CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Huyu si alitumbuka baada ya kuwa ni mtu wa kupuuza maelekezo ya mr.Prez hadi akawa anamfowadia msg za malalmiko ya watu na hakuwa anafanyia kazi.
 
Nyie wapinzani mpo timamu?

CAG anafanya kazi kwa mkataba wa miaka mitano
Km unampenda sana CAG mwajiri kwako kiazi we
CAG yupo kikatiba sio kwa matakwa ya Jizi kuu lolote.
Kikatiba anaondoka kazini akiwa na umri wa miaka 60. Sasa hivi Prof. Assad ana miaka 58! Bado miaka miwili ya kustaafu. Angalia kifungu 144.

View attachment 1252723
 
Yaan hii ni kuinajisi CPA na Bodi ya wahasibu NBAA yaan mtu hata CPA hana leo anakua CAG
Hizi professional bodies kipindi hiki zinaenda kua toothless kabisa na kufa kabisa.

Na hii wala haifanyiki bahati mbaya mkuu.
 
Tumpongeze rais Magufuli kwa kutumia kikamilifu mamlaka anayopewa kikatiba katika kufanya uteuzi.

Pascal Mayalla aliweka uzi hapa wa rais kuweza kumteua yeyote yule.

Hizi bla bla blah za kumalumu hazina tija.
 
Bila changamoto....bila mawazo mbadala nigiza tupu
Si kila wazo mbadala linalenga kuboresha...mengi ya mawazo mbadala hasa kutoka kwa wenye "kijiba rohoni" ni yakukwamisha juhudi madhubuti za kuboresha jambo husika. Na hapo ndipo tunapotezeana muda kufanya mambo ya maana.
 
Kwa elimu hii sasa naanza kuelewa kwanini ali shindwa TRA... Naanza pia kuona anguko kwenye udhibitli WA pesa za serikali. CV yake haiendani na wadhifa alio pewa..
Bongo connection CV mbwembwe
 
Jakaya anabaki kuwa MVP forever.

Meko ana recycle incompetent leaders under him.
 
Back
Top Bottom