CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

Ila nafasi ya u CAG safi sana. Walau Kichere sasa ana uhakika wa kukaa kama CAG kwa miaka 5 hata kama ile mihimili mingine itakwazika for sometimes.
Assad ustaafu mwema kwako. Pole kwa kutokuongezewa miaka 5 mingine.
iv kumbe cag hawez kutumbuliwa
 
Hahahaa namsubilia zitto aje kupinga maana babake ndio ametolewa tena aliyekuwa anamlisha data za ofisi
 
Hivi kichere ana CPA/ACCA?

Ni member wa NBAA?

nina maana yangu kuuliza hivi wakuu.
CPA?

Hana ila katiba haijaweka Zuio kwamba mteuliwa wa nafasi ya CAG lazima awe na hivyo ulivyovitaja.
 
Nchi imeoza hii, Kicheere alieboronga TRA leo ndio asimamie hesabu za serikali??? Naona kaambiwa nakupa nafasi hii ila usisema hesabu ZANGU...kazi kweli kweli.
 
CAG aliyetoka alikuwa na elimu ya kutosha, experience ya kutosha + exposure kubwa.

Huyu wa sasa sijaridhika na CV yake kwa maana ya Elimu, Experience na Exposure.

Hizi nafasi nyingine zilipaswa kutangazwa watu waombe na vigezo vizingatiwe..
 
Kichere hana ubavu wa kuanika madudu kama alivyofanya Assad,kateuliwa maalum ili kwenda kumlinda big boss na mpwa wake wa wizara ya fedha.
Atakuwa CAG wa hovyo kuwahi kutokea.
 
CPA?

Hana ila katiba haijaweka Zuio kwamba mteuliwa wa nafasi ya CAG lazima awe na hivyo ulivyovitaja.
Najua katiba haijaweka zuio hilo, lkn nimeuliza hilo swali makusudi maalum mkuu.
 
Nakupongeza Mh.Rais Magufuli mzalendo kwa kuona mtu mmoja anaefaha kabisa.Sio mtu anapika data eti 1.5trioni zimepotea,sijui unifomu hewa nk
AHSANTE SANA
 
Moderator rekebisheni kichwa cha uzi huu kinasomeka katumbuliwa wakati ni amestaafu au muda wake wa kurumikia ofice umeisha
 
Back
Top Bottom