Tangu lini public service ikawa na faida? Daraja la tanzanite linaendeshwa kwa faida?Badala ya kulilia legasi ni vema ukatueleza ni lini tutapata faida na itatokana na nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini public service ikawa na faida? Daraja la tanzanite linaendeshwa kwa faida?Badala ya kulilia legasi ni vema ukatueleza ni lini tutapata faida na itatokana na nini
Angekuwepo mamlaka ya uwanja huo yangetoa gawio kwa serikaliChato ni legacy ya Mwendawazimu, faida hailetwi na KICHAA.
Faida ya hilo daraja ni magari kupita juu yake , japo mimi nilipinga ujenzi wake kutokana na kwamba hakukuwa na ulazima , lakini uwanja wa chato kazi yake kubwa kwa sasa ni kuzalishia nyoka na ndege kutagia mle , hakuna ndege inaenda kule , kwanza waende kufanya nini ?Tangu lini public service ikawa na faida? Daraja la tanzanite linaendeshwa kwa faida?
Swali la kitoto sana hili. Yaani Manispaa ya Mtwara yenye uwanja na vitega uchumi kibao ufananishe na Wilaya ndogo kama Chato, hata Newala tu bado ni bora kwa mizania zote na Chato kama tunaongelea ukubwa, ukongwe nk!Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ujinga, tuambieni vilivyo ingiza faida ni shs ngapiHata kuandika hujui. Jifunze kwanza kuandika ndio uje hapa na maswali yako ya kichawa
Ukiwa msukuma siyo kwamba basi uko Sukuma Gang.Naona unajiondoa kwenye kikundi chenu cha sukuma gang kiana.
Vile vile wavuvi wa dagaa wamepata pa kuanikiaFaida ya hilo daraja ni magari kupita juu yake , japo mimi nilipinga ujenzi wake kutokana na kwamba hakukuwa na ulazima , lakini uwanja wa chato kazi yake kubwa kwa sasa ni kuzalishia nyoka na ndege kutagia mle , hakuna ndege inaenda kule , kwanza waende kufanya nini ?
Ni kweli watwambie ni wapi viwanja vyenye faida? Mzee kaingia hata ndege hamna, sasa wenyewe wanapanda kwenda ulaya huku wakimponda!Wacha ujinga, tuambieni vilivyo ingiza faida ni shs ngapi
Tanzania hakuna kiwanda cha ndege.Kwanza Viwanda vya ndege hivi ni kama stand za mabus tu, lakini tumegeuza sehemu ya kunyonya watu, una lipi a ticket elfu 95, service charge ya ujanjaujanja elfu 70 mambo ya kipuuzi tu
Mpango ulikuwa Mfalme afikie hapo at the expense of 60 billions!! Ndio uzalendo huo!!Inamaana mipango iliyofanya uwanja ujengwe chato hawana?
Kwa sababu waafrica wengi mawazo yao ni finyu na fupi ndiyo maana wanasema mradi wa chato aina faida. Tunataka faida ya leo na si ya kesho.Legasi , Legasi , Legasi