CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Charles alishakuwa weakened na tumbua ya kukurupuka.... Hawezi kufanya kazi independently kama CAG... BUNGE dhaifu, MEDIA iko ICU na sasa CAG kwapani kwa Serikali!!! We are doomed...
Apitie kwa wajina wake akina
Chaz Kitwanga
Chaz Kaijage
Chaz naniliu
 
I concur with you!!![emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nakumbuka Huyu Kichere au Mchechu waalitajwa siku nyingi na huyo Kigogo 2014 kwamba mmoja wao ataichukua hiyo nafasi.

Seems vetting wakati inaendelea alivujishiwa data.
 

Mungu atusaidie, Mwalimu Nyerere alionya haya mambo
Your browser is not able to display this video.
 
Assad alionyesha ukomavu sana kwa kusimamia kazi yake,kila la heri mzee umemaliza salama,Kachere ataweza kuvaa viatu vya Assad?

Umeacha alama mzee Assad,ulikuwa mkweli hata taasisi dhaifu hukuogopa kuzisema bila uoga.
 
Kwahyo ripoti ya ukaguzi round hii itakuaje waz au itafichwa
 
I concur with you!!![emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nakumbuka Huyu Kichere au Mchechu waalitajwa siku nyingi na huyo Kigogo 2014 kwamba mmoja wao ataichukua hiyo nafasi.

Seems vetting wakati inaendelea alivujishiwa data.
Hakuna vetting hapa.. ni Magufuli ndio aliyoona hafai kuongoza TRA, leo anamrudisha kuongoza NAO. Shameful
 
Hongera kwake Charles Kichere na Kila la kheri Prof.Musa Assad
 
Kwa hiyo Assad kafikisha umri wa miaka 60?
 
Kichere amefanya naye kazi tanroad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…