Ungekuwa hujanywa maji machafu ya bendera ya CCM usingetaka kuwasikia achilia mbali kuwafanyia kampeni Tulia na Samuya ambao wanajenga barabara ya km 30 kwa zaidi ya miaka mitatu sasa kwenye Jiji lako la mchongo.Wewe punguani Mimi siishi kwenye mzio wa Vyama vyenu havina Msaada kwangu.
Fuatilia mada zangu zote utanisoma.
Ni muishi kwa matumaini tu sasa watarudi kidogo 2029 kuelekea 2030.Njia nne mbeya nsalaga songwe mradi umesimama foleni kama zote
Wewe fala Mara kadhaa nimekwambia humu jf Mimi sio mwana CCM Wala Sina Mpango wa mavyama yenu ila natambulika shabiki wa SSH.Ungekuwa hujanywa maji machafu ya bendera ya CCM usingetaka kuwasikia achilia mbali kuwafanyia kampeni Tulia na Samuya ambao wanajenga barabara ya km 30 kwa zaidi ya miaka mitatu sasa kwenye Jiji lako la mchongo.
Samia anawezaje kuwa mtendqji wa Kila sehemu? Nafasi yake anafanya.Wala sijasema haukosoi, nimesema kwenye kupongeza huwa sifa zote unazipeleka kwa Samia na kwenye kukosoa huwa haumuhusishi Samia na huo ukosoaji. Maana yake ni umemfanya Samia kuwa wa kupongezwa na si wa kukosolewa.
Sasa wewe shabaki wa Samuya kwa nini unaonyesha ukilaza wako wa wazi hapa kuwalaumu TANROADS kama vile wao ndio wanatoa pesa za ujenzi na ndio wanaamua barabara zipi zifukuliwe kuwadanganya wananchi zinajengwa??Wewe fala Mara kadhaa nimekwambia humu jf Mimi sio mwana CCM Wala Sina Mpango wa mavyama yenu ila natambulika shabiki wa SSH.
Endelea kuhangaika na Vyama na kawahangaishe wajinga mnawaamhia wakaandamane kumtoa Lisu jela.
Hauamini mfumo wa one man show ila sifa zote unambebesha Samia, Samia ndio kafanya hiki na kile, katoa pesa n.kSamia anawezaje kuwa mtendqji wa Kila sehemu? Nafasi yake anafanya.
Kwanza Mimi siamini kwenye mfumo wa one man show.
Wewe ni mjinga umeona hoja ya CAG ni ukosefu wa pesa tuu?Sasa wewe shabaki wa Samuya kwa nini unaonyesha ukilaza wako wa wazi hapa kuwalaumu TANROADS kama vile wao ndio wanatoa pesa za ujenzi na ndio wanaamua barabara zipi zifukuliwe kuwadanganya wananchi zinajengwa??
Chawa kuna siku nilikuambia unamwaga sifa kibao wakati uhalisia unakataa. Nikakuambia subiri hilo bunge kibogoyo lianze usikie milio ya miradi kibao kukwama. Naona hapa unavua chupi mwenyewe kabla hujatekenywa.Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.
Kwa sababu haiwezekani Kila mwaka wanakuja na miradi mipya wakati miradi ya zamani imekwama.Hili ni tatizo la wanaohusika na mipango.
Binafsi Huwa najiuliza Kwa nini kusiwe na utekelezaji wa miradi michache Kila mwaka ambayo mnajua kabisa ndani ya miaka 2 itamalizika Kwa pesa hizi hizi zilizopo badala ya kuanzisha vipisi vipisi vya miradi Kila sehemu ya Nchi matokeo yake hakuna kinachomalizika.
Mfano inawezekanaje Barabara ya km 200 ukasaanzisha ujenzi Kwa kilomita 2 Kila mwaka? Hizi ni akili za wapi? Kule Rukwa TanRoads walisaini mkataba wa Ujenzi wa Barabara 2 tofauti za km 25 Kila Moja na zote zimekwama wakati Barabara mojawapo hapo Ina km 50 na nyingine km 200 Sasa Kwa nini wasisaini upande mmja Ili imalizike ndio waje wahamie kwingineko?
Sasa hiki ndicho kinafanyika Nchi nzima wakati ukikusanya hivyo vipande vidogo vidogo ukachagua Barabara chache unaweza zikamilisha vizuri kabisa.
Kuna tatizo kubwa sana la project and transport planning plus Wanasiasa kuingilia.
Tukiendelea na utaratibu huu wa kutapanya Rasilimali bila Mpango hakuna Cha maana tuta achieve kama Nchi.
=============
Mipango dhaifu ya maendeleo ya barabara pamoja na upungufu sugu wa fedha vinaendelea kuchelewesha upanuzi wa miundombinu nchini Tanzania, hali inayoongeza madeni na kuhatarisha utoaji wa huduma, kwa mujibu wa ukaguzi mpya ulioonyesha kuwa ni nusu tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa yametekelezwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Licha ya kuongezeka kwa mahitaji ya miundombinu ya barabara nchini kote, serikali katika miaka minne ya fedha mfululizo imefanikiwa kutekeleza wastani wa asilimia 50 tu ya maboresho ya barabara yaliyopangwa kati ya mwaka wa fedha 2021/22 na 2024/25. Upungufu huu, kwa mujibu wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaathiri ufanisi wa usafiri, unachelewesha shughuli za kiuchumi na kuongeza malimbikizo ya madeni kwa wakandarasi.
