CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Mwambieni hangaya naye ajenge makunduchi iwe legacy kwake. Nonsense
 
Unafiki hautoisha nchi hii, CAG acha hizo kabla ya awamu hii hukuwepo?

professa Asad hakubumbabumba mambo ili kumtukuza mkuu hayati.
Ungesema kweli uwe shujaa wa kulipigania taifa.
Weka facts sio kusema ulikuwa wapi. Ulitaka awekwe kwenye kiroba?. Ripoti za CAG ni kioo,ili wakati mwingine msirudie
 
Ukifa hujapendezesha kwenu lazima watu wakupige vijembe.

Na hata ukifa umepapendezesha home kwenu, lazima tena wakupige vijembe.
Pendezesha kwenu kwa kujenga vitu vitakavyo tumika na watu wote, pia vitakavyo kuwa na faida. Sasa huo uwanja wa ndege una faida gani ikiwa kwa mwezi unaingiza watu wachache hivyo? Angejenga barabara labda. Sasa ona hasara hiyo kubwa
 
Unaweza ukaleta hata Post moja humu niliyoshawahi kumsifia JPM ?

Mimi sio cheerleader kama mtu anafanya mazuri ni kazi yake ndio aliyochaguliwa kufanya kuanza kwangu kumpigia makofi kwangu naona ni kupoteza rasilimali muda..., kwa yoyote anayekosea mimi huwa nipo critical sababu ninamlipa kwa kutumia kodi yangu hence nahitaji value for my money...

Sasa huyu (siongelei Assad huyu jamaa) kama aliweza kuficha huu uchafu kipindi cha JPM ni mangapi anaficha sasa ili aje kuyaongea awamu ijayo ?
Huyu CAG aliteuliwa 2019, kwa muda alipokuwa anatoa ripoti yake ya kwanza tangia ateuliwe, ambyo ilikuwa ni mwezi March 2021 Magufuli alikuwa ameshafariki,
 
Bomoeni mpeleke nyumbani kwenu kupiga kelele hakuwasaudii .
Wajinga ni watu na watu ni ninyi.
Hakuna haja ya kubomoa maana hizo ni fedha za watanzania zilizo tumiwa na kwa ajili ya mawazo ya mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom