CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Ukweli ni Kwamba Marehem Magufuli alipenda kutumia nguvu kubwa kufikia malengo au ndoto zake binafsi na sio kufanya tafiti ya kina na tafakari shirikishi kwanza.

Alichokiona CAG Ni kweli kabisa.
 
Kuna siku tutawachoka tutafanya ambayo hamtamani kuyaona wala kusikia kwa sasa endeleeni na upuuzi wenu
 
CAG kwa hili sijui kama yuko sahihi Mapori yaliyoko Kule mijambazi ya Rwanda na Burundi ilikuwa inasumbua sana

Magufuli akatangaza kuwa yale maeneo ni mbuga za taifa sababu kuonekana mbugani kama sio mtalii unapigwa risasi .umefuata nini mbugani

Kwa kuanzisha mbuga akawa kakomesha utekwaji magari na mabasi kwenye yale Mapori sababu majambazi wanyarwanda na warundi walijikatia mapori yale wengine wakaanzisha hadi mashule na vituo vya ujambazi .Tatizo hilolimekuweko Serikali zote Magufuli Ndie alibadilisha hiyo hali

Tatizo Serikalini coordination hamna kilichotakiwa ni wizara zote kushirikiana ku push agenda ya utalii kule ili uwanja uwe active
Lakini pia Jeshi huo uwanja ungewasaidia!!

Sasa tuchukulie mfano Serikali iseme hauna faida ufungwe wanatakaje na zile mbuga zifungwe wanyama warudishwe walikotoka na mapori yale waachiwe Majambazi wa kinyarwanda na kirundi waendelee kuteka mabasi na magari na Kuua raia?

Anyway huo ni uamuzi wa Serikali

Ila Nadhani siku ingine CAG akifanya ukaguzi ni vizuri kupata information za kutosha zaidi ya hizo za profit and loss
Umejitahidi kutetea legacy, ukweli serikali kulinda mipaka yake hakuna uhusiano hapo na huo uwanja.

Bora ungeshauri upunguzwe uwe air strip, watalii watakuja tu.

Airport ya int. Standard ni gharama kuitunza Mkuu.
 
Hayo sio maoni ni majibu ya uchunguzi wa Kisayansi uliofanywa kitaalamu na kubaini Magufuli alikuwa fisadi na wala sio mzalendo. Wanao msifia Magufuli wapo ktk makundi mawili
1. Wale wajinga ambao hata wakielezwa ukweli huu bado hayajitambui.
2. Sukuma GANG ambao wanufaika wa vyeo aidha kwa ukabila au urafiki walio kuwa nao kinafiki.
Heri ya ufisadi wa dikteka JPM kuliko haki ya kina Nape na Kinana. Tulipata shida lakini sasa cha moto tunakiona.
 
Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.

Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.

.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Sahihi uwanja ndege wa Chato hauna faida kuliko safari za helikopter anazofanya Nape.
 
Jiwe ni Rais wa nchi gani sasa hivi..., takuwa chizi kupigana na Mizimu au kutetea mizumi au kusema kwamba ni sawa upuuzi sasa ufanyike sababu marehemu fulani alifanya...., keeping in mind anayetetewa alikuwa ni part ya huo huo so called uharibifu uliofanyika huko nyuma...

Hence narudia ninachosema mimi sio mfuasi wa binadamu yoyote bali ni mtu mwenye fikra huru na raia wa hii nchi, na kama mlipa kodi nina stake katika matumizi ya hio kodi.... (sishambulii personalities bali issues)
Kwa sasa tunajadili ripoti ya CAG juu ya manufaa ya uwanja wa ndege wa chato.
 
Kulikuwa na viashiria vya udikiteeta kwenye maamuzi
Unakumbuka shauri LA "Dictator Uchwara" Mmawia?Like shauri lilikuwa nikupinga jpm kuitwa dictator uchwara.Hiyo maana yake kam siyo uchwara basi alikuwa Dictator Halisi na siyo vinginevyo.
Tulikuwa na Lunatic as The Presida.
 
Unakumbuka shauri LA "Dictator Uchwara" Mmawia?Like shauri lilikuwa nikupinga jpm kuitwa dictator uchwara.Hiyo maana yake kam siyo uchwara basi alikuwa Dictator Halisi na siyo vinginevyo.
Tulikuwa na Lunatic as The Presida.
Wakakutana na gwaji la sheria mh Lissu akawatoa ko
 
Kwa elimu kidodo tu kuhusu uwanja wa choto ni kwamba kama ukikamilika kwa aslimia [emoji817] basi ndo utakua uwanja mkubwa na borq kuliko viwanja vyote vya ndege Tanzania ,Uwanja wa ndege was Mwalimu Nyerere upo nyuma kwa ubora ,Ndege kubwa yoyote kutoka popote Duniani kwenye huo uwanja inatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ikishatua hapo?!!!ndo maana CAG anasema hakuna feasibility study. Viability ipo wapi kwenye hiyo project?
 
Back
Top Bottom