Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viweke hapa usilete upoyoyo.Soma vifungu vyote vinavyomhusu CAG wewe unasoma cha kumwondoa tu. Acha kukariri mkuu!
Kwa hiyo wewe ulitakaje..embu tupe mawazo yako tukujue unayowaza..ndio baadae utupe tofauti kati ya msiba wako na matangaMkuu hapo subir report ijayo itakavo kuwa safi hapo ndo utajua kuna tofauti kat ya msiba na matanga
Hala kuna tatizo.Charles Kichere kama CAG sasa
- Mwaka wa Fedha 2018/2019 alikuwa Kamishna Mkuu wa TRA
- 2019/2020 alikuwa RAS wa Njombe
Je, atajikagua na kujipa hati safi/chafu na kufuatilia majibu ya maswali yaliyopita kuhusu TRA na Njombe?
Yaani hii serikali ukishushwa cheo wewe kuwa mtulivu na fanya kazi,maana utapandishwa tena cheo usipovunjika moyo.
HahahahahaRAS mpaka CAG kamtoa kaburini kabisaaaa
Ndiyo kastaafu miaka yake mitano,Boss hakumuongezea ingawa umri bado unaruhusu. Sasa arudi kusasihisha Booklets.Mbona wamesema amemaliza kipindi chake cha miaka 5? Barua ya Msigwa hajasema kastafu.
Hii kwa kweli inatisha sana,ngoja wale weledi pale ofisini wakamlishe kasa na tango pori.Yaan hii ni kuinajisi CPA na Bodi ya wahasibu NBAA yaan mtu hata CPA hana leo anakua CAG
Kichere kawa CAG?
Kwani Assad amestaafu?
Oooh, kumbe amenyimwa extension ya miaka mingine 5.
Serikali imecheza na loophole ya sheria.
Ndiyo kastaafu miaka yake mitano,Boss hakumuongezea ingawa umri bado unaruhusu. Sasa arudi kusasihisha Booklets.
Nakumbuka Kuna Sheria ilipitishwa 2014 ikiwalenga wakurugenzi wote wa taasisi za umma watahudumu kwa vipindi vya miaka mitano mitano renewable Mara mbili tu means baada ya miaka 10 hawezi kuhudumu tenaTaarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Prof.Mussa Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano kwenye nafasi hiyo. Lakini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (ambayo ndio sheria mama) haelezi hicho kinachoitwa "kipindi cha miaka mitano"
_
Katiba inaeleza kuwa CAG atakoma utumishi wake atakapotimiza umri wa miaka 60. Yani akifikisha umri wa miaka 60 anapumzika bila kujalisha ametumikia nafasi hiyo kwa muda gani. Iwe miezi miwili, miaka nane, au miaka kumi.
Ndio maana maCAG wote waliotangulia wameongoza ofisi hiyo kwa vipindi tofauti. Mzee Mohamed Aboud aliongoza kwa miaka 27 tangu 1969 hadi 1996. Thomas Kiama akaongoza kwa miaka 9 tangu 1996 hadi 2005. Ludovick Utouh akaongoza kwa miaka 8 tangu 2006 hadi 2014. Sasa hii kauli ya kusema Assad amemaliza kipindi chake cha "miaka mitano" imetoka wapi?
Matakwa ya kikatiba ni umri wa miaka 60, unless aondolewe kwa kushindwa kutimiza majukumu yake. Na ikitokea hivyo Katiba imeweka utaratibu wa kumuondoa kwa kuunda tume.
Lakini taarifa ya Ikulu inaeleza Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano. Je hiki kipindi cha miaka mitano Ikulu wamekitoa wapi? Kwenye sheria ipi? Kama ipo sheria hiyo ipo ni batili maana inapingana na katiba.
Na kwa kawaida unapotokea mgogoro kati ya sheria na katiba, basi Katiba ndiyo inayoshika hatamu (When a state law conflicts with a Constitution, then constitution prevails because constitution rules supreme above all state laws).
_
Prof.Assad amezaliwa tar.06 October mwaka 1961. Kwa sasa ana umri wa miaka 58. Atafikisha umri wa miaka 60 October 06 mwaka 2021. Hivyo kwa mujibu wa KATIBA alipaswa kustaafu nafasi yake ya CAG akifikisha umri huo, na si kwa hiki kinachoitwa "miaka mitano". I stand to be corrected.!View attachment 1252811
Mungu atamuhitaji zaidi!Kanyaga twende Mwenyekiti wangu.
Hii nchi pamoja na watu wake inakuhitaji sana
Viva Magufuri.
Mie najiuliza, hakuonekana kutosha TRA, atatosha u-CAG?View attachment 1252682
Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad
Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014.
WASIFU WA KICHERE:
NAME : Charles Edward Kichere
DATE OF BIRTH : 26th March 1970
LANGUAGES : Fluent in English and Kiswahili in both writing and speaking.
ACADEMIC QUALIFICATIONS
November 2016:Tumain University, Bachelor of Law (LLB).
December 2008: University of Dar es Salaam, Master of Business Administration (MBA – Finance).
June 2004: African Renaissance Centre – Mbabane, Kingdom of Swaziland. Awarded Diploma in Financial Management of Donor Funded Projects.
November 1997: University of Dar Es Salaam Awarded Bachelor of Commerce (B.com – Accounting) Upper Second Class with Honours.
May 1992: Shinyanga Commercial Institute (Shycom) Awarded Advanced Certificate of Secondary Education Examinations – Division 1.
November 1989: Tambaza Secondary School Awarded Certificate of Secondary Education Examinations – Division 1
Charles Edward Kichere was a Njombe Regional Administrative Secretary (RAS) and former Commissioner General at Tanzania Revenue Authority (TRA).
He also worked as Deputy Commissioner General at Tanzania Revenue Authority (TRA),
Head of Finance and Chief Accountant at Tanzania National Roads Agency (TANROADS),
Principal Internal Auditor at Tanzania National Roads Agency (TANROADS),
Internal Auditor at Tanzania National Roads Agency (TANROADS),
Internal Auditor at Unilever Tea Tanzania Limited, and Internal Auditor/Treasurer at Unilever Tea Kenya Limited.
Charles E. Kichere holds Bachelor of Laws (LL.B) from Tumaini University College, Dar es Salaam Tanzania, Masters of Business Administration (MBA) in Finance at University of Dar es Salaam,
Diploma in Financial Management of Donor Funded Projects at Africa Renaissance Centre, Mbabane Swaziland,
Bachelor of Commerce in Accounting (B.Com Accounting) at University of Dar es Salaam.
He is a member of the Credit and Audit Committees.