CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.

Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.

.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Usio na faida kwa watu wenye vision ndogo maana jpm alikuwa ana changamsha uchumi kila sehemu
 
Chato haiwezi kuwa hivo mzee! Jidanganye hamna kitu kama hicho maana pale ni wilayyani na kuna huruma kibao tofauti na kijiji cha mobutu!
POLE ndugu,
Labda wewe ndio wajidanganya, HISTORIA ina mifano mingi ya aina hii humuhumu AFRICA. Huruma? Weka basi nakala ya utafiti uliyofanyika.

Gbadolite or Gbado-Lite is the capital of Nord-Ubangi Province in the Democratic Republic of the Congo. The town is located 12 kilometres (7.5 mi) south of the Ubangi River at the border to the Central African Republic and 1,150 kilometres (710 mi) northeast of the national capital Kinshasa. Gbadolite was the ancestral home and residence of Joseph-Désiré Mobutu, later self-styled as Mobutu Sese Seko where airport, colleges, malls, supermarkets and libraries were built by the President in a program of modernization.
 
CCM si waporaji wote, kuna waumi wazuri wa naoamini msingi wa kazi halali

Kwa akili yako unaweza kulinganisha mobutu na JPM?
Kasome hesabu sio social and science!
Kabisa ndugu yangu, vitendo vyao vinavyowaweka kundi moja viko wazi kabisa. Ukimaliza kusoma hayo kasome na historia.
 
Kabisa ndugu yangu, vitendo vyao vinavyowaweka kundi moja viko wazi kabisa. Ukimaliza kusoma hayo kasome na historia.
Historia ipi? CCM wote sio wezi, na wapo waliofuata itikadi za Ujamaa na Azimio la Arusha!, wapo walioachana na hiyo dhana, wakafuata ubepari!
Kumbuka Nyerere alisema UBEPARI NI UNYAMA
 
Historia ipi? CCM wote sio wezi, na wapo waliofuata itikadi za Ujamaa na Azimio la Arusha!, wapo walioachana na hiyo dhana, wakafuata ubepari!
Kumbuka Nyerere alisema UBEPARI NI UNYAMA
Ndugu ninakushauri utulie na kusoma tena ulichokiandika. Halafu urudi upya ukiwa na hoja.
 
Huo uwanja wa Chato ulikuwa na umuhimu gani kujengwa chato wakati kuna uwanja wa Mwanza na pale Bukoba?
Hivi kutoka Geita hadi bukoba ni km ngapi? Wacha kuwapa kwa kutumia masaburi
 
Fuatilia vizuri nyuzi zangu.
Mema ya mwendazake niliyafagili, mfano Stiglaz.
Mabaya ya utekaji, ukabila, upendeleo nimeyaangushia zinga la nyuki.
Naona unajiondoa kwenye kikundi chenu cha sukuma gang kiana.
 
Back
Top Bottom