Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Hawa inatakiwa washughulikiwa pole pole tena kimya kimya tu, ghafla watashituka.What? Lazima wahusika wawajibishwe kwa ufisadi huu mkubwa.
Hakuna cha let gone wala mafi yake hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa inatakiwa washughulikiwa pole pole tena kimya kimya tu, ghafla watashituka.What? Lazima wahusika wawajibishwe kwa ufisadi huu mkubwa.
Hakuna cha let gone wala mafi yake hapa.
Ni Ujinga Kusema tugange yajayo Means Kila atakayekuwa anaingia Kwenye fuko la serikali anaruhusiwa Kukwapua Mali ya Umma na Kujiweka vizuri halafu then sisi tuseme "Let gone be bygone". Waliohusika Wawajibishwe maana ushahidi hupo.Let gone be bygone, tuanze upya
Kigwangwala huko haja ndefu inagonga chupi inarudi ndani.Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa.
Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita nchini Tanzania.View attachment 1746626
Akizungumza leo Alhamisi Aprili 8, 2021 katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma CAG, Charles Kichere amesema, "Wizara ililipa Sh140 milioni kwa kampuni ya Wasafi kwaajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita, hata hivyo hakukuwa na mkataba wowote uliosainiwa baina ya wizara na kampuni ya Wasafi na kushindwa kuhakiki wigo na huduma iliyotolewa na kampuni ya Wasafi."
Kigwa hajawahi kufukuzwa uwaziri.Mara paap , jiwe kaamka , spatii picha jins mkutano wa waandishi wa habar utakavyotawanyika 😋😋😋😀😀 na CAG kutokomea kusikojulikana 🙄, mana si Kwa spana hz wanazompiga, lakni jiwe si alimwajibisha kigwangala Kwa kumtimua uwazir
Kwani kupoteza uwaziri nayo ni adhabu,mbona wengine wanasota jela kwa kesi za utakatishaji fedha,kushirikiana na magege ya kiharifu,ubadhirifu wa mali ya umma na tuhuma kibao za kubambikiziwa.Mara paap , jiwe kaamka , spatii picha jins mkutano wa waandishi wa habar utakavyotawanyika [emoji39][emoji39][emoji39][emoji3][emoji3] na CAG kutokomea kusikojulikana [emoji849], mana si Kwa spana hz wanazompiga, lakni jiwe si alimwajibisha kigwangala Kwa kumtimua uwazir