Tetesi: CAG was Kenya Aibuka na mapya - Ksh 725 Billioni zilitumika nje ya mfumo wa uhasibu (IFMIS)

Wewe yako yanazuiwa yasiwekwe wazi na IMF.. Name me another country that is fool as we are!!
Sio kuzuia fala ww kwann world bank waseme itakua kwa asilimia 6 na tanzani iseme itakua kwa 7% so hao IMF ndio mitume kwa maana data zao ni sahihi sana, soma uchumi kwanza alaf urudi hapa
 
Unazitenganishaje WB na IMF? Wapi WB waliforecast Tz uchumi utakuwa kwa 6 2019/20..

Nipe link hapa
 
Low IQ as usual. ''If you wan't to hide something from a black man, put it down on a book''
Replace book with 'news article'.

View attachment 1078980
Wewe utakua mkikuyu unaeishi kibera,angalia TZ watu walireact baada ya ripoti ya CAG kuonesha kuna imetumika pasipo maelezo ya kueleweka,lkn kenya ukabila mbele mnatetea wizi eti tu sababu imeibiwa na wakikuyu wenzenu!
 
Japan debt ni 100% of their GDP.
So japan unaifananisha na kenya 😆😆😆 nchi iko dunia ya kwanza unafananisha na utumbo wa bata, we unafkiri hapan wanazungumzia madawa na barabara
 
Na Kenya inaongoza East Africa kwa GDP.
Na yaendelea kupanuka.
Inaongoza kwa gdp while mpaka watu wanakula kinyesi hapo nairobi na kuumwa kipindu kipindu karne hii ya 21!amkeni myinyi wakenya!angalia watu wanavyoishi kibera,mathare,turkana n.k hamna in eac countries utakuta watu wanaishi namna zaidi ya kenya halafu bado unatetea ujinga eti mnaongoza kwa gdp!
 
Ulipoongelea debt to gdp ratio mbona hukuweka conditions?
So japan unaifananisha na kenya [emoji38][emoji38][emoji38] nchi iko dunia ya kwanza unafananisha na utumbo wa bata, we unafkiri hapan wanazungumzia madawa na barabara
 
Ulipoongelea debt to gdp ratio mbona hukuweka conditions?
Hahaha acheni kujifananisha na watu waliopita miaka 300 uchumi wa japan hata wangekua wana deni 110% still hawawezi kuyumba hata siku moja, unamuwazia japan watu turkana wanakufa kama kuku
 
Sasa si unaona.. huna jibu unaleta utetezi wa third parties 😂😂😂😂

Pathetic Mdanganyika
Yani AFDB waseme vingine , tanzania iseme vingine alaf world bank waseme vengine na IMf waseme vengine alaf utuletee story za alinacha za ImF😂😂😂😂 wenzenu wamebanwa kwenye madini hawana hamu
 
Hahaha acheni kujifananisha na watu waliopita miaka 300 uchumi wa japan hata wangekua wana deni 110% still hawawezi kuyumba hata siku moja, unamuwazia japan watu turkana wanakufa kama kuku
Kwa hio nimeshakua mkenya.

Haya ngoja tuendeleze discussion na mchumi wetu uchwara hapa.
 
Inaongoza kwa gdp while mpaka watu wanakula kinyesi hapo nairobi na kuumwa kipindu kipindu karne hii ya 21!amkeni myinyi wakenya!angalia watu wanavyoishi kibera,mathare,turkana n.k hamna in eac countries utakuta watu wanaishi namna zaidi ya kenya halafu bado unatetea ujinga eti mnaongoza kwa gdp!

Wacha tule kinyesi. Lakini tusile albino.
 
Yani AFDB waseme vingine , tanzania iseme vingine alaf world bank waseme vengine na IMf waseme vengine alaf utuletee story za alinacha za ImF😂😂😂😂 wenzenu wamebanwa kwenye madini hawana hamu
Kwahiyo wewe unakubali uchumi unakuwa kwa 7.3%... hahahaha
 
Wewe utakua mkikuyu unaeishi kibera,angalia TZ watu walireact baada ya ripoti ya CAG kuonesha kuna imetumika pasipo maelezo ya kueleweka,lkn kenya ukabila mbele mnatetea wizi eti tu sababu imeibiwa na wakikuyu wenzenu!

Wenzako hapa walitokea kwa wingi kama kawaida kumtetea Magufuli.
 
Back
Top Bottom