasaanzisha ujenzi Kwa kilomita 2 Kila mwaka? Hizi ni akili za wapi? Kule Rukwa TanRoads walisaini mkataba wa Ujenzi wa Barabara 2 tofauti za km 25 Kila Moja na zote zimekwama wakati Barabara mojawapo hapo Ina km 50 na nyingine km 200 Sasa Kwa nini wasisaini upande mmja Ili imalizike ndio waje wahamie kwingineko?

Sasa hiki ndicho kinafanyika Nchi nzima wakati ukikusanya hivyo vipande vidogo vidogo ukachagua Barabara chache unaweza zikamilisha vizuri kabisa.

Kuna tatizo kubwa sana la project and transport planning plus Wanasiasa kuingilia.

Tukiendelea na utaratibu huu wa kutapanya Rasilimali bila Mpango hakuna Cha maana tuta achieve kama Nchi.
=============
Mipango dhaifu ya maendeleo ya barabara pamoja na upungufu sugu wa fedha vinaendelea kuchelewesha upanuzi wa miundombinu nchini Tanzania, hali inayoongeza madeni na kuhatarisha utoaji wa huduma, kwa mujibu wa ukaguzi mpya ulioonyesha kuwa ni nusu tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa yametekelezwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya miundombinu ya barabara nchini kote, serikali katika miaka minne ya fedha mfululizo imefanikiwa kutekeleza wastani wa asilimia 50 tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 na 2024/25. Upungufu huu, kwa mujibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaathiri ufanisi wa usafiri, unachelewesha shughuli za kiuchumi na kuongeza malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.

Hayo yameelezwa katika ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2024/25 ya CAG, Charles Kichere, iliyochambua upangaji na utekelezaji wa programu za miundombinu ya barabara na kubaini kuwepo kwa udhaifu wa kimfumo katika upangaji wa bajeti, upangaji wa vipaumbele pamoja na utoaji wa fedha kwa taasisi husika.

Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ambazo zinahusika na usimamizi wa sehemu kubwa ya mtandao wa barabara, zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira ya bajeti zisizotosheleza na utolewaji wa fedha usio wa uhakika, jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo ya kila mwaka mara kwa mara.

My Take
Hongera CAG Kwa kuliona hili labda Watabadilika.
View attachment 3573337
Wakati mwingine kumbe huwaga una akili!
Haya mambo tunayaona Awamu ya ngapi?
Na unafikiri kwa nini hanatokea sasa?
 
Nchi inazidi kudidimia tu, huyu mdada hana jipya
 
Huyu ChoiceVariable alisema tunaongoza kwa uchumi kwa East Africa. Anadhani watanzania ni mbumbumbu kama yeye anayelipwa kuwatetea Bi Msumi, Abdul, Makonda, Mwigulu na wapumbavu wengine. Hapa tuna uchumi mzuri? Tumeshindwa na nchi iliyopigana vita miaka 35. Na tukiendelea na hili limama, tutashindwa hata na Uganda na Rwanda.
Sasa hiyo ipo online inaeleza nani ana uchumi mzuri EA.
As of 2025–2026, Kenya is the largest economy in East Africa by nominal GDP, driven by diverse financial, technological, and agricultural sectors. Other top economic players include Ethiopia, Tanzania, and Uganda. However, when measuring wealth by GDP per capita (average wealth per person), island nations like Seychelles and Mauritius lead the region.
View attachment 3573786Wikipedia +3
Top Economies in East Africa (Nominal GDP 2025–2026 Forecasts)
  • Kenya: ~$116–131 billion GDP. It acts as a regional hub for trade and logistics.
  • Ethiopia: ~$117 billion GDP. A massive market, although experiencing economic challenges, it remains a top-tier economy.
  • Tanzania: ~$85–87 billion GDP.
  • Uganda: ~$62 billion GDP.
    View attachment 3573787Wikipedia +4
Highest GDP Per Capita (2025–2026 Estimates)
  • Seychelles: Leads the region with a high GDP per capita (approx. $21,630).
  • Mauritius: A top regional performer in terms of per-person wealth.
  • Kenya: Leads the East African Community (EAC) mainland in per capita income.
    View attachment 3573788
  • Wikipedia +1

View: https://www.instagram.com/p/DUC80jTiMcL/?igsh=MWczMzNwNzVhemhrbQ==

Hao wote uliowataja hapo na kaka Yao Mkuu wa umaskini Nigeria ni takataka.

GDP haiondoi umaskini naufukara
 
Back
Top Bottom