CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

Rais amesema cag aweke kila kitu wazi hakuna kuficha kitu hata kimoja.
#OPEN GOVT.
 
Amina, Mwenyezi Mungu amtunze Mama Samia
Siyo kumtunza tu wakati anatufanyia mabaya, no inabidi ajifunze kwa mtangulizi wake kuwa kuwafanyia mabaya unao waongoza ni dhambi kwa muumba.
 
CAG anawalaumu bure TAA na TANROADS kwa ujenzi wa kiwanja cha ndege CHATO.
CAG awe na ujasiri wa kusema aliyetoa amri uwanja ujengwe bila matayarisho yoyote ni Rais Magufuli.
CAG dont beat around the bush.
Cag kakudokeza,wewe raia ndio uchukue hatua
 
Na kila mtu atalipwa kwa aliyoyatenda.Usisahau hilo. Ni Allah huyohuyo aliyemtaja vibaya Firaun mpaka kwenye vitabu vya dini ili watu wajao wajue kuwa Farao alikuwa mbaya. Na Allah kawataja vema watu wema.

So, ukiishi vibaya utataja vibaya na ukiishi na watu vizuri utataja vizuri.tujitahidi tuishi vizuri na tusiumize watu kwasababu ya vyeo vyetu,vitaondoka na sisi tutaondoka
 
huo ushauri ni wa hovyo. CAG yupo kikatiba na anafanya kazi yake vizuri. Sukuma Gang mmetomaswa kidogo tu mnasisimka. Tulieni mpigwe show
wewe naona unasumbuliwa na ugonjwa wa kusumbuliwa na sukuma gang kiasi kuwa kila anayesmbua roho yako kwa jambo lolote atakuwa ni sukuma gang tu .

Huu ukaguzi wa CAG kukagua mradi mmoja na kuutolea conclusian bila kuonyesha kuwa amekagua mirtadi yote ni tatizo kabisa. Nitaridhika na ukaguzi huo iwapo ataonyesha kuwa amekagua viwanja vyote vya ndege na kuona vyenye kuingiza faida na faida na visivyo ingiza faida. Haiwezekani alete ripoti ya uwanja mmoja tu ambao inajulikana kuwa uanalalamikiwa kisiasa. After all viwanja vya ndege ni infrastractural investements ambazo faida yake haipimiwi kwa mwaka mmoja tu ulioisha. Je ameshakagua barabara zote zilizojengwa na viwanja vyote na kuona kuwa kweli vina faida?

Kuhusu ofisi ya CAG kulaumiwa kutumika vibaya ni jambo limeshaongelewa sana, na kama wewe una amini kwamba kuwepo kwake kikatiba ni warrant ya kutolalamikiwa, basi uslialamikie jambo lolote lililofanyika kikatiba.
 
Wewe eneo la Chato hulijui na hujui kwanini kuna Kambi ya Jeshi na huo uwanja umejengwa kwa marengo gani. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza totoloooo!!
 
Enzi ya dikteta hakuna mtu angesema hauna faida
 
Hakuna ofisi imejaa wala rushwa kama ya CAG mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…