Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Kwamba eti Kenya ni masikini haiondoi potholes na barabara mbovu nyingi za kutisha katikati ya jiji la DSM na barabara kuu.
View: https://www.instagram.com/p/DUC80jTiMcL/?igsh=MWczMzNwNzVhemhrbQ==
Hao wote uliowataja hapo na kaka Yao Mkuu wa umaskini Nigeria ni takataka.
GDP haiondoi umaskini naufukara
Ni nini ambacho kinaondoa umaskini na ufukara? Unapimaje hii nchi ni tajiri na ile nyingine ni maskini. Wewe umesoma hadi darasa la ngapi?
View: https://www.instagram.com/p/DUC80jTiMcL/?igsh=MWczMzNwNzVhemhrbQ==
Hao wote uliowataja hapo na kaka Yao Mkuu wa umaskini Nigeria ni takataka.
GDP haiondoi umaskini naufukara
Chawa zile link zako za Insta na X zipp wapi?Nakubaliana kabisa na CAG na hapa tatizo sio kukosa pesa Bali poor planning inayofanywa na wakuu wa taasisi za Barabara ambao ni TanRoads na TARURA.
Kweli nchi za wenzetu mambo ya miundombinu kama walishamalizana nayo ,sisi bado tunakimbizana na barabara za Tope ,inasikitisha Dar yenyewe kuna barabara za Tope kibao ,yaani inasikitisha hadi sehemu ambazo zimepimwa kama mikocheni,mbezi beach,masaki,mbweni bado kuna barabara za TOPE.Mkuu karibu denga pia
Construction za hatari zinafanyika na wala huwasiki
Wanasiasa wakipiga kelele,sijui tunajenga kitu fulani...nope
Maana hilo ni jukumu lao
Na wenzetu wana mipango na usimamizi madhubuti
Huko nchi fulani kila mtu anawaza kuiba,kwa style hiyo itachukua miaka 2000 labda
Na wanasema wanaandaa afcon ngoja wageni waje wakute maandaki
Ova
Wanajenga barabara,lakini watembea kwa miguu hawafikiriwiKweli nchi za wenzetu mambo ya miundombinu kama walishamalizana nayo ,sisi bado tunakimbizana na barabara za Tope ,inasikitisha Dar yenyewe kuna barabara za Tope kibao ,yaani inasikitisha hadi sehemu ambazo zimepimwa kama mikocheni,mbezi beach,masaki,mbweni bado kuna barabara za TOPE.
Wanajenga barabara,lakini watembea kwa miguu hawafikiriwi
Ova
Kabisa kama kinondoni shamba pangevunjwaTanzania hatuna watu wa mipango miji ,waliopo wanakula mishahara ya BURE tu.
Maeneo kama Tandale ,Manzese , Kigogo ,Jangwani ,Magomeni ,Sinza ,Kinondoni ni kuvunjwa yote na kujenga ma Skyscrapers ,ma Malls ,maOFC ,Amusement parks ,maFLY overs ya hatari.
Kabisa kama kinondoni shamba pangevunjwa
Kinondoni msisiri pangevunjwa
Mwananyamala kisiwani nk
Pangevunjwa
Zile kota za manyanya nazo watu pale wangeondolewa wangejenga flats nk
Maana mule ndani ni uchafu sana
Ova