Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Kwani Assad ndo alikuwa mweka hazina !?Pesa za walipa kodi zitachotwa bila wasiwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Assad ndo alikuwa mweka hazina !?Pesa za walipa kodi zitachotwa bila wasiwasi
Atastaafia pazuri mzee baba.Ila ajabu huyu mteuliwa upya nae ana miaka 59..kwaio mwakani anakua elligible kustaafu hivyo kama ataficha vizuri mambo flani ya mtoto wa dada atakua extended au anaweza pigwa chini akaletwa mwingine ila huyu ataendelea kula maisha maxuri ya pensheni...
Ila hadi sasa hivi ni 5 - 0 hatutasikia habari zozote zile za kuhusu ufisadi ama ubadhirifu ni mwendo wa mapambio kwenda mbele ila jamaa ana roho mbaya hatari Assad kesho ndo tarehe yake ya kustaafu hivyo jamaa ametaka jamaa akakabidhi mikoba siku ya kesho..daahAtastaafia pazuri mzee baba.
Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Prof.Mussa Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano kwenye nafasi hiyo. Lakini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (ambayo ndio sheria mama) haelezi hicho kinachoitwa "kipindi cha miaka mitano"
_
Katiba inaeleza kuwa CAG atakoma utumishi wake atakapotimiza umri wa miaka 60. Yani akifikisha umri wa miaka 60 anapumzika bila kujalisha ametumikia nafasi hiyo kwa muda gani. Iwe miezi miwili, miaka nane, au miaka kumi.
Ndio maana maCAG wote waliotangulia wameongoza ofisi hiyo kwa vipindi tofauti. Mzee Mohamed Aboud aliongoza kwa miaka 27 tangu 1969 hadi 1996. Thomas Kiama akaongoza kwa miaka 9 tangu 1996 hadi 2005. Ludovick Utouh akaongoza kwa miaka 8 tangu 2006 hadi 2014. Sasa hii kauli ya kusema Assad amemaliza kipindi chake cha "miaka mitano" imetoka wapi?
Matakwa ya kikatiba ni umri wa miaka 60, unless aondolewe kwa kushindwa kutimiza majukumu yake. Na ikitokea hivyo Katiba imeweka utaratibu wa kumuondoa kwa kuunda tume.
Lakini taarifa ya Ikulu inaeleza Assad amemaliza kipindi chake cha miaka mitano. Je hiki kipindi cha miaka mitano Ikulu wamekitoa wapi? Kwenye sheria ipi? Kama ipo sheria hiyo ipo ni batili maana inapingana na katiba.
Na kwa kawaida unapotokea mgogoro kati ya sheria na katiba, basi Katiba ndiyo inayoshika hatamu (When a state law conflicts with a Constitution, then constitution prevails because constitution rules supreme above all state laws).
_
Prof.Assad amezaliwa tar.06 October mwaka 1961. Kwa sasa ana umri wa miaka 58. Atafikisha umri wa miaka 60 October 06 mwaka 2021. Hivyo kwa mujibu wa KATIBA alipaswa kustaafu nafasi yake ya CAG akifikisha umri huo, na si kwa hiki kinachoitwa "miaka mitano". I stand to be corrected.!View attachment 1252811
Apparently kuna kifungu kingine kinatembea huko (Katiba inazidi kuvunjwa, Profesa Assad hakustahili kustaafishwa kwa mujibu wa katiba ibara ya 144) nacho kinaongelea kuwa CAG atakuwa na fixed term ya miaka 5 na anaweza kuchaguliwa tena kwa miaka 5. Na hapo hapo eti akifikisha 65 lazima aachie ngazi. Bahati mbaya bado sijapata tarehe za "vifungu hivi vya katiba". Kama ni hivyo basiJPM yuko ndani ya sheria.Sasa nime elewa (shukrani mkuu), kama ni hivyo basi mkulu amesigina katiba labda tuhakikishiwe vinginevyo. Hapa umejibu hoja kwa hoja.
Utazisikia wapi tena mzee baba maana mteuliwa ameshanyooshwa kwanza kabla ya kurudishwa mjini hapa,ni full adabu sasa.Ila hadi sasa hivi ni 5 - 0 hatutasikia habari zozote zile za kuhusu ufisadi ama ubadhirifu ni mwendo wa mapambio kwenda mbele ila jamaa ana roho mbaya hatari Assad kesho ndo tarehe yake ya kustaafu hivyo jamaa ametaka jamaa akakabidhi mikoba siku ya kesho..daah
Public Audit Act 2008 - imeweka wazi juu ya hichi kitu, ni miaka mitano upon renewal! MsomeApparently kuna kifungu kingine kinatembea huko (Katiba inazidi kuvunjwa, Profesa Assad hakustahili kustaafishwa kwa mujibu wa katiba ibara ya 144) nacho kinaongelea kuwa CAG atakuwa na fixed term ya miaka 5 na anaweza kuchaguliwa tena kwa miaka 5. Na hapo hapo eti akifikisha 65 lazima aachie ngazi. Bahati mbaya bado sijapata tarehe za "vifungu hivi vya katiba". Kama ni hivyo basiJPM yuko ndani ya sheria.
Hata boss wake ana PHD feki yani feki kwelikweliMbona Elimu yake ni dhaifu??
Kama ya jiwe viraka kuliko koto la suti la 1960Huyu jamaa ana CPA kweli? Alafu mbona elimu yake ina viraka vingi sana?
Kila dalili inaonyesha hata ni wa Chato ili sasa hazina ihamie Ikulu ya home badala ya Dodoma. Katika miaka minne ya awamu hii huyu CAG mpya ameteuliwa na kutenguliwa mara kadha dalili kuwa ni homeboy. Tumekwisha!Hivi huyo kichere sio msukuma kweli?
Duu ukweli au uongo embu Wana Jamvi dadavueniNaona yule jamaa wa kule Dodoma atakuwa anafurahia sana hii habari.
Umechelewa sana kusemaMimi binafsi nilijua this man hataishia uRAS tu.
CAG hatumbulikiAssad kastaafu au katumbuliwa?
Kwani hesabu zilizo kaguliwa mpaka za mwisho zimekaguliwa na ofisi ya CAG yupi? Ndio nyie hata mtukanwe mnapiga makofiChadema imchukue Assad ili akafukue makaburi ya mwenyekiti
Naona somo la hisabati kwako lilikuwa noma!Ila ajabu huyu mteuliwa upya nae ana miaka 59..kwaio mwakani anakua elligible kustaafu hivyo kama ataficha vizuri mambo flani ya mtoto wa dada atakua extended au anaweza pigwa chini akaletwa mwingine ila huyu ataendelea kula maisha maxuri ya pensheni...
HahahaHata boss wake ana PHD feki yani feki kwelikweli
Perfect answer broAkili tutapataje wkt tunasomeshwa kwny shule za elimu bure?
Why CHADEMA? Kwa sababu unajua wamemsifia prof Assad kwa kusimamia vizuri taaluma yake,, na pia wanapiga kelele kuhusu matumizi mabaya ya rasilimali za nchi huku ukikaa kumshangilia anayewanyima haki kama vile wewe siyo raia wa Tanzania, sad!CHADEMA wataangua Vilio kumlilia Prof. Assad