CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

I concur with you!!![emoji23][emoji23][emoji23]

Ila nakumbuka Huyu Kichere au Mchechu waalitajwa siku nyingi na huyo Kigogo 2014 kwamba mmoja wao ataichukua hiyo nafasi.

Seems vetting wakati inaendelea alivujishiwa data.
Alitajwa Mchechu siyo Kichere
 
Kwan alikua hawezi kuendelea kwakumkabidhi kijiti tena!!!!!hapa ndo tutapigwa mpaka tutakoma
 
Assad hatimae kastaafu. Honger Mr Kichere kwa kuteuliwa kuwa mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali.
Vipi hesabu za Manunuzi ya ndege na miradi yote makubwa akipewa kazi ya kukagua ataleta jawabu
Ndiyo. Kapandishwa tena cheo baada ya kushushwa kutoka kamishna TRA na kapelekwa kuwa katibu tawala. Leo kapanda tena cheo na kuwa CAG.
kazi maalum kukagua hesabu ACT kisha kuwasafisha kuwa hakuna ufisadi
 
weka na cv ya Prof Asaad
 
Prof Assad,
Nenda Kasali rakaa mbil za kushukuru
Kasome katiba ya nchi kuhusu CAG na kinga na mamlaka yake
Rudi kutufundishia watoto
Ni mimi swahiba wako toka Op Jihami,Ruvu na Mlale JKT
 
Alishindwa kukusanya Kodi Sasa ameteuliwa kudhibiti na kukagua Kodi!
Maajabu hayataisha nchi hi.
Maajabu vioja havitakwisha mpaka magufuli alipata mshauri mpya badala ya makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…