Tetesi: CAG was Kenya Aibuka na mapya - Ksh 725 Billioni zilitumika nje ya mfumo wa uhasibu (IFMIS)

Usiniquote upumbavu,hii mada umeona imeongelea habari ya CAG wa TZ na ukaniona natetea!we jamaa umevurugwa nini,angalia tupo jukwaa gani ndio uanze kuleta uzwazwa wako wa kuhisi makabila ya watu!
Wasukuma mmeuvaa uzalendo sana awamu hii.. Si zile Trillions zisizoonekana mnakula wote
 
Wewe unakubali utakua kwa 4%?, vipi wewe uwe na haki ya kuamini unachokiamini lakini wengine wasiwe na haki ya kuamini wanachokiamini?
Uchumi unakuwa kwa 7 lakini pengo la ajira linaongezeka, biashara zinafungwa kila kukicha, mikopo bank hairejesheki, wafanyabiashara tusiotaka kufilisiwa tuna top up kila mwaka angalau ifike 2025 huu upuuzi uondoke..
 
Pengo la ajira, hili hata mwanao ukimuuliza anajua sababu, unajua kuna wahitimu wangapi kila mwaka, wanaendana na kiwango cha uhitaji mtaani!!!

Biashara kufungwa ni kawaida labda kama umezaliwa jana.

Kama una uwezo wa kurejesha mkopo mpaka unapata sifa ya kutop up, funga mdomo wako, vinginevyo unawakosea wenye hali ngumu kweli.
 
naona leo umepata kiboko yako...yani mtu wa nyumbani anakuchakaza hku umebaki kutema povu...

braza...mpe ukwel...awache kutulisha matango pori hapa jf...
 
Ukweli wa wapi hawezi kuwa kiboko yangu huyu kilaza tu kama wewe.

Mtu anayelalamikia ajira kwa nchi kama tz huyo ni mzima kichwani kweli, watu kama hawa ndio huwa wanatufanya kuona aibu mbele za watu kujitambulisha nao.
 
Uchumi unakuwa kwa 7 lakini pengo la ajira linaongezeka, biashara zinafungwa kila kukicha, mikopo bank hairejesheki, wafanyabiashara tusiotaka kufilisiwa tuna top up kila mwaka angalau ifike 2025 huu upuuzi uondoke..
Tafadhali sana unapozungumza na watu wazima, tumia credible statistics acha kutumia mawazo ya mtaani, tunaomba ulete data za angalau miaka minne nyuma kuthibitisha unayoyasema. Sio kweli unayosema, ajira zimeongezeka sana ukilinganisha na utawala uliopita.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Ahaaa haaa haaa
In Kenya if mtu wa kabila YENyU amekwiba hela ya SERIKALI. Mnasema acha kuizumbua mwisi YETU.
 
Back
Top Bottom