CAG: Nusu ya miradi ya ujenzi wa barabara nchini imekwama kisa kukosa pesa na Mipango Mibovu

Wewe si kila siku hapa unaitaja Chadema kwenye ujinga unaoamini serikali imefanya vizuri?
Wewe Serikali ikifanya vizuri naisifia ikifanya ndivyo sivyo nakosoa.

Siishi kwenye mzio wa Vyama havina Msaada kwangu na Wala sio mwanachama wa chama Cha siasa na Sina huo Mpango.

Fuatilia mada zangu Huwa sijadili mambo yenu ya Vyama ,kwanza nyie Wanasiasa hata mkiuana kwangu ni shangwe tuu.

Mwisho Chadomo kazi yenu ni kupinga Kila kitu typical 🚮🚮🚮
 
Inasikitisha sana,mimi lawama zangu zote ni kwa Samia..alivyoingia tu alitoa 500milioni kwa ajili ya kila jimbo kujenga barabara ya vumbi,lakini ukiangalia kwa undani sana nia ilikuwa kunufaisha zanzibar,maana ukilipa jimbo la zanzibar 500m wanakarabati sehemu kubwa sana,pili hana maono yoyote ni kanyaga twende
 
Haya hayajadiliwi kwenye chama chenye kilichoshika dola?
 
Jadili hoja badala ya kuleta chuki zako binafsi zisizo na mashiko.
 
Huwa unampongeza Samia kwa kila jambo ambalo serikali ikifanya vizuri ila huwa haumuhusishi Samia kwenye kukosoa serikali inapofanya vibaya.
 
Huu wote ni uhuni na utapeli wa CCM, lazima wafukue barabara nyingi kwa pamoja ili waonyeshe wanafanya kazi na nyie chawa mpate cha kusifia na kuadaha raia kona zote za nchi kama mlivyogeuzwa mavuvuzela mwaka jana wote halafu CCM wanajenge kidogo tu tena chini ya kiwango, ujinga mtupu wa mkoloni mweusi.
 
Huwa unampongeza Samia kwa kila jambo ambalo serikali ikifanya vizuri ila huwa haumuhusishi Samia kwenye kukosoa serikali inapofanya vibaya.
Wewe ni kajinga Mimi Sina akili za hovyo kama za nyie nyumbu wa Chadomo na vibaraka Beberu mnapinga Kila kitu.

Mimi napongeza na palipo na shida nakosoa na kutoa dira.

Fuatilia mada zangu usiwe nyumbu.
 
Wewe ni kajinga Mimi Sina akili za hovyo kama za nyie nyumbu wa Chadomo na vibaraka Beberu mnapinga Kila kitu.

Mimi napongeza na palipo na shida nakosoa na kutoa dira.

Fuatilia mada zangu usiwe nyumbu.
Wala sijasema haukosoi, nimesema kwenye kupongeza huwa sifa zote unazipeleka kwa Samia na kwenye kukosoa huwa haumuhusishi Samia na huo ukosoaji. Maana yake ni umemfanya Samia kuwa wa kupongezwa na si wa kukosolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…