CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Hongera sana Kichere. Kachape kazi (In Magufuli's voice)
Asaad ustaafu mwema. Kalee wajukuu sasa.
 
Ndiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Teh...
Kaonjeshwa joto ya jiwe


Akija huku atakua kimya na kuambiwa kaa hvyo hivyo
Dah...
 
CAG wa Sasa awe na Kitengo Cha ujasusi wa maswala ya fedha, aweze kudetect mikono ya wasioonekana wakati wa kusema hela hazionkeani!
Hicho kitengo cha ujasusi watu wake watatoka sayari gani? Na watakuwa wanafanya kazi chini ya nani? Bajeti yao je? Na recruitment atafanya nani?
 
Wafanye wote wakubaliane na ukitakacho.

Bila nguvu kinzani

Without friction ... no work done unless otherwise perpetual machine

Kiuhalisia tunahitaji mawazo mbadala mitazamo tofauti na hapo ndipo tutakuwa na maendeleo ya kweli

Bila changamoto....bila mawazo mbadala nigiza tupu.
''Bila mawazo mbadala''
Hayo maneno mapana sawa

Mahali tutafikishwa na hili lorry lazma uti wa mgongo uvunjike
 
Back
Top Bottom