Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Tuache kuimba taarabu tujadili kama watu wenye uelewa kidogo...
CAG yupo kikatiba sio kwa matakwa ya Jizi kuu lolote.
Kikatiba anaondoka kazini akiwa na umri wa miaka 60. Sasa hivi Prof. Assad ana miaka 58! Bado miaka miwili ya kustaafu. Angalia kifungu 144.
View attachment 1252723
Assad kastaafu au katumbuliwa?
Ishu ni matumizi ya maneno "kutumbuliwa, kutenguliwa" Katiba haimpi nafasi raisi kuyatumi kama CAG anavofanya kwa wateule wake wengineKwani mda wake haukuwa umefika mwisho?
Hizi professional bodies kipindi hiki zinaenda kua toothless kabisa na kufa kabisa.Yaan hii ni kuinajisi CPA na Bodi ya wahasibu NBAA yaan mtu hata CPA hana leo anakua CAG
Kwan CPA inatafutwa wap? Kwa level yake akiamua kusoma si miez kadhaa Tu anaipata? Punguzeni unaa
Ni vigumu sana kwani CCM wengi hawatumii Akili zao binafsi kufikiri bali wanaishi kwa kutumia Akili makonda mshauri mkuu wa magufuliNataman kuwasikia wanaopendekeza JPM aongezewe muda wapendekeze pia PROF. ASSAD aongezewe muda
Si kila wazo mbadala linalenga kuboresha...mengi ya mawazo mbadala hasa kutoka kwa wenye "kijiba rohoni" ni yakukwamisha juhudi madhubuti za kuboresha jambo husika. Na hapo ndipo tunapotezeana muda kufanya mambo ya maana.Bila changamoto....bila mawazo mbadala nigiza tupu
Bongo connection CV mbwembweKwa elimu hii sasa naanza kuelewa kwanini ali shindwa TRA... Naanza pia kuona anguko kwenye udhibitli WA pesa za serikali. CV yake haiendani na wadhifa alio pewa..
Slavery mentality boss wangu....!! Jitambue!!
Hongera sana Kichere. Kachape kazi (In Magufuli's voice)
Asaad ustaafu mwema. Kalee wajukuu sasa.