CAG: Vitabu vya mahesabu vya CHADEMA vina tofauti na kasoro

ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi hujue yy ni mchafu zaidi zitto ni mnafiki mwenzako
 
kuna hoja gani toeni huu uchafu
 
Zitto ni mhuni tu
 
CCM ni chama cha mashetani wamelaaniwa

tunamzungumzia zitto na sio ccm. na hakuna aseyejua ccm kama nimashetani. huenda naichukia ccm kuliko hata wewe Sema tu mi si mshabiki.
 
tunamzungumzia zitto na sio ccm. na hakuna aseyejua ccm kama nimashetani. huenda naichukia ccm kuliko hata wewe Sema tu mi si mshabiki.[/QUOTE zitto ni kada wa ccm ndo wale wale tuu wahuni wenzako
 
sijaona wizi, kwa ufupi angetumia QUALIFIED au UNQUALIFIED tungehoji uzuri au ubovu tajwa. Hapo ka opt middle ground, natumai TEAM MATE soft ware ya NAO haina tatizo.

HONGERA CHADEMA
 
mkuu hivi unafahamu kuwa ruzuku ndan kuna kodi yangu ?

Kumbe wajua eh!Hivi basi kwa nini hiyo RUZUKU isiende ikalipadawa na walimu vizuri kuliko kupewa vyama vya siasa?

Hivi ni kwanini wanachama wa vyama vyama siasa tukachangia vyama vyetu badala ya vyama kutumia mabilioni ya RUZUKU kodi yako na yangu badala yake zikafanya shughuli nyingine za maendeleo?

Waacheche CDM wajichangishe na wanachama wake wazoee hilo,wasisubiri pesa toka kwa wafadhili wala serikalini!Upo basi?
 
Baada ya ujio wa Lowassa Chadema, madudu kama haya hayaendelea tena, sasa kitaendeshwa kama chama, hapo mwanzo uendeshaji ulikuwa kama saccos fulani!.

Pasco
 
Sasa hivi wimbo ni mabadiliko kwanza hayo mahesabu mm cjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…