CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

Cag kagua value of iliyotumika kujenga jengo Hilo cyo kuja kujipendekeza eti haikuwa kwenye mpngo...hv hayo maneno ungesubutu kumuambia mwenda zake
Asingeweza kumwambia kwa sababu mwendazake alikuwa dikteta angempoteza
 
Hii statement haijaa poa nadhani kuna options zilitolewa ili kudhibiti foleni sasa kwakuwa jiwe ni mjenzi freemason akaamua kukomaa na kujenga badala ya hizo proposed options , kila kitu kitajulikana tu ni suala la muda tu bandugu
 
Umekalia kitu kizito nyuma kinachocheuwa...lazima uropokwe
 
Mwendelezo wa madduddu ya Magufuli.
 
Misenge sana hii mijitu, yalikua wapi kumwambia marehemu kabla asijenge.
Kila kitu sasa mnatupia kaburi, Mlaaniwe
Walikua wanamuogopa kuliko maelezo. Waliwahi kuambiwa BUNGE ni dhaifu wakatokwa povu na mishipa ikawasimama dede.
 
Suluhisho ni kuanzisha barabara nyingi na kufanya upanuzi wa barabara zilizopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…