Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnalialia sanaHivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Unalinganisha Mtwara au Musoma na kijiji cha Chato?Hivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama miradi haindekezwi unazani faida utaipata je?Tulisema tukaitwa wapinzani tuna wivu.
Sasa wenye mamlaka wa kusema wamesema.
.https://www.instagram.com/p/CcUyVOhtBIe/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
Baada ya musimu huu utageuka kuwa kichaa au mwenda wazimu.Chato ni legacy ya Mwendawazimu, faida hailetwi na KICHAA.
Chato haina sifa ya kuwa na uwanja wa ndegeSasa kama miradi haindekezwi unazani faida utaipata je?
Mbuga za hifadhi zikikamilika, hospital ya Kanda ikikamilika..kila kitu kitakaa sawa.
Miradi mongine huwezi ona faida moja kwa Moja, utaiona tu kama utazingatia mambo mengi.
Hata ndenge zetu hazina faida lakini zinachochea uchumi sehemu zingine .
Hata KIA na Songwe haziingizi faida.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga - Gbadolite todayHata mobutu seseseko kuku wa zebanga alijenga uwanja MKUBWA wa ndege kijijini kwao lakini baada ya kifo chake kiwanja hicho kimekuwa uwanja wa kuchungia mbuzi.....
Afrika siasa Ni ngumu kuliko fizikia..
UHURU ni kitu muhimu sana, hiyo miaka 55 unayosema ilikuwa Bora sana kwa sababu kila mtu alikuwa huru, miaka 5 ilikuwa Kama tuko jehanamu, Asante Mwenyezi Mungu kwa maamuzi yako.Miaka 60 ya uhuru ukitoa 5 ya Magufuli unapata miaka 55, Hiyo miaka 55 tulikwa tumefika wapi?
Huu ni ubadhilifu wa mali ya umma hasa fedha za umma.Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za Banga
Gbadolite Mansion
View attachment 2187222 View attachment 2187225 View attachment 2187204 View attachment 2187226
Yaani, Mungu aliingilia Kati.Mungu ni mkubwa sana
ROBERT MUGABE: Mwanasiasa akijenga barabara, hospitali, shule, madaraja n.k. halafu ukamsifia, ni ujinga, ni sawa na kuisifia mashine ya ATM ulipotoa hela ni ujinga kwa sababu hela hizo ni zako siyo za ATM!Mi naonaga mda mwingine watanzania hatunaga hata maana Jiwe kapanua barbara ya morrocco mwenge kwa fedha za sherehe za uhuru na baadae akaamuru pia fedha za uhuru zikapanue barabra ya mwanza airport lakini kuna watu hapa wanajidai kufata utaratibu wa zabunimili wapige dili zao lakini matokeo sifuri. Kkikubwa tunataka matokeo zabuni ni maneno tu.
Juzi kwenye Bunge Kibogoyo wanamjia juu Ummy Mwaimu kuwa MSD hawafuati Sheria za manunuzi, mashine ya shs million 4 imenunuliwa shs million 250! Hii ndio CCM! Uwanjacwa ndege unajengwa kwa amri ya mtu mmoja! Ukiwaambia katiba mpya huwezi kuelewana nao, wamezoea upigaji.Tutaendelea na mambo yale yale ya ngonjera za zabuni zisizo na matokeo japo kweli zabuni n takwa la kisheria lakini kikubwa ni kudeliver .Waafrica wengi maneno mengi vitendo sifuri.
Aisee hongera sana kwa mifano yenye uhalisia.ROBERT MUGABE: Mwanasiasa akijenga barabara, hospitali, shule, madaraja n.k. halafu ukamsifia, ni ujinga, ni sawa na kuisifia mashine ya ATM ulipotoa hela ni ujinga kwa sababu hela hizo ni zako siyo za ATM!
Bila ccm tanzania tungekuwa matajiri sana kulingana na rasilimali tulizo nazo.Juzi kwenye Bunge Kibogoyo wanamjia juu Ummy Mwaimu kuwa MSD hawafuati Sheria za manunuzi, mashine ya shs million 4 imenunuliwa shs million 250! Hii ndio CCM! Uwanjacwa ndege unajengwa kwa amri ya mtu mmoja! Ukiwaambia katiba mpya huwezi kuelewana nao, wamezoea upigaji.
Kweli mpinzile umepinda ubongoHivi uwanja wa ndege wa Chato unatofauti gani na Uwanja wa Ndege wa Musoma unaojengwa? Au wa Mtwara? Hizo faida anazotaka CAG ni zipi? Zionekane baada ya mda fani? Maana nina hakika ata ujenzi wa terminal 3 Mwaimu Nyerere bado hatujaanza kupata faida
Sent using Jamii Forums mobile app