Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Umeumia sanaKama ni hivyo basi ni mbinu za kum shake kisaikolojia ili awe na adabu na mteuzi. Una panda cheo hadi Kamishna wa TRA una enjoy ukuu ghafla unapigwa mtama hadi kuwa RAS bila kutegemea na unanyong'onyea kisha unapewa madaraka yasiyo hojiwa na inakubidi ujikunyate kwa mteuzi kuwa ni mwokozi wako.
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof Musa Assad #MwananchiUpdates
Alikuibia nini?Kweli nimeamini sasa magufuli ni mwizi
MkuuCHADEMA wataangua Vilio kumlilia Prof. Assad
Teh...Ndiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
Assad hatimae kastaafu. Honger Mr Kichere kwa kuteuliwa kuwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali.
Itakusaidia nini cheo cha kutukanwa kila siku.Yaani hii serikali ukishushwa cheo wewe kuwa mtulivu na fanya kazi,maana utapandishwa tena cheo usipovunjika moyo.
Kichere ana bahati
Kwanini funguka tuSisi kama nchi ni wajinga sana kuliko maelezo ninarudia tena WATANZANIA NI WAJINGA SANA SANA NA HAWAJITAMBUI.
Hicho kitengo cha ujasusi watu wake watatoka sayari gani? Na watakuwa wanafanya kazi chini ya nani? Bajeti yao je? Na recruitment atafanya nani?CAG wa Sasa awe na Kitengo Cha ujasusi wa maswala ya fedha, aweze kudetect mikono ya wasioonekana wakati wa kusema hela hazionkeani!
''Bila mawazo mbadala''Wafanye wote wakubaliane na ukitakacho.
Bila nguvu kinzani
Without friction ... no work done unless otherwise perpetual machine
Kiuhalisia tunahitaji mawazo mbadala mitazamo tofauti na hapo ndipo tutakuwa na maendeleo ya kweli
Bila changamoto....bila mawazo mbadala nigiza tupu.