CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Mhh Bad bakule sio marehem mzee baba?..kuna kipindi alikua ana tb
 
Charles Kichere kama CAG sasa

- Mwaka wa Fedha 2018/2019 alikuwa Kamishna Mkuu wa TRA
- 2019/2020 alikuwa RAS wa Njombe

Je, atajikagua na kujipa hati safi/chafu na kufuatilia majibu ya maswali yaliyopita kuhusu TRA na Njombe?
CAG ni ofisi.....usisahau hilo!
 
Charles Kichere kama CAG sasa

- Mwaka wa Fedha 2018/2019 alikuwa Kamishna Mkuu wa TRA
- 2019/2020 alikuwa RAS wa Njombe

Je, atajikagua na kujipa hati safi/chafu na kufuatilia majibu ya maswali yaliyopita kuhusu TRA na Njombe?
Binafsi simchukii kichere ila kuwa CAG nina mashaka na uwezo wake kwani alichoshindwa TRA ni kitu kidogo tu huku anakokwenda ni kukubwa sana
 
Charles Kichere kama CAG sasa

- Mwaka wa Fedha 2018/2019 alikuwa Kamishna Mkuu wa TRA
- 2019/2020 alikuwa RAS wa Njombe

Je, atajikagua na kujipa hati safi/chafu na kufuatilia majibu ya maswali yaliyopita kuhusu TRA na Njombe?

Hahitaji kuwa serious, anahitaji mtu atakayetii atakacho.
 
Charles Kichere kama CAG sasa

- Mwaka wa Fedha 2018/2019 alikuwa Kamishna Mkuu wa TRA
- 2019/2020 alikuwa RAS wa Njombe

Je, atajikagua na kujipa hati safi/chafu na kufuatilia majibu ya maswali yaliyopita kuhusu TRA na Njombe?
Kwakuwa Vetting imefanyika naona atajikagua vizuri tu mkuu wala usihofu.
 
Kichere kawa CAG?

Kwani Assad amestaafu?

Oooh, kumbe amenyimwa extension ya miaka mingine 5.

Serikali imecheza na loophole ya sheria.
Jomba unaunga mkono watu wakishagota umri wa kustaafu wapewe extension sio..sasa watoto wetu watapata hizo nafasi lini Kama wazee wataendelea kushika nafasi..
 
Tunakumbushana tu kwa sababu siasa siyo uadui.

Jitahidini mrudishe hizo fomu kwani kesho ndio siku ya mwisho ya kuchukua na kurudisha fomu uchaguzi wa serikali za mitaa.

Prof Assad amemaliza muda wake wa kikatiba hata mkuu fayza fox amelielewa hili na ametulia

Maendeleo hayana vyama!
 
Anaweza kuwa ameomba kuachia ngazi akimaliza muda wake huu. Inaelezea hapo, mengine sio lazima tutangaziwe.
 
Charles Kichere kama CAG sasa

- Mwaka wa Fedha 2018/2019 alikuwa Kamishna Mkuu wa TRA
- 2019/2020 alikuwa RAS wa Njombe

Je, atajikagua na kujipa hati safi/chafu na kufuatilia majibu ya maswali yaliyopita kuhusu TRA na Njombe?
Hahahaha umewaza mbali..ripoti ni ripoti tu haijalishi ulikuwemo au haukuwemo..si wanafata misingi ya ukaguzi jomba..kwani vipi..
 
wewe ulivyofungua huu uzi kujadili hili inamaana umesahau kuwa kesho ni siku ya mwisho kuchukua form???

hivi huu utapiamlo haya madhara yake yatakuandama hadi siku ya kufa??
 
Teh teh teh. Jf ina watu wametulia sana ki fikira (like a man who commented this)
 
Kama ndivyo hata Urais ungekuwa ni taasisi na sio mtu. Acha kujitoa ufahamu wewe chalii.
Utalinganishaje urais na Hawa wengine wewe..Rais ni dhamana ya kubeba Taifa aliyopewa na wananchi ikiwemo wewe..yeye ndie raia namba moja..right..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…