Hayo yameelezwa katika ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2024/25 ya CAG, Charles Kichere, iliyochambua upangaji na utekelezaji wa programu za miundombinu ya barabara na kubaini kuwepo kwa udhaifu wa kimfumo katika upangaji wa bajeti, upangaji wa vipaumbele pamoja na utoaji wa fedha kwa taasisi husika.
Ripoti hiyo pia inaonyesha kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu β Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (PO-RALG) pamoja na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), ambazo zinahusika na usimamizi wa sehemu kubwa ya mtandao wa barabara, zimekuwa zikifanya kazi katika mazingira ya bajeti zisizotosheleza na utolewaji wa fedha usio wa uhakika, jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo ya kila mwaka mara kwa mara.
My Take
Hongera CAG Kwa kuliona hili labda Watabadilika.
View attachment 3573337
Wewe nyumbu wa Chadomo by any metrics SSH amefaulu kuliko wowote waliowahi kuongoza hapa Tanzania Kwa sekta zote.Chawa kuna siku nilikuambia unamwaga sifa kibao wakati uhalisia unakataa. Nikakuambia subiri hilo bunge kibogoyo lianze usikie milio ya miradi kibao kukwama. Naona hapa unavua chupi mwenyewe kabla hujatekenywa.
Hii ni hoja au matako tuJadili hoja badala ya kuleta chuki zako binafsi zisizo na mashiko.
Huu ndio umuhimu wa katiba mpya,yote HAya yangefanikiwa kwani kwenye ushindani wa vyama ulio huru HAya yote yangekuwa safi!Mitano Tena!Huwezi Jenga Barabara za kiwango Kwa utaratibu wa Sasa wa Bora liende na kusikiliza Wanasiasa wanachosema.
Wanaojiita wasomi nao wamekubali kutekwa nyara na Wanasiasa
Pia hakuna mwenye uchungu na Mali ya Umma na was wenye maono wanarudishwa nyuma.
Unategemea Barabara ambayo Magufuli alisema km 1 ijengwe Kwa mil.500 idumu miaka 20?
Katiba Mpya hapo inahusikaje kwenye kuweka utaratibu mzuri wa Barabara? πππππHuu ndio umuhimu wa katiba mpya,yote HAya yangefanikiwa kwani kwenye ushindani wa vyama ulio huru HAya yote yangekuwa safi!Mitano Tena!
utakuwa gardener wa Samuya wewe!Wewe nyumbu wa Chadomo by any metrics SSH amefaulu kuliko wowote waliowahi kuongoza hapa Tanzania Kwa sekta zote.
Pili baadhi ya miradi kukwama ni planning mbovu ya wanaojiita wataalamu ambao najua watajitetea kwamba wanaingiliwa na siasa.
Wewe Kwa akili Yako ya kuku Ukiwa na Bilioni 700 ukatapanya Kila kamradi kiduchu kiduchu na mwingine akachagua miradi michache ikakamilika unadhani yupi atapata tija?
Hiyo ndio hoja ya CAG na wabunge unakuta kibogoyo yet unawasikiloza π€£π€£
Nimeshatoa suluhisho na hii sio mara ya kwanza Kuandika hoja ya Barabara humu ,kimsingi CAG amekopi hoja yangu.
Hujakosea kikubwa uliza namba upeweutakuwa gardener wa Samuya wewe!
Kungekuwa na usimamizi wenye akili Maana Kila kitu kungekuwa wazi!Hata wakurugenzi wangeomba kazi kuliko HAya madaraka makubwa ya raisi kuteua hata vilaza na ufanisi ungeonekana!Katiba Mpya hapo inahusikaje kwenye kuweka utaratibu mzuri wa Barabara? πππππ
Akili za nyie Chadomo ni shida sana.Kwamba Kenya kwenye Katiba mpya Barabara zinajengwa vizuri sana kuliko Egypt ambako hakuna? π€£π€£π€£
Anajipa pongezi na kujikosoa!Ungekuwa hujanywa maji machafu ya bendera ya CCM usingetaka kuwasikia achilia mbali kuwafanyia kampeni Tulia na Samuya ambao wanajenga barabara ya km 30 kwa zaidi ya miaka mitatu sasa kwenye Jiji lako la mchongo.
Unaongea vyema,ila hapa dhamili Yako ni Katiba mpya,ila unaogopa kusema direct!Hujakosea kikubwa uliza namba upewe
Anaichafua serikali ya Mama..Chobwedo leo umetumwa na Chadema?
Chawa peleka ushubwada mbali, miradi ikienda hutaji wataalam unamtaja Samia. Ikijaribika ndio unawasingizia wataalam. Peleka useng@@e mbali.Wewe nyumbu wa Chadomo by any metrics SSH amefaulu kuliko wowote waliowahi kuongoza hapa Tanzania Kwa sekta zote.
Pili baadhi ya miradi kukwama ni planning mbovu ya wanaojiita wataalamu ambao najua watajitetea kwamba wanaingiliwa na siasa.
Wewe Kwa akili Yako ya kuku Ukiwa na Bilioni 700 ukatapanya Kila kamradi kiduchu kiduchu na mwingine akachagua miradi michache ikakamilika unadhani yupi atapata tija?
Hiyo ndio hoja ya CAG na wabunge unakuta kibogoyo yet unawasikiloza π€£π€£
Nimeshatoa suluhisho na hii sio mara ya kwanza Kuandika hoja ya Barabara humu ,kimsingi CAG amekopi hoja yangu.
Kukosa PESA na PESA ya kukopesha VIJANA Ile bilioni 200 imetoka wapi? Pesa mnaona Wana ccm