CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Acha kulinganisha Musoma na huo uchafu wenu? Yaani inaonekana hata Musoma Huijui wewe, yaani unailinganisha na Chato, pole sana
 
Umuhimu ulikuwepo kama tuliweza kupima corona kwenye mapapai natukamshangilia eti nimzalendo.huku akituma ndege ikachukue juice Madagascar wakati WHO hajaidhinisha
Tulikwama kama taifa
 
Acha kulinganisha Musoma na huo uchafu wenu? Yaani inaonekana hata Musoma Huijui wewe, yaani unailinganisha na Chato, pole sana
Mwambie huyo chawa wa burigi
 
Umuhimu ulikuwepo kama tuliweza kupima corona kwenye mapapai natukamshangilia eti nimzalendo.huku akituma ndege ikachukue juice Madagascar wakati WHO hajaidhinisha

Who is WHO?
 
Kwa mwezi uwanja unahudumia zaidi ya watu 250+.. endelea kuteseka.
Sasa 250 kwa ukubwa wa uwanja huo ni hasara sana .

Huu ni ufujaji wa fedha za wananchi .
 
Ingekuwa wale tunaowaita wanafiki na wale wasiojitambua na wale wachumia tumbo.wanaopenda kusapoti ili mradi wabaki madaraka.kwa kuwa ni wao waliosapot ujinga kama huu na miradi ya hovyo wawajibishwe kwa namna yoyote ile ili kusiwepo na ujinga kama huu tena
 
Mkuu uwanja uko karibu kukamilika kwa 100% ukiwa na majengo mazuri ya standard ya juu kabisa duniani. Sasa nakushauri unywe sumu ufe lasivyo utakufa na stress bure. Na sisi wanakanda ya ziwa tunautumia sana tukiwa tunaenda Chato. Kwahiyo wewe bibi kizee tuliza mshono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